Tunapouanza mwaka mpya kwa maumivu ya kujitakia

NIMEPIGIWA simu nyingi na kuandikiwa ujumbe wa maandishi na baadhi ya watu waliosoma makala yangu Jumatano wiki iliyopita, iliyokuwa ikijadili namna mbunge wa CCM alivyofanya dhihaka katika msiba. Naambiwa wananchi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Bongo5

Siku 100 kila mwaka za maumivu kwa Millen Magese, ni ukombozi kwa wasichana

page

Dunia ina takribani nchi 154 lakini takwimu zinaonyesha Tanzania ni nchi ya 145 ambayo wananchi wake hawana furaha. Hili sio jambo la kufurahia kwa kuwa furaha ni kitu cha msingi katika maisha ya binadamu ndio maana kukawa na vitu mbalimbali ambavyo vinaweza kuwapatia watu furaha na amani ya moyo.
page

Licha ya kuwa furaha ni kitu muhimu katika maisha ya binadamu, Miss Tanzania 2001 Millen Magese hukosa furaha siku 100 kati ya siku 365 za mwaka kutokana kusumbuliwa na ugonjwa na Endometriosis...

 

4 years ago

Vijimambo

HEPAUTWA:NAFAHAMU MAUMIVU YALIYOTOKEA KWA WANA CCM BAADA YA KUICHAGUA CHADEMA UCHAGUZI WA MWAKA 2010

Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wa mjini Iringa, Nuru Hepautwa akizungumza jambo kwenye moja ya mkutano wa chama
Na Friday Simbaya, Iringa
KADA maarufu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wa mjini Iringa, Nuru Hepautwa amesema anafahamu maumivu yaliyotokea kwa wana CCM baada ya kuachia jimbo hilo mikononi mwa Chadema katika uchaguzi wa mwaka 2010 lakini akaahidi kuyamaliza endapo atapewa ridhaa hiyo.
Hepautwa ambaye pia ni mfadhili wa mashindano ya soka yaliyojizolea umaarufu mjini Iringa ya...

 

3 years ago

MillardAyo

Kabla ya kuuanza mwaka mpya, kutana na video ya matukio ya soka ya kuchekesha kwa mwaka 2015 …

Mtu wangu wa nguvu najua tunaelekea kuuaga mwaka 2015 na kuingia mwaka mpya 2016. Kaabla ya kumalizika mwaka 2015 naomba nikusogezee video ya matukio ya kuchekesha katika soka yaliyotokea kwa mwaka 2015. Katika hii video kuna matukio ya Pep Guardiola na Frank Ribery. Jamaa kumbiss Zlatan Ibrahimovic. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka […]

The post Kabla ya kuuanza mwaka mpya, kutana na video ya matukio ya soka ya kuchekesha kwa mwaka 2015 … appeared first on...

 

2 years ago

Mwananchi

Wabunge wageuzwa ATM kwa kujitakia

Dodoma. Wakati wabunge wakionyesha kukerwa na kugeuzwa ATM majimboni kwao, Katibu wa Spika, Saidi Yakubu amewaeleza kuwa wao ndio chanzo hivyo wakiamua tatizo hilo litakwisha.

 

2 years ago

Mwananchi

JPM: Shetani anatucheka kwa umaskini wa kujitakia

Rais John Pombe Magufuli amesema hata shetani huko alipo atakuwa anawacheka Watanzania kutokana na umaskini wa kujitakia.

 

2 years ago

Malunde

RAIS MAGUFULI : SHETANI ANATUCHEKA KWA UMASKINI WA KUJITAKIA


Rais John Pombe Magufuli amesema hata shetani huko alipo atakuwa anawacheka Watanzania kutokana na umaskini wa kujitakia.

Amesema Mungu amelibariki taifa kuwa na kila aina ya madini lakini umaskini umeendelea kuwatafuna Watanzania.
Kauli hiyo ameitoa jana baada ya kupokea ripoti ya kamati ya pili ya kuchunguza kiwango cha madini yaliyomo katika mchanga wa madini .
Kamati hiyo inaongozwa na Mwenyekiti wake, Profesa Nehemiah Osoro, imewasilisha ripoti hiyo ikiwa ni siku 18 baada ya kamati ya...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Video nyimbo mpya ya alikiba ‘Maumivu Per Day’

Msanii wa muziki wa bongo fleva ambaye sasa anafanya vyema na wimbo wake ‘Seduce me’ Alikiba ameamua kuachia video ya wimbo wake wa zamani ambao ulivuja kama zawadi kwa mashabiki wake katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa hapo jana .

“Nashukuru sana watu ambao wamenitakia kheri katika siku yangu ya kuzaliwa, nimejaliwa, kupendelewa na kupendwa pia nashukuru sana kwa jambo hilo, nawapenda wote na nitafanya kazi kwa nguvu zote kuwafanya mjivunie uwepo wangu. Maumivu Per Day...

 

1 year ago

Malunde

Video Mpya : THE SUPER 'NYANKOLE' KUTOKA KAHAMA - MAUMIVU


Ninayo hapa ngoma mpya kali ya Mwana dada machachari katika nyimbo za asili "The Super Nyankole" kutoka Kahama mkoani Shinyanga.Ngoma hii inaitwa 'Maumivu'. Ametumia lugha mbili,Kisukuma na Kiswahili.
Bofya hapa chini Kutazama video hii kali iliyo katika ubora wa hali ya juu iliyoongozwa na Masesa kutoka Angel Studio za Kahama

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Ndege mpya zaja na mapya ATCL, Maumivu makali mishahara vigogo

atcl

AyoTV kila asubuhi itakua inakuletea uchambuzi wa magazeti ya Tanzania kuhakikisha zote kubwa za siku unazipata, za leo September 24 2016 ziko hapa kwenye hii video. ULIKOSA NDEGE MPYA ILIYONUNULIWA NA SERIKALI ILIVYOWASILI JIJINI DAR ES SALAAM? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

The post VIDEO: Ndege mpya zaja na mapya ATCL, Maumivu makali mishahara vigogo appeared first on millardayo.com.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani