Trump atangaza pendekezo la sera mpya ya uhamiaji Marekani

Rais wa Marekani Donald Trump anatangaza pendekezo lake la sera mpya ya uhamiaji, katika juhudi za kudhibiti aina ya watu wanaoingia hapa nchini.

VOASwahili

Read more


Habari Zinazoendana

1 week ago

VOASwahili

Sera mpya za uhamiaji kutoka kwa wa Rais Trump

Rais wa Marekani Donald Trump leo anatangaza pendekezo lake la sera mpya ya uhamiaji, katika juhudi za kudhibiti aina ya watu wanaoingia hapa nchini.

 

2 years ago

VOASwahili

Sera Mpya ya Trump Inaweza Kubadilisha Mahusiano ya Marekani Kimataifa

Rais Donald Trump ameahidi mabadiliko makubwa katika sera ya mambo ya nje wakati wa kampeni, akieleza kusudio lake la kutafuta maeneo ya ushirikiano na Russia, na kuahidi kuchukua msimamo mkali dhidi ya Iran na China.

 

1 week ago

VOASwahili

Trump asema mpango mpya wa uhamiaji Marekani kuzingatia elimu, ujuzi

Rais wa Marekani Donald Trump amesema mpango mpya wa uhamiaji ukikamilika utaanza kutoa kipaumbele kwa watu wenye elimu na ujuzi, akisisitiza suala litakalozingatiwa ni ushindani.

 

1 year ago

BBCSwahili

Trump atangaza mpango mpya wa usalama dhidi ya washindani wa Marekani

Rais Trump ametaja kuwa China na Urusi ni washindani wanaotaka kupinga ushawishi wa Marekani katika misimamo yake na utajiri

 

2 years ago

Dewji Blog

Wasomi Marekani wapinga pendekezo la Trump kuongeza kodi kwa bidhaa za Mexico

Baada ya kufanikiwa kupitisha mpango wake wa tangu akigombea Urais wa kujenga ukuta kati ya Marekani na Mexico kwa kigezo cha kuzuia wahamiaji, Rais wa Marekani, Donald Trump amekuja na mpango mpya ili kufanikisha ujenzi huo.

Trump kupitia msemaji wake, Sean Spicer amependekeza kuwa bidhaa zote za Mexico ambazo zitakuwa zikiingia Marekani zitozwe kodi ya asilimia 20 ili pesa ambayo itapatikana itumike kugharamia kujenga ukuta.

Spicer alisema kama bidhaa hizo zitatozwa kwa kodi ya asilimia 20...

 

1 week ago

VOASwahili

Sera ya Uhamiaji ya Trump yapokelewa kwa maoni tofauti

Maoni mchanganyiko yamepokea mpango mpya wa utawala wa rais Donald trump kuhusu sera ya uhamiaji aliyoizundua alhamisi mjini Washington

 

3 years ago

BBCSwahili

Trump atangaza sera zake za nje

Donald Trump anayewania kuteuliwa na chama chake Republican kuwania Urais nchini Marekani ametangaza sera zake za nje.

 

4 years ago

Vijimambo

Maelezo ya Mwanasheria wa Uhamiaji kuhusu sheria mpya za uhamiaji nchini Marekani

Mwanasheria wa uhamiaji Fatmata Barrie akizungumza na wanaDMV kwenye mkesha wa mwaka mpyaKatika mkesha wa mwaka mpya (2014-2015), Jumuiya ya waTanzania waishio Washington DC, Maryland na Virginia , kulikuwa na matukio mbalimbali.
Moja wapo lilikuwa ni maelezo ya mwanasheria wa uhamiaji Fatmata Barrie kuhusu maamuzi mapya ya serikali ya Marekani kwenye sheria za uhamiaji.
Karibu umsikilize

 

1 year ago

BBCSwahili

Rais Trump atangaza 'enzi mpya ' kwa Marekani katika hotuba kwa taifa

Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza "wakati mpya kwa Marekani" alipokuwa akitoa hotuba ya kitaifa kuhusu hali ya nchi Jumanne usiku.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani