TUME YA KUREKEBISHA SHERIA TANZANIA YATEMBELEA MAKAZI YA WAZEE WASIOJIWEZA NA KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA MKOANI SHINYANGA

 Katibu Msaidizi Tume ya Kurekebisha Sheria Agnes Mgeyekwa akiongea na Wazee pamoja na wafanyakazi wa makazi ya wazee wasiojiweza ya Kolandoto yaliyopo katika manispaa ya Shinyanga wakati Tume ilipotembelea makazi hayo ikiwa ni sehemu ya Utafiti wa Mfumo wa Kisheria wa Huduma za Ustawi wa Jamii Tanzania. Sehemu ya wazee wa Makazi ya Wazee wasiojiweza ya Kolandoto yaliopo katika Manispaa ya Shinyanga wakimsikiliza katibu Msaidzi Tume ya Kurekebisha Sheria Bi. Agnes Mgeyekwa. Mkuu wa Makazi ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 months ago

Michuzi

TUME YA KUREKEBISHA SHERIA YATEMBELEA MAKAZI YA WAZEE YA NYABANGE NA KITUO CHA KULELEA WATOTO CHA JIPE MOYO MKOANI MARA

Katibu Msaidizi Tume ya Kurekebisha Sheria Bi. Agnes Mgeyekwa akiongea na Wazee katika Makazi ya wazee wasiojiweza ya Nyabange yaliyopo Butiama mkoani Mara wakati wa Tume ilipotembelea makazi hayo ikiwa ni sehemu ya Utafiti wa Mfumo wa Kisheria wa Huduma za Ustawi wa Jamii Tanzania.Sehemu ya wazee katika Makazi ya Wazee wasiojiweza ya Nyabange yaliyopo Butiama mkoani Mara wakimsikiliza katibu Msaidzi Tume ya Kurekebisha Sheria Bi. Agnes Mgeyekwa. Katibu Msaidizi Tume ya Kurekebisha Sheria...

 

6 months ago

Michuzi

WANAFUNZI UTUMISHI WATOA MISAADA KWENYE KITUO CHA KULELEA WAZEE WASIOJIWEZA CHA MWANZAN

CHUO cha Utumishi wa Umma Tawi la Tanga kimetoa msaada kwenye kituo cha kulelea wazee wasiojiweza cha Mwanzange Jijini Tanga ikiwa ni mpango wao wa kuona namna ya kusaidia jamii inayokabiliwa na changamoto mbalimbali.Msaada uliokabidhiwa ni mchele kg 500, unga kg 300, sukari mifuko 2 kg100,sabuni ya unga mifuko 3,sabuni ya maji box 10,sabuni ya kuogeakatoni 2,maharagwe kg 100,chumvi katoni 10,mbuzi wawili.
Vitu vyengine ambazo vilikabidhiwa ni majani ua chai katoni 2,dagaa kg10,ngano kg...

 

3 years ago

Michuzi

UN CLUBS TANZANIA NA PROF. NDALICHAKO WATOA MSAADA KATIKA KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA CHA KURASINI

Afisa Habari wa kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC), Bi. Stella Vuzo (kulia) akimkabidhi msaada kwa mlezi wa kituo cha kulelea watoto Bi. Jack Omary(kushoto) ambaye ni Afisa Ustawi wa Jamii kituo cha taifa cha kulea watoto wanaoishi katika mazingira magumu cha Kurasini, hafla hii imefanyika katika siku ya wapendanao. Misaada hyo imetolewa na vijana wa UN Clubs Tanzania Network kwa kanda ya Dar es salaam pamoja na Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, Profesa...

 

3 years ago

Bongo Movies

Video: JB Alipotembelea Kituo cha Kulelea Watoto Yatima

Staa mkongwe wa Bongo Movies, Jacob Stephen ‘JB’ mwishoni mwa mwaka uliyopita alitembelea kituo cha Watoto Yatima cha Msimbazi Centre kilichopo Ilala na kutoa zawadi kwa watoto wa kituo hicho kinachomilikiwa na Kanisa Katoliki msanii huyo amesema anasikia faraja kuwatembelea watoto hao.

Jb-Almas na Hindu

JB pia alitumia nafasi hiyo kwa kuongea na uongozi wa kituo hicho kisha kuwatambulisha wasanii walioshiriki katika filamu ya Chungu cha Tatu ambayo imeingia leo sokoni na aliongozana nao walikuwa ni Patcho...

 

4 months ago

Michuzi

JESHI LA POLISI PWANI LATOA ZAWADI ZA IDDI NA KUFUTURISHA WATOTO YATIMA KITUO CHA KULELEA WATOTO FADHILA MISUGUSUGU

Na Mwamvua Mwinyi, PwaniKAMANDA wa polisi mkoani Pwani (ACP) Jonathan Shanna,amewataka wananchi wenye uwezo kimaisha kutumia sehemu ya vipato vyao kuwezesha watoto yatima badala ya kuwaachia jukumu hilo wamiliki wa vituo vya kulelea watoto hao pekee.Aliyasema hayo wakati jeshi hilo lilipojumuika katika Iftar ya pamoja na watoto yatima wa kituo cha Fadhila kilichopo eneo la Misugusugu Kibaha na kutoa zawadi ya sikukuu ya Eid el Fitr kwa watoto hao.Alisema hakuna mtoto aliyependa kuwa yatima...

 

3 years ago

Bongo Movies

Picha: Wema Atembelea Kituo cha Kulelea Watoto Yatima Arusha

Mapema jana staa mrembo wa Bongo Movies, Wema Sepetu aliwatembelea watoto yatima wanaolelewa kwenye kituo cha Good Hope Orphanage kilichopo maeneo ya Usa-River jijini Arusha ambapo staa huyo alitoa msaada wa chakula na vitu mbalimbali kwa watoto hao.

Hizi ni baadhi ya picha za tukio zima alizoziweka kwenye ukurasa wake intsgaram.

Mungu akuzidishie moyo wa huruma Wema Sepetu

 

12 months ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA BIMA YA BRITAM WATOA MSAADA KATIKA KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA CHA CHAKUWAMA.

WAFANYAKAZI wa bima ya Britam ambayo hutoa bima za magari, bima za nyumba, bima za wakandarasi, bima za usafiri wa majini pamoja na bima za safari bima za afya pamoja na nyingine nyingi leo wametembelea kituo cha kulelea watoto yatima cha CHAKUWAMA kilichopo Sinza jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi hao wametoa vitu mbalimbali kama vile Unga kilo 300Maharage 250,Sukari kilo 200,sabuni za unga,Karatasi nyeupe (limu bunda)200,Daftari boksi 500, Mafuta ya kula lita 100,chumvi pamoja na vifaa...

 

3 years ago

GPL

GLOBAL YATOA MSAADA KWENYE KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA CHAKWAMA

Katibu Mtendaji wa CHAKWAMA, Hassan Khamis akimuelezea jambo Ofisa Utawala wa Global Sudi Kivea. Mhasisi wa CHAKWAMA, Bi Saida Hassan akiongea na Ofisa Sudi Kuvea.
Watoto Yatima…

 

3 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya Tigo yatoa misaada kituo cha kulelea watoto yatima cha Mugeza Mseto Manispaa ya Bukoba

Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Ziwa, Ali Maswanya akikabidhi misaada mbalimbali Mwenyekiti wa kamati ya shule ya kulelea watoto yatima cha Mugeza Mseto Manispaa ya Bukoba Bi. Evelyne Mwijage juzi. Kampuni ya Tigo ilitoa misaada kwenye kituo hicho.

Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Ziwa, Ali Maswanya akikabidhi misaada mbalimbali Mwenyekiti wa kamati ya shule ya kulelea watoto yatima cha Mugeza Mseto Manispaa ya Bukoba Bi. Evelyne Mwijage. Kampuni ya Tigo ilitoa misaada kwenye kituo hicho

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani