TUME YA UCHAGUZI YAMTEUA NDG. CATHERINE RUGE KUWA MBUNGE WA VITI MAALUM CHADEMA


  Ndugu Catherine Nyakao Ruge 

KUHUSU UTEUZI WA CATHERINE NYAKAO RUGE KUWA MBUNGE WA VITI MAALUM KUPITIA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO


Kwa mujibu wa Ibara ya 78(4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 ikisomwa pamoja na Kifungu cha 86A (8) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343, Tume ya Taifa ya Uchaguzi katika kikao chake cha tarehe 04 Mei, 2017 imemteua Ndugu Catherine Nyakao Ruge kuwa Mbunge wa Viti Maalum katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

CCM YAMTEUA NDG. RIDHIWANI KIKWETE KUWA MGOMBEA WA UBUNGE KWENYE UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA CHALINZE

DODOMA,Tanzania
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imemteua Kada wa CCM, Ridhiwani Kikwete kuwa mgombea wake wa Ubunge katika uchaguzi mdogo jimbo la Chalinze kuziba nafasi iliyoachwa wazi na mbunge wa zamani wa jimbo hilo, marehemu Said Mwanamdogo.
Taarifa iliyotolewa na Makao Makuu ya CCM kupitia Idara ya Itikadi na uenezi CCM, imesema wakati uzinduzi wa kampeni za CCM katika uchaguzi huo utafanywa na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana, kampeni za zitaongozwa na Katibu wa...

 

3 years ago

CCM Blog

MAZISHI YA ALIYEWAHI KUWA MBUNGE WA VITI MAALUM CHADEMA CHRISTINA LISU, YALIYOHUDHURIWA NA MSEMAJI WA CCM, OLE SENDEKA

Msemaji Mkuu wa CCM, Christoher Ole Sendeka akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyewahi kuwa Mbunge wa viti Maalum wa Chadema, Christina Lisu, wakati wa maziko yaliyofanyika nyumbani kwa marehemu Kijiji cha Mahambe, wilayani Ikungi mkoani Singida PICHA ZAIDI> BOFYA HAPA

 

2 years ago

Michuzi

TUME YATEUA MBUNGE NA MADIWANI WATATU (3) WANAWAKE WA VITI MAALUM

NEC -  Dar es salaam.
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imemteua Ndugu Rehema Juma Migilla kuwa Mbunge wa Viti Maalum katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Wananchi (CUF) ,kujaza nafasi iliyoachwa wazi na Ndugu Hindu Hamisi Mwenda aliyefariki  dunia Septemba 1, 2017.


Akizungumzia uteuzi huo, Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bw. Kailima Ramadhani amesema kuwa Tume imemteua Ndugu Rehema Juma Migilla mara baada ya kupokea taarifa ya kuwepo kwa nafasi wazi...

 

3 years ago

Dewji Blog

Tume ya Taifa ya Uchaguzi yatoa idadi ya viti maalum

lub Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Mstaafu Mhe. Damian Lubuva. Na Lilian Lundo – Maelezo   Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Mstaafu Mhe. Damian Lubuva ametangaza idadi ya wabunge wa Viti Maalum leo katika ukumbi wa ofisi za Tume hiyo jijini Dar es Salaam.   Jaji Lubuva akitoa taarifa hiyo kwa waandishi wa habari alisema kwamba, kwa mujibu wa Ibara ya 66(1) (b) na Ibara ya 78 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 ikisomwa kwa pamoja na...

 

4 years ago

Michuzi

Mbunge wa Viti Maalum Chadema,Leticia Nyerere arejea CCM.

 Mbunge wa Viti Maalum wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),Leticia Nyerere akinyanyua mikono ikiwa ni sehemu ya ishara ya kuondoka katika chama hicho na kurejea Chama cha Mapinduzi (CCM) wakati alipokutana na waandishi wa habari katika ukumbi wa Idara ya habari Maelezo leo jijini Dar es Salaam.

 Mbunge wa Viti Maalum Chadema,Leticia Nyerere akifafanua jambo kwa waandishi habari juu ya kuondoka katika chama hicho. Waandishi wa habari wakifuatilia kwa umakini maelezo ya Mbunge wa...

 

3 years ago

Michuzi

TANZIA: Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA, Mh. Christina Lissu Mughwai afariki dunia

Taarifa iliyotufikia hivi punde, inaeleza kuwa, Mbunge wetu wa Viti Maalum na Dada wa Mh. Tundu Lissu, Mh. Christina Lissu Mughwai amefariki dunia muda mfupi uliopita katika hospitali ya Aga Khan jijini Dar es salaam alikokuwa akipatiwa matibabu. Marehemu alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa Kansa tangu mwaka jana. 
Mungu aiweke roho Marehemu Mahala pema peponi 
Amin.

 

2 years ago

CCM Blog

NEC YATANGAZA NAFASI WAZI YA KITI CHA MBUNGE WA VITI MAALUM CHADEMA
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza kuwepo kwa nafasi wazi ya Mbunge wa Viti Maalum kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo – CHADEMA,  kufuatia kifo cha Mbunge wa Viti Maalum wa chama hicho Mhe. Dr. Elly Marko Macha aliyefariki tarehe 31 Machi 2017.
Akitoa taarifa ya nafasi hiyo kuwa wazi Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji wa Rufaa Mhe. Semistocles Kaijage amesema kuwa kwa mujibu wa Kifungu cha 37 (3) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343, Mhe. Spika wa Bunge...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani