Trump ateua mgombea mwenza Marekani

Mgombea urais mtarajiwa wa Chama cha Republican nchini Marekani, Donald Trump amemteua Gavana wa Indiana, Mike Pence kuwa mgombea mwenza.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

BBCSwahili

Trump 'amchagua Pence' kuwa mgombea mwenza

Mgombea urais wa chama cha Republican nchini Marekani Donald Trump amemchagua Mike Pence kuwa mgombea mwenza, taarifa katika vyombo vya habari Marekani zinasema.

 

2 years ago

Global Publishers

Huyu ndiye mgombea mwenza wa Donald Trump

Davidson-MikePenceandtheTrumpVeepSweeps-1200

MGOMBEA wa Urais wa Marekani kwa tiketi ya Chama cha Republican, Donald Trump amemteua Gavana wa Jimbo la Indiana, Mike Pence kuwa mgombea mwenza kwenye uchaguzi ujao utakaofanyika mwezi Novemba mwaka huu.

Awali ilipangwa kuwa Trump amtangaze mgombea mwenza mapema tangu siku ya Ijumaa iliyopita lakini ghafla hiyo ilisitishwa kutokana na shambulio la kigaidi lililotokea jijini Nice, Ufaransa wiki iliyopita.

Aidha hapo awali ilitegemewa kuwa  Trump angewateuwa Spika wa Bunge la Marekani, Newt...

 

2 years ago

BBCSwahili

Ndege ya mgombea mwenza wa Trump yapata ajali

Mgombea mwenza wa chama cha Republican katika kinyang'anyiro cha urais nchini Marekani Mike Pence amenusurika baada ya ndege iliyombeba kuteleza uwanja wa ndege.

 

2 years ago

Bongo5

Trump amteua Mike Pence kuwa mgombea wake mwenza

Mgombea wa Urais wa Marekani kupitia chama cha Republican, Donald Trump amemteua Gavana wa jimbo la Indiana, Mike Pence kuwa mgombea mwenza kwenye uchaguzi ujao utakaofanyika mwezi Novemba mwaka huu.

Trump

Awali ilipangwa kuwa Trump amtangaze mgombea mwenza mapema tangu siku ya Ijumaa iliyopita lakini ghafla hiyo ilisitishwa kutokana na shambulio la kigaidi lililotokea jijini Nice, Ufaransa wiki iliyopita.

Aidha hapo awali ilitegemewa kuwa  Trump angewateuwa Spika wa Bunge la Marekani, Newt...

 

2 years ago

VOASwahili

Mfahamu Mike Pence mgombea mwenza wa mrepublican Donald Trump

Pence aliifufua tena azma yake ya kuingia katika ulingo wa siasa kwa kuwania tena ubunge mwaka 2000, mara hii alishinda. Msimamo wake wa kisiasa umebadilika sana tangu wakati huo. Anapenda kujielezea mwenyewe kama ‘mkristo, mconservative na mrepublican.’

 

3 years ago

Vijimambo

MGOMBEA MWENZA WA UKAWA AMNADI MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KISARAWE RASHID MWISHEHE "KINGWENDU" Mgombea Mwenza wa Ukawa Juma Duni Haji akipokea kadi ya CCM kutoka kwa mwanachama wa chama hicho, Kasim Msham aliyekihama na kujiunga na CUF katika kijiji cha Nanjilinji Mkoa wa Lindi. (Picha na Francis Dande)Kadi za CCM zilizorudishwa na wanachama wa Chama hicho na kujiunga na CUF katika kijiji cha Nanjilinjimkoa wa Lindi.
 Umati wa watu ukiwa katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Shule ya Msingi Majengo wilayani Bagamoyo. Umati wa watu ukiwa katika mkutano wa kampeni...

 

3 years ago

Mwananchi

Mgombea urais mteule John Magufuli amteua Samiah Suluhu Hassan kuwa mgombea mwenza

Mgombea urais mteule kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli amteua Samiah Suluhu Hassan kuwa mgombea mwenza  kwenye Uchaguzi  Mkuu 2015.

 

3 years ago

Dewji Blog

3 years ago

GPL

ACT YATAMBULISHA MGOMBEA URAIS NA MGOMBEA MWENZA

Prof. Mkumbo akimkaribisha mgombea urais, Bi. Anna Elisha. Bi Anna Elisha akizungumza na wanachama muda mfupi baada ya kutambulishwa. Kabwe akizungumza na wanachama.…

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani