Trump amwachisha kazi HR McMaster

Rais wa Marekani Donald Trump, Alhamisi alimwachisha kazi mshauri wake kuhusu usalama wa kitaifa, HR McMaster, na kumteua aliyekuwa balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa, John Bolton, kuchukua pahala pake.

VOASwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

VOASwahili

Trump amwachisha kazi mkurugenzi wa FBI

Mkurugenzi wa idara ya upelelezi ya  Marekani (FBI) aliachishwa kazi siku ya Jumanne na rais Donald Trump.

 

2 years ago

BBCSwahili

McMaster awa mteule mpya wa Rais Trump

McMaster awa mteule mwingine wa Rais Trump masuala ya usalama.

 

2 years ago

Zanzibar 24

Hillary Clinton: Trump ndiye Rais wetu, tuungane kufanya kazi na Trump

Bi. Hillary Clinton aliyekuwa mgombea wa Urais wa Marekani kutoka chama cha Democratic amezungumza kwa mara ya kwanza tangu kutangazwa kwa matokeo ya kushindwa kwake katika uchaguzi wa nchi hiyo.

Akizungumza kwa hisia, Clintonamesema amehuzunika kutokana na matokeo ambayo amayepata kwani alijiandaa kwa muda mrefu na matarajio yake ilikuwa na kuibuka na ushindi ili kuwa raia wa 45 wa Marekani na kuwa rais wa kwanza mwanamke kuongoza taifa hilo kubwa duniani.

Clinton amesema haina budi...

 

3 years ago

Mtanzania

Kim Kardashian amwachisha mwanaye kunyonya

Kim na SaintNEW YORK, MAREKANI

MWANAMITINDO maarufu nchini Marekani, Kim Kardashian, ameweka wazi kwamba amemuachisha mwanaye kunyonya Saint West kwa sababu ya mtoto wake wa kwanza North West kuwa na wivu.

Saint ambaye alizaliwa Desemba mwaka jana, ameachishwa kunyonya kutokana na dada yake North mwenye umri wa miaka miwili kuona wivu wakati mtoto huyu akiwa ananyonya.

Inadaiwa kwamba kila wakati Saint akiwa ananyonya basi North lazima alie huku akionesha wazi kwamba hapendi mtoto huyo anyonye.

“Nimeona...

 

3 years ago

Mtanzania

Amwachisha mwanawe shule kisa uonevu

Akiwa 'darasani'

* Aamua kumfundisha dunia ya biashara ofisini

JOSEPH HIZA,

VITENDO vya uonevu dhidi ya watoto na au vijana wanaoonekana machoni kuwa wanyonge au wenye kasoro fulani za kimwili au kiakili vikifanywa na wale wakubwa au wenye silka za kibabe imekuwa sehemu ya maisha katika mataifa mengi duniani hasa ya Ulaya.

Katika mataifa hayo watoto au vijana hasa katika mitaa yenye vurugu hulazimika kujiunga na magenge ya vijana yenye viongozi wake ili kujilinda dhidi ya uonevu wa magenge mengine...

 

1 year ago

MwanaHALISI

Amwachisha mtoto ziwa baada ya kubakwa

NASYEKZI  Lilash, mwanamke na mkazi wa Kijiji cha Arash, Tarafa ya Loliondo, Wilaya ya Ngorongoro, Mkoani Arusha, amelazimika kumwachisha ziwa mtoto wake wa mwaka mmoja na miezi sita baada ya kufanyiwa vitendo vya ubakaji, anaandika Nasra Abdallah. Akizungumza na Mwanahalisi Online, mwanamke huyo amesema vitendo hivyo alifanyiwa wakati wa operesheni ya kuwaondoa wafugaji, iliyofanyika kwa ...

 

5 years ago

GPL

AMWACHISHA ZIWA MWANAYE, ANASWA KWENYE GONGO!

HADIJA Jackson (22) mkazi wa Igoma, Mwanza amenaswa na watetea haki za watoto wa kituo cha Farijika na Afisa Maendeleo  akidaiwa kumwachisha ziwa mwanaye wa miezi mitatu na kushinda katika vibanda vya gongo kupiga ulabu (pombe). Tukio hilo lilitokea Januari 7, mwaka huu mtaa wa Mkapa, Igoma Mwanza ambapo Afisa Maendeleo, Hadili Mrema sambamba na wanaharakati wa Farijika walifika katika nyumba ya mama huyo baada ya kutonywa na...

 

2 years ago

VOASwahili

McMaster apinga repoti ya Washington Post

Mshauri wa usalama wa taifa Marekani, H.R. McMaster na maafisa wa utawala wa Trump wamekanusha ripoti zilizochapishwa kwamba Rais alitoa taarifa ya siri ya kiwango cha juu kwa maafisa wa Russia alipokutana nao Oval Office.

 

1 year ago

VOASwahili

McMaster aonya uwezekano wa vita 'unaongezeka'

Mshauri wa usalama wa taifa katika Ikulu ya White House amesema kuwa uwezekano wa kutokea vita na nchi maskini ya Korea Kaskazini yenye silaha za kinyuklia “unaongezeka kila siku”

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani