Trump apiga marufuku matumizi ya vifaa vya kampuni ya Huawei

Maafisa wa Marekani wameanza kutekeleza marufuku inayokataza kampuni ya simu ya China, Titan Huawei kutengeneza simu ya mkononi aina ya mtandao wa “5G” nchini Marekani na wanatahadharisha kuwa kampuni hiyo ina hatarisha usalama wa nchi hizo.

VOASwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

Waziri Ummy Mwalimu Azindua Huduma Mpya ya Kupandikiza Vifaa vya Usikivu Muhimbili, apiga Marufuku Wagonjwa Kutibiwa Nje ya Nchi

Serikali imesema kwamba kuanzia sasa haitapeleka wagonjwa nje ya nchi kwa ajili ya kupandikiza vifaa vya usikivu kwa kuwa huduma hiyo imeanza kutolewa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH).Kauli hiyo imetolewa Leo na Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mheshimiwa Ummy Mwalimu katika hospitali hiyo wakati akizindua huduma ya upasuaji wa kupandikiza vivaa vya usikivu (Cochlea Implant).Ummy alisema kuwa huduma hizo zitakuwa zikitolewa Muhimbili kwa sababu ina madaktari...

 

3 years ago

Mwananchi

Majaliwa apiga marufuku vifaa tiba kuhamishwa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amepiga marufuku kuhamisha vifaa vya hospitali za umma kwenda za binafsi.

 

4 years ago

Habarileo

DC Kahama apiga marufuku matumizi ya visima, kulima

Benson Mpesya MKUU wa wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, Benson Mpesya amepiga marufuku wananchi wa kijiji namba tisa kata ya Bulyanhulu wilayani hapa kutumia maji ya visima pamoja na kuendesha shughuli za kilimo.

 

3 years ago

Mwananchi

Waziri Lukuvi apiga marufuku kampuni za nje

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amepiga marufuku kampuni za nje kupewa kazi za kuandaa mipango miji nchini, akisema wasomi wa ndani wanaweza kazi hiyo.

 

3 years ago

StarTV

Waziri mkuu apiga marufuku matumizi ya Viberiti, Michumaa katika mabweni

Kassim copy

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amepiga marufuku matumizi ya viberiti, mishumaa na ‘hita’ za kuchemshia maji kwa wanafunzi wa bweni ili kuepusha majanga ya moto na atakayekutwa atachukuliwa hatua kali.

“Kuna tabia ya baadhi ya wanafunzi hasa wa masomo ya fizikia kutengeneza vifaa vya kienyeji vya kuchemsha maji mabwenini jambo hili ni la hatari, kwani linaweza kusababisha ajali ya moto, hivyo ni marukufu kwa mwanafunzi kutumia vifaa hivyo,” amesema.

Waziri Mkuu ametoa agizo hilo katika...

 

3 years ago

Dewji Blog

RC Singida apiga marufuku matumizi ya madawati ya shule kwa shughuli za kijamii

Serikali mkoa wa Singida, imepiga marufuku matumizi ya madawati ya shule za msingi na sekondari kwenye mambo yasiyo ya elimu, ikiwemo mikutano na sherehe mbalimbali za kijamii.

Mkuu wa mkoa wa Singida, mhandisi Mathew Mtigumwe ametoa agizo hilo juzi, wakati akizungumza kwenye hafla fupi ya makabidhiano ya madawati 144 kati ya 335, yaliyotolewa msaada na kampuni ya Tigo Tanzania.

Alisema madawati katika shule zote za msingi na sekondari yanapaswa kutunzwa vizuri, ili yaweze kutumika kwa mda...

 

3 years ago

Ippmedia

Waziri Mkuu apiga marufuku matumizi ya mishumaa na hita kwa wanafunzi wa bweni

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amepiga marufuku kwa wanafunzi wote nchini wanaosoma katika shule za bweni kutumia mishumaa,pasi za umeme,na kupika wakiwa shuleni ili kuepusha majanga ya moto ambayo yamekuwa yakijitokeza mara kwa mara mashuleni.

Day n Time: Jumapili saa 2:00 usikuStation: ITV

 

3 years ago

Michuzi

DC WA HANDENI,MH GONDWE APIGA MARUFUKU MATUMIZI YA BARUTI KWA WACHIMBAJI WADINI WASIOKUWA NA LESENI


Na Alda Sadango,Afisa Habari wilaya ya Handeni.
Mkuu wa wilaya ya Handeni MH. Gondwe amepiga marufuku matumizi ya baruti kwa wachimbaji wa madini wasiokua na leseni, amesema hayo kwenye kikao cha wachimbaji madini wadogo kilichoandaliwa na afisa madini mkazi Bw. Makyao jana.

Amewaeleza wachimbaji kwamba matumizi ya baruti kinyume na taratibu yanaweza kuleta hatari na madhara kwenye suala zima la usalama.  "Nimewapa mamalaka wachimbaji walio na leseni kwa sababu ni kama kitendea kazi kwao...

 

2 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA LINDI APIGA MARUFUKU MATUMIZI MABAYA YA CHAKULA KWENYE SHEREHE ZA KIMILA

Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Mhe. Godfrey Zambi amepiga marufuku kufanyika kwa shughuli zozote zile za kimila zinazotumia chakula kuanzia mwezi wa huu wa Disemba mpaka Mei 2017.
Shughuli hizo ni pamoja na Unyago, Ndoa na Ngoma za Majini. Alisema shughuli hizo zinazofanywa na Wananchi zimekuwa zinatumia chakula kingi hali hii inaweza kupelekea kutokea kwa janga la njaa mkoani hapo.
Mkuu huyo wa Mkoa wa Lindi aliwataka Wananchi kuwa wavumilivu na waelewa kwani janga la njaa halichagui Mkoa...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani