Trump aidhinisha mchakato wa kuitoza China ushuru zaidi kwa bidhaa zilizosalia

Rais Donald Trump wa Marekani, amewaagiza maafisa wake kuanza mchakato wa kuongeza ushuru kwa bidhaa zote kwa jumla zilizobakia zinazoingia kutoka China zinazokadiriwa kuwa na thamani ya dola za Marekani bilioni 300.

VOASwahili

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

BBCSwahili

Trump kuitoza Rwanda ushuru wa nguo zake zinaoagizwa na Marekani, Tanzania na Kenya zanusurika

Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa ataahirisha mpango wa kuiondolea Rwanda ushuru wa nguo zake zinazonunuliwa na Marekani kutoka Rwanda

 

2 weeks ago

Malunde

MAREKANI YAONGEZA TENA USHURU KWA BIDHAA ZA CHINA


Marekani leo imeongeza kiwango cha ushuru kwa bidhaa za China hatua ambayo China imejibu mara moja ikisema italipiza kisasi. Mzozo huo umeshika kasi kabla ya siku ya pili ya mazungumzo ya kibiashara.
Rais Donald Trump alipata ufafanuzi kutoka kwa wajumbe wake wa kibiashara baada ya siku ya kwanza ya mazungumzo na upande wa China jana, lakini hakuchukua hatua yoyote kuhusu kutotangaza ushuru mpya – na hivyo kuua matumaini kuwa huenda kukawa na ahueni katika dakika za mwisho wakati mazungumzo...

 

2 weeks ago

VOASwahili

Marekani na China wanakutana kujadili ushuru wa bidhaa za China

Matamshi ya Trump kwenye Twitter kuhusu kuweka ushuru mpya kwa China yalipelekea masoko ya Asia na Marekani kuwa na wakati mgumu Jumatatu na iliongeza khofu juu ya idadi ya mashauriano ya biashara kati ya nchi hizo mbili

 

1 year ago

VOASwahili

China yaongeza ushuru dhidi ya bidhaa za Marekani

China imeongeza ushuru kwa asilimia 25 kwenye bidhaa tofauti kutoka Marekani ikiwemo nyama ya nguruwe, matunda na bidhaa nyingine, zikiwa na thamani ya dola za marekani billioni 3.

 

2 years ago

VOASwahili

Trump aidhinisha mashambulizi zaidi ya angani Somalia

Wizara ya Ulinzi ya Marekani imetangaza Alhamisi kuwa Rais Donald Trump ameipa uwezo zaidi kuanzisha mashambulizi ya angani Somalia dhidi ya al-Shabab.

 

1 year ago

BBCSwahili

Ushuru wa bidhaa za chuma yaleta utata baina ya Trump na Wafanyabiashara

Washirika wakubwa wa biashara wa Marekani wamekasirishwa na tangazo la Rais wa nchi hiyo Donald Trump juu ya mpango wa kutoza ushuru kwa bidhaa za chuma

 

1 year ago

BBCSwahili

Trump kuiongezea ushuru wa forodha China

Rais Donald Trump ametangaza mpango wa wa ongezeko la ushuru wa forodha kwa bidhaa za China,hali hiyo inatarajiwa kuongeza vita vya vikali vya kibiashara

 

2 years ago

Raia Mwema

Trump aidhinisha mauzo ya ndege za kivita kwa Kenya

Mwanajeshi wa Jeshi la Ulinzi la Kenya akiwa kwenye lindo wakati wananchi wa Somalia wakiogelea katika pwani ya bahari ya Hindi huko Kismayu nchini Somalia Novemba 20m 2015. Serikali ya Marekani imeidhinisha mauzo ya silaha zenye thamani ya shilingi za Kenya bilioni 43.5 kwa jeshi la nchi hiyo ili kuongeza nguvu mapambano dhidi ya Al-Shabab. FILE PHOTO | JEFF ANGOTE | NATION MEDIA GROUP

WIZARA ya Mambo ya Nje ya Marekani imeidhinisha mauzo ya ndege za kivita zenye thamani ya dola za...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani