TSN & TBC KUWAKUTANISHA PAMOJA WAGOMBEA URAIS TFF KATIUKA KIPINDI MAALUM

KAMPUNI ya Magazeti ya Serikali (TSN) pamoja na Shirika la Utangazaji nchini (TBC) kesho Ijumaa (Agosti 11, 2017)wameandaa kipindi maalum kwa wagombea Urais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) kitakachofanyika mjini Dodoma kuanzia majira ya saa 3 usiku.
Kipindi hicho maalumu kitarushwa mubashara kupitia TBC pamoja na ‘TSN Online’ kitawakutanisha wagombea urais; Ally Mayay, Fredrick Mwakalebela, Wallece Karia, Shija Richard, Iman Madega na Emmanuel Kimbe ikiwa ni saa chache kabla ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Vijimambo

FOMU ZA WAGOMBEA URAIS ,UBUNGE PAMOJA NA UDIWANI KESHO

 Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC),Jaji Mstaafu,Damian Lubuva (katikati) akizungumza na waandishi habari juu juu ya maendeleo mbalimbali katika kuelekea uchaguzi mkuu uliofanyika leo Makao Makuu ya NEC jijini Dar es Salaam,Kulia Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam,Kamishina Suleiman Kova na Kushoto ni Mkuu wa Idara ya Uendeshaji Uchaguzi,Clothilde Komba. Kamanda wa polisi wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam,Kamishina Suleiman Kova akizungumza na waandishi habari juu...

 

3 years ago

Michuzi

FOMU ZA WAGOMBEA URAIS ,UBUNGE PAMOJA NA UDIWANI KESHO-LUBUVA

 Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC),Jaji Mstaafu,Damian Lubuva (katikati) akizungumza na waandishi habari juu juu ya maendeleo mbalimbali katika kuelekea uchaguzi mkuu uliofanyika leo Makao Makuu ya NEC jijini Dar es Salaam,Kulia Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam,Kamishina Suleiman Kova na Kushoto ni Mkuu wa Idara ya Uendeshaji Uchaguzi,Clothilde Komba. Kamanda wa polisi wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam,Kamishina Suleiman Kova akizungumza na waandishi habari juu...

 

3 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WIZARA YA HABARI,VIJANA,UTAMADUNI NA MICHEZO AFANYA ZIARA BASATA,TBC NA TSN.

 Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Prof Elisante Ole Gabriel(wa kwanza kushoto) akiangalia mitambo ya kurushia matangazo ya Shirika la Utangazaji Tanzania(TBC) wakati alipofanya ziara ya kikazi katika minara ya shirika hilo leo hii  Kisarawe.Profesa Elisante amefanya ziara katika Taasisi tatu zilizo chini ya Wizara hiyo ambazo ni Baraza la Sanaa Tanzabia (BASATA),Tanzania Standard Newspapers(TSN) na Shirika la Utangazaji Tanzania(TBC) lengo likiwa ni kufahamiana na...

 

3 years ago

Dewji Blog

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo afanya ziara BASATA, TBC na TSN!

IMG_6341

Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Prof Elisante Ole Gabriel(aliyekaa mwenye miwani) akipata maelekezo jinsi gazeti linavyotengenezwa kutoka kwa mtumishi wa Standard News Papers (TSN) mapema jana jijini Dar es Salaam alipofanya ziara ya kikazi na kuangalia utendaji wa kazi.

IMG_6056 - Copy

Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Prof Elisante Ole Gabriel (wa kwanza kushoto) akiangalia mitambo ya kurushia matangazo ya Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) wakati...

 

9 months ago

Michuzi

TSN,TBC ZA TWAA TUZO ZA DSE 2017 PIA ZIPO NMB, TBL NA STANDARD CHARTERED BANK

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango,  Dorothy  Mwanyika akimkabidhi Tuzo  ya Chombo bora cha habari mwaka 2017 (Magazeti), Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Serikali (TSN), Dk. Jim Yonazi (kulia) baada ya Kampuni hiyo kuibuka mshindi katika tuzo za mwaka huu zinazotolewa na Soko la Hisa Dar es Salaam (DSE) kwa wanachama na wadau wake. Katikati ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa DSE, Moremi Marwa. (Picha:Mroki Mroki/TSN Digital).  Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango,  Dorothy  Mwanyika...

 

9 months ago

Channelten

Baada ya matokeo ya Urais kufutwa Kenya, Wagombea wote wa urais wakutana na tume ya uchaguzi

uhuru_kenyatta_and_raila_odinga-600x315

Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga amefika kwenye mkutano ulioitishwa na tume ya uchaguzi na mipaka nchini Kenya IEBC katika ukumbi wa Bomas of Kenya mjini Nairobi.

Rais Uhuru Kenyatta ambaye naye alialikwa kwenye mkutano huo na IEBC alitarajiwa kufika katika mkutano huo ambao tume ilitisha mkutano na wagombea hao wakuu wa urais kabla ya uchaguzi wa tarehe 26 mwezi huu, kujadiliana kuhusu maandalizi ya uchaguzi huo.

Wakati huo huo Chuo Kikuu cha Nairobi kimefungwa kwa muda...

 

3 years ago

Habarileo

Kipindi cha TBC kufichua ukali wa maisha ughaibuni

Mkuu wa Mawasiliano TBC, Jane Shirima SHIRIKA la Utangazaji Tanzania(TBC), kwa kushirikiana na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, kitengo cha Diaspora wameanzisha kipindi cha runinga kitakachojulikana kama Bondeni kitakachokuwa kikielezea kwa undani maisha ya Watanzania waishio nchi mbalimbali duniani.

 

4 years ago

Michuzi

3 years ago

GPL

USIKOSE KUTAZAMA NYUMBANI NA DIASPORA KIPINDI KIPYA NDANI YA TBC 1

Ni kipindi kipya cha saa nzima chenye kuhusiana na Watanzania wa nyumbani na walio nje ya mipaka yetu. Ni kipindi daraja kitakachowaunganisha Watanzania katika kubaini fursa mbalimbali za kuinuka kimaendeleo, kwa mtu mmoja mmoja, jumuiya na hatimaye taifa. Ni kipindi kitakachoongozwa na mchambuzi na mmoja wa wanahabari nguli hapa nchini. Si mwingine ni Maggid Mjengwa. Jiunge nae kufuatilia mahojianomotomoto na watu wa kada...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani