TSSF kuanzisha kituo cha maendeleo

SHIRIKA lisilokuwa la kiserikali la Tanzania Social Support Foundation (TSSF), la mjini Mtwara, limefungua kituo cha maendeleo kwa ajili ya Kanda ya Kusini Mashariki, Centre for Development in South-Eastern (CDSET)....

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

TANZANIA NA ZAMBIA ZASAINI MAKUBALIANO YA KUANZISHA KITUO CHA PAMOJA CHA FORODHA


Benny Mwaipaja-WFM, Mbeya

TANZANIA na Zambia, zimetiliana saini Mikataba Minne kwa ajili ya uanzishwaji rasmi wa kituo cha pamoja katika mpaka wa Tunduma na Nakonde, kitakachoanza kufanyakazi rasmi Februari mosi mwaka huu, ili kurahisisha ufanyaji biashara kati ya nchi hizo mbili

Uamuzi wa kuanzishwa kwa huduma hiyo ijulikanayo kama One Stop Border Post, ni utekelezaji wa maagizo ya Marais wa nchi hizo Mbili, Waheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli, na Edger Lungu, waliyoyatoa wakati Rais...

 

2 years ago

Dewji Blog

Tanzania,Zambia zasaini makubaliano ya kuanzisha kituo cha pamoja cha Forodha

Tanzania n Zambia, zimetiliana saini Mikataba Minne kwa ajili ya uanzishwaji  rasmi wa kituo cha pamoja katika mpaka wa Tunduma na Nakonde,  kitakachoanza kufanyakazi rasmi Februari mosi mwaka huu, ili kurahisisha ufanyaji biashara kati ya nchi hizo mbili

Uamuzi wa  kuanzishwa kwa huduma hiyo ijulikanayo kama One Stop Border Post, ni utekelezaji wa maagizo ya Marais wa nchi hizo Mbili, Waheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli, na Edger Lungu, waliyoyatoa wakati Rais huyo wa  Jamhuri ya Zambia,...

 

5 years ago

Michuzi

TANZANIA NA MALAWI ZASAINI MKATABA WA KUANZISHA KITUO CHA PAMOJA CHA UHAMIAJI NA USHURU WA FORODHA

Na Ally Kondo, Lilongwe  Nchi za Afrika zimehimizwa kufanya biashara baina yao ili kujiletea maendeleo, badala ya kusubiri misaada isiyokuwa na uhakika kutoka nchi wahisani. Kauli hiyo ilitolewa na Waziri wa Fedha, Mhe. Saada Salum (Mb) wakati wa hafla ya uwekaji saini Mkataba wa kuanzisha Kituo cha Pamoja cha Uhamiaji na Ushuru wa Forodha cha Songwe - Kasumulu kati ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya Malawi.   Uwekaji saini huo ulifanyika Lilongwe, Malawi leo  Jumatatu tarehe 10 Machi,...

 

3 years ago

Michuzi

ZANZIBAR KUANZISHA KITUO CHA MTANDAO WA MAENEO YAKE.

 Mkurugenzi wa Mipango miji na Vijiji Zanzibar Dkt. Mohammed Juma akizungumza kando ya Warsha ya kuanzisha kituo cha Mtandao wa Maeneo na mazingira ya Zanzibar huko Shangani mjini Zanzibar. Baadhi ya Maafisa kutoka Zanzibar na wenzao wa Finland wakijadiliana namna ya bora ya kuanzisha kituo cha Mtandao wa Maeneo na mazingira ya Zanzibar katika ukumbi wa Hoteli ya Marumaru Shangani mjini Zanzibar.Picha no - 0687 Maafisa kutoka Taasisi mbalimbali za Zanzibar wakisikiliza mafunzo yaliyokuwa...

 

2 years ago

Michuzi

MAHAKAMA KUANZISHA KITUO CHA MAFUNZO DAR ES SALAAM

 Mhandisi wa Mahakama ya Tanzania, Khamadu Kitunzi akielezea teknolojia inayotumika kujenga jengo la kituo cha mafunzo cha mahakama leo jijini dar es salaam. Kaimu jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Hamis Juma (katikati) akiwa na Mwakilishi wa Benki ya dunia nchini, Bella Bird (kulia) na kulia ni jaji kiongozi wa mahakama kuu ya Tanznaia Mhe. Ferdinand Wambali walipotembelea ujenzi wa kituo cha mafunzo cha Mahakama leo jijini Dar es salaamPicha ya pamoja mara baada ya mazungumzo.
Na Mohamed...

 

3 years ago

Dewji Blog

Unataka kuanzisha kituo cha radio? mchongo huu hapa

unnamed (1)

The post Unataka kuanzisha kituo cha radio? mchongo huu hapa appeared first on DEWJIBLOG.

 

5 years ago

GPL

YATIMA KITUO CHA MWANDALIWA WAWEZESHWA KUANZISHA MRADI WA KUJIPATIA KIPATO

Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakiwasili katika kituo cha kulelea watoto yatima cha Mwandaliwa kilichopo Bunju, jijini Dar es salaam. Vodocom ilitemebela kituoni hapo kukakidhi hundi ya Sh. 20 kutoka Vodacom Foundation kusaidia mradi wa ushonaji na ufugaji unaondeshwa na kituo hicho. Mkuu wa Idara ya Huduma kwa Jamiiā€¦

 

2 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI: Kuanzisha soko ndani ya kituo cha mabasi siyo busara

Kwa miaka mingi wachuuzi na wamachinga wameonekana wakiuza bidhaa zao kwenye vituo vya mabasi. Ni kawaida kuwaona wauzaji wa bidhaa za vinywaji baridi kama soda, maji na hata biskuti wakiyakimbilia magari kuuza bidhaa zao katika vituo vingi nchini.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani