Tshabalala akabidhiwa gari Simba

BEKI hodari wa Simba Mohamed Hussein ‘Tshabalala’ amezawadiwa gari aina ya Toyota Raum na Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zakaria Hans Pope kama sehemu ya kutambua juhudi na mchango wake kwa timu hiyo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Gari jipya alilopewa zawadi Hussein Tshabalala wa Simba SC

dsc_3896

Mwenyekiti wa kamati ya usajili ya Simba Zacharia Hans Poppe aliamua kumpa zawadi ya gari beki wa pembeni wa klabu hiyo Mohamed Hussein ‘Tshabalala’ baada ya kuridhishwa na uwezo wa mchezaji huyo ambaye amefanya vizuri msimu uliopita kiasi cha kupewa tuzo ya mchezaji bora chipukizi wa Ligi Kuu Tanzania bara. Hans Poppe ameamua kumpa Tshabalala gari aina […]

The post VIDEO: Gari jipya alilopewa zawadi Hussein Tshabalala wa Simba SC appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

Michuzi

TSHABALALA AKABIDHIWA TUNZO YA MCHEZAJI BORA WA MWEZI

Katika kuongeza morali na kuwazawadia wachezaji wanaofanya vizuri, Klabu ya Simba ilianzisha Tunzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi kuanzia mwezi wa Septemba 2015.
MSHINDI wa mwezi wa Oktoba, 2015 ni Mohamed Hussein Tshabalala ambapo amepata kura nyingi zaidi zilizopigwa na mashabiki na wapenzi wa Simba na soka wa Tanzania kwa ujumla kupitia simu za mkononi ambao pia wamejiunga na huduma ya Simba News.
Akikabidhiwa tunzo pamoja na pesa taslim Tsh 500,000/= na Mwanachama na Shabiki wa Simba Mbunge wa...

 

2 years ago

Mtanzania

Hanspope kumpa gari Tshabalala

Zacharia HanspopeNA SAADA SALIM,

MWENYEKITI wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hanspope ameahidi kumpa zawadi ya gari beki wa kulia wa timu hiyo, Mohammed Hussein `Tshabalala` kutokana na nidhamu ya hali ya juu aliyoionesha ndani ya kikosi cha Simba.

Tshabalala aliyesajiliwa na klabu hiyo misimu miwili iliyopita akitokea Kagera Sugar, ameonyesha kiwango kilichomfanya aaminiwe na kila kocha aliyeifundisha klabu hiyo katika muda wote alioitumikia Simba na kuwa miongoni mwa wachezaji wasiokosekana kwenye...

 

2 years ago

Mtanzania

Milioni 60 kumbakiza Tshabalala Simba

mechi-3NA ASHA MUHAJI, DAR ES SALAAM

WEKUNDU wa Msimbazi ‘Simba’, wanatarajia kufanya yao kwa kumpa mkataba mnono wenye thamani ya Sh milioni 60 beki wa timu hiyo, Mohamed Hussein ‘Tshabalala’ kuendelea kuitumikia klabu hiyo.

Tshabalala anatarajia kusaini mkataba mpya kesho baada ya kuitumikia Simba katika misimu mitatu ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, akitokea Kagera Sugar.

Mkataba wa awali wa mchezaji huyo uliodumu kwa miaka mitatu, ulikuwa una thamani ya Sh milioni 12,000, ambao kwa sasa...

 

2 years ago

MillardAyo

PICHA 2: Simba SC imemalizana na Tshabalala

screen-shot-2016-11-24-at-7-50-34-pm

Wekundu wa Msimbazi Simba leo November 24 2016 imeamua kumalizana rasmi na beki wake wa pembeni Mohamed Hussein Zimbwe ambaye wengi wanamfahamu kwa jina la ‘Tshabalala’ Simba leo kupitia kwa Rais wao Evans Aveva wamefanikiwa kumuongeza mkataba mpya wa miaka miwili na nusu kuendelea kuitumikia klabu hiyo yenye makao makuu yake mtaa wa Msimbazi. Kwa […]

The post PICHA 2: Simba SC imemalizana na Tshabalala appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

Habarileo

Tshabalala ajitia kitanzi Simba

VINARA wa Ligi Kuu ya Soka ya Tanzania Bara Simba imempa mkataba mpya beki wake wa kushoto Mohamedi Hussein’Tshabalala’ Tshabalala alisaini mkataba wa miaka miwili wenye thamani ya Sh milioni 40 wa kuendelea kuitumikia klabu hiyo yenye masikani yake katika mtaa wa Msimbazi Kariakoo.

 

2 years ago

Mtanzania

Simba kuwaongezea mkataba mnono Tshabalala, Ajib

ibrahim-ajibuNa ADAM MKWEPU-DAR ES SALAAM

UONGOZI wa klabu ya Simba, umepanga kuvunja benki kwa kuwaongezea mkataba mnono wachezaji wake mahiri na muhimu, akiwamo Mohamed Hussein ‘Tshabalala’ na Ibrahim Ajibu, kabla ya kuanza kwa mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Desemba 17 mwaka huu.

Simba imefikia uamuzi huo baada ya kuona wachezaji hao wakinyemelewa na mahasimu wao Yanga, huku mikataba yao ikiwa inaelekea ukingoni

Akizungumza na MTANZANIA jana, Ofisa Habari wa klabu hiyo, Haji Manara,...

 

2 years ago

Mwanaspoti

Simba yashinda vita ya Tshabalala, abaki Msimbazi

KATIKA siku za hivi karibuni kumekuwa na mzozo mkubwa wa kimasilahi uliokuwa ukimhusisha beki wa Simba, Mohammed Husein ‘Tshabalala’ na meneja wake, Herry Mzozo pamoja na mzazi wake. Utata huo ulitishia mchezaji kuvuka uzio na kusaini Yanga, lakini hadi jana mchana wote licha ya tofauti zao ila msimamo ulikuwa ni mmoja; kijana asaini Msimbazi miaka miwili aendelee na maisha yake na hakuna habari ya Jangwani.

 

3 years ago

Global Publishers

Tshabalala anyakua Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi Simba SC

DSCF1094-768x403 Katika kuongeza morali na kuwazawadia wachezaji wanaofanya vizuri, Klabu ya Simba ilianzisha Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi kuanzia mwezi wa Septemba 2015. Mshindi wa mwezi wa Oktoba, 2015 ni Mohamed Hussein Tshabalala ambapo amepata kura nyingi zaidi zilizopigwa na mashabiki na wapenzi wa Simba na soka wa Tanzania kwa ujumla kupitia simu za mkononi ambao pia wamejiunga na huduma ya Simba News. Akikabidhiwa tunzo pamoja na pesa taslim Tsh 500,000/= na Mwanachama na Shabiki wa Simba Mbunge...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani