TUNDU LISSU ACHAGULIWA KUWA RAIS WA TLS

Wajumbe wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), leo wamefanya uchaguzi wa kumchagua rais pamoja na wajumbe wa ngazi mbalimbali za uongozi wa chama chao.
Uchaguzi huo umefanyika mjini Arusha ambako wanachama  wa TLS wamekutana kutekeleza ratiba hiyo pamoja na kupanga mipango mbalimbali ya utendaji kazi wa chama hicho.
Matokeo ni kama ifuatavyo: Urais: Kura zilizopigwa 1682    Tundu Lissu 1411  sawa na asilimia 88    Francis Stolla 64    Victoria Mandari 176    Godwin Mwapongo 64==>Kwa...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Malunde

FATMA KARUME NDIYO MRITHI WA TUNDU LISSU...ACHAGULIWA KUWA RAIS TLS

Wakili wa kujitegemea, Fatma Karume amechaguliwa kuwa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (Tanganyika Lawyers Society – TLS), akichukua mikoba ya aliyekuwa Rais wa Chama hicho, Tundu Lissu baada ya muda wake kumalizika.

Katika uchaguzi huo, Dkt. Rugemeleza Nshala amechaguliwa kuwa Makamu wa Rais wa chama hicho.

Aidha, Ndugu Omar Shaaban amechaguliwa kuwa Rais wa Zanzibar Lawyers Society.

Kwa mujibu wa katiba ya Chama hicho, Uongozi wa TLS hudumu kwa kipindi cha mwaka mmoja tu, na baada ya...

 

1 year ago

VOASwahili

Fatma Karume achaguliwa kuwa Rais wa TLS

Wakili Fatma Karume amechaguliwa kuwa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanzania (TLS).

 

2 years ago

Malunde

MAWAKILI TANZANIA WAMGOMEA RAIS WA TLS TUNDU LISSU


MGOMO wa kutohudhuria mahakamani uliotangazwa na Rais wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS), Tundu Lissu, umepingwa na kukosa kuungwa mkono baada ya mawakili kujitokeza kwa wingi mahakamani jana huku wakieleza kuwa ni wazo la mtu mmoja na kwamba huenda wanaogoma hawana kesi katika siku hizo mbili.
Katika mikoa ya Dar es Salaam, Mbeya, Mwanza, Arusha, Kagera, Geita na Mara, gazeti hili limeshuhudia mawakili wakiendelea kuwawakilisha wateja wao licha ya agizo la TLS chini ya Lissu, ambaye pia...

 

2 years ago

Bongo5

Rais wa TLS Tundu Lissu atuma waraka kwa Rais Magufuli

Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema) Tundu Lissu ambaye pia ni Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Tundu Lissu amemuandikia waraka, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli.

Hii ni taarifa yake:


Na Emmy Mwaipopo

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!Share on Whatsapp

 

2 years ago

Global Publishers

Sakata la RC Makonda…. Rais wa TLS Tundu Lissu Atuma waraka kwa Rais Magufuli

The post Sakata la RC Makonda…. Rais wa TLS Tundu Lissu Atuma waraka kwa Rais Magufuli appeared first on Global Publishers.

 

2 years ago

Malunde

Picha: SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA RAIS WA TLS TUNDU LISSU

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akisalimiana na Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) Mhe.Tundu Lissu walipofika na Ujumbe kutoka TLS kumtembelea ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma.Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akizungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) Mhe.Tundu Lissu na ujumbe wake walipomtembelea ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma.Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) Mhe.Tundu...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Tundu Lissu atoa neno baada ya kuchaguliwa rais mpya wa TLS

Baada ya uchaguzi wa kutafuta rais katika chama cha mwakili wa Tanzania kumalizika hapo jana April 14, 2018 ambapo Wakili maarufu nchini Fatma Karume alifanikiwa kushinda katika uchaguzi huo kwa kupata kura 820 nakuchaguliwa kuwa raisi mpya wa chama  hicho.

Aliekuwa rais wazamani wa chama hicho Tundu Lissu kupitia ukurasa wake wa Instagram ametoa pongezi kwa wanachama wote wa TLS na kumtakia Rais mteule Fatma karume kheri katika majukumu mapya.

Napenda kuwapongeza wanachama wote wa Chama cha...

 

2 years ago

Habarileo

Mwakyembe amkalia kooni Tundu Lissu TLS

WAZIRI wa Mambo ya Katiba na Sheria, Dk Harrison Mwakyembe amesema Serikali haiwezi kuona Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kinajiingiza katika siasa.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani