Trump anaanza ziara yake ya kimataifa kama Rais

Rais Donald Trump anaanza ziara yake ya kwanza nje ya nchi kama rais Ijumaa, huku akiiwacha ikulu imegubikwa na utata mkubwa kuhusu uhusiano kati ya timu yake ya kampeni na Russia na shutuma za kuingilia kati uchunguzi wa Michael Flynn.

VOASwahili

Read more

Habari Zinazoendana

2 years ago

Channelten

Rais wa Marakeni Barack Obama anaanza ziaa yake nchni Cuba hii leo ikiwa ni ziara ya kihistoria itakayokomesha uhasama wa zaidi ya nusu karne kati ya Marekani na Cuba.

obamacuba

Rais wa Marakeni Barack Obama anaanza ziaa yake nchni Cuba hii leo ikiwa ni ziara ya kihistoria itakayokomesha uhasama wa zaidi ya nusu karne kati ya Marekani na Cuba.

Katika ziara hiyo Rais Obama ameambatana na mkewe Michelle pamoja mabinti zake wawili ambapo watawasili mjini Havana kwa ziara ya siku tatu.

Hii itakuwa mara ya kwanza tangu mwaka 1959, kwa Rais wa Marakeni kuzuru nchini Cuba.

Obama ambaye analenga kuacha historia ya kuimarisha sera ya kigeni wakati wa utawala wake,...

2 years ago

Channelten

Barack Obama anaanza ziara yake nchni Cuba hii leo

obamacuba

Rais wa Marakeni Barack Obama anaanza ziaa yake nchni Cuba hii leo ikiwa ni ziara ya kihistoria itakayokomesha uhasama wa zaidi ya nusu karne kati ya Marekani na Cuba.

Katika ziara hiyo Rais Obama ameambatana na mkewe Michelle pamoja mabinti zake wawili ambapo watawasili mjini Havana kwa ziara ya siku tatu.

Hii itakuwa mara ya kwanza tangu mwaka 1959, kwa Rais wa Marakeni kuzuru nchini Cuba.

Obama ambaye analenga kuacha historia ya kuimarisha sera ya kigeni wakati wa utawala wake,...

1 year ago

Channelten

Rais wa Mexico afutilia mbali ziara yake nchini Marekani baada ya rais Trump kutia saini agizo la kujenga Ukuta

Rais wa Mexico Enrique Pena Nieto amefutilia mbali ziara yake nchini Marekani baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kutia saini agizo la rais la kutaka kuanza kujengwa kwa ukuta katika mpaka kati ya Marekani na Mexico na kuitaka Mexico kugharamia ujenzi huo.

Nieto amefutilia mbali ziara hiyo aliyotarajia kukutana na Trump wiki ijayo baada ya Trump kuandika katika ukurasa wake wa Twitter kuwa iwapo Mexico haitagharamia ujenzi wa ukuta huo, basi ni bora viongozi wa nchi hizo mbili...

12 months ago

BBCSwahili

Trump kufanya ziara yake ya kwanza nje ya Marekani tangu awe rais

Rais wa Marekani Donald Trump atafanya ziara yake ya kwanza nje ya nchi hiyo tangu awe rais baadaye mwezi huu.

1 year ago

VOASwahili

Ziara ya Rais Trump katika makumbusho ya kihistoria ya watu weusi Marekani na mzozo wa Trump na waandishi wa habari.

Ziara ya Rais Trump katika makumbusho ya kihistoria ya watu weusi Marekani na mzozo wa Trump na waandishi wa habari.

2 years ago

BBCSwahili

Trump aahirisha ziara yake ya Israel

Mgombea urais wa chama cha Republican Donald Trump amesema ameahirisha ziara yake aliyopangiwa kuifanya nchini Israel.

11 months ago

VOASwahili

Trump afanya ziara yake ya kwanza Israeli

Ndege ya Rais wa Marekani Air Force One imepangiwa kufanya safari ya kihistoria bila ya kusimama popote kati ya Riyadh na Tel Aviv Jumatatu.

9 months ago

Channelten

Ziara ya Rais wa Marekani nchini Ufaransa, Rais Trump asifu uhusiano wao licha tofauti kadhaa

2017-05-25t112336z_226192214_rc173f980890_rtrmadp_3_usa-trump-france_0_0

Rais wa Marekani Donald Trump amesifu uhusiano ulioko kati ya Marekani na Ufaransa licha ya kuwepo kwa tofauti za kimtazamo katika masuala mbalimbali ambazo amesema haziwezi kuwa kikwazo kwa nchi hizo kusonga mbele kwa ushirikiano.

Rais Trump yuko nchini Ufaransa kwa ziara ya siku mbili ambapo amealikwa kuwa mgeni rasmi katika gwaride la mahususi la kila mwaka la siku ya taifa la Ufaransa maarufu kama Bastille.

Hata hiyo viongozi hao walizungumzia suala la mkataba wa mazingira wa Paris...

1 year ago

VOASwahili

Trump amemteuwa mkwewe kama mshauri wa rais

Vyombo vya habari vya Marekani vinaripoti kwamba Jared Kushner, mkwe wa rais mteule wa Marekani atateuliwa kuwa mshauri mwandamizi wa rais. Maafisa waliopo katika kipindi cha mpito walithipitisha taarifa hizi kwa vituo vya televisheni cha NBC na CNN vya Marekani. Rais mteule Donald Trump, alipoulizwa Jumatatu kuhusu jukumu la Kushner katika utawala wake alisema “tutazungumzia hilo siku ya Jumatano”. Siku ambayo rais mteule wa Marekani Donald Trump anatarajiwa kufanya mkutano na waandishi...

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani