Tundu Lissu atoa neno baada ya kuchaguliwa rais mpya wa TLS

Baada ya uchaguzi wa kutafuta rais katika chama cha mwakili wa Tanzania kumalizika hapo jana April 14, 2018 ambapo Wakili maarufu nchini Fatma Karume alifanikiwa kushinda katika uchaguzi huo kwa kupata kura 820 nakuchaguliwa kuwa raisi mpya wa chama  hicho.

Aliekuwa rais wazamani wa chama hicho Tundu Lissu kupitia ukurasa wake wa Instagram ametoa pongezi kwa wanachama wote wa TLS na kumtakia Rais mteule Fatma karume kheri katika majukumu mapya.

Napenda kuwapongeza wanachama wote wa Chama cha...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

11 months ago

Zanzibar 24

Mbowe atoa neno baada Fatma Karume kuwa Rais wa TLS

Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Kiongozi wa kambi ya Upinzani Bungeni na Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe amempongeza Fatma Karume baada ya kuchaguliwa kuwa Rais mpya wa TLS.

Soma hapa taarifa kamili.

The post Mbowe atoa neno baada Fatma Karume kuwa Rais wa TLS appeared first on Zanzibar24.

 

1 year ago

Zanzibar 24

Tundu Lissu atoa neno Nyalandu kujivua CCM

Mbunge wa Singida Mashariki na Mwanasheria mkuu wa CHADEMA Mh. Tundu Lissu, amempongeza Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu kwa uamuzi wake wa kujivua uanachama CCM na kuomba kujiunga na CHADEMA.

“Nimepokea kwa faraja kubwa taarifa za kujiuzulu kwa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini, Mh. Lazaro Nyalandu kutoka CCM na maombi yake ya kujiunga na CHADEMA…,”amesema Tundu Lissu akiwa hospitali jijini Nairobi.

Tundu Lissu anayeendelea na matibabu nchini Nairobi kutokana na...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Waziri mkuu atoa neno kushambuliwa kwa Tundu Lissu

Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa ameeleza kuwa Serikali bado inaendelea na uchunguzi wa matukio kadhaa ya uhalifu yanayoendelea kutokea nchini ikiwemo tukio la kushambuliwa kwa mbunge wa singida mashariki Mh. Tundu Lissu. ameyaeleza hayo wakati akijibu swali la kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni Freeman Mbowe ambaye alihoji ni kwanini Serikali imekataa kutoa kibali cha wao kuleta wachunguzi wa kimataifa ili kufuatilia matukio ambayo yamekuwa yakitokea nchini na kuhatarisha...

 

2 years ago

Malunde

TUNDU LISSU ACHAGULIWA KUWA RAIS WA TLS

Wajumbe wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), leo wamefanya uchaguzi wa kumchagua rais pamoja na wajumbe wa ngazi mbalimbali za uongozi wa chama chao.
Uchaguzi huo umefanyika mjini Arusha ambako wanachama  wa TLS wamekutana kutekeleza ratiba hiyo pamoja na kupanga mipango mbalimbali ya utendaji kazi wa chama hicho.
Matokeo ni kama ifuatavyo: Urais: Kura zilizopigwa 1682    Tundu Lissu 1411  sawa na asilimia 88    Francis Stolla 64    Victoria Mandari 176    Godwin Mwapongo 64==>Kwa...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Neno la mwanzo kutoka kwa Tundu Lissu baada ya kuzinduka

Mbunge wa Singida Mashariki na Mwanasheria Mkuu wa (CHADEMA) Tundu Lissu ambaye anapatiwa matibabu nchini Kenya kufuatia kujeruhiwa kwa risasi na watu wasiojulikana siku ya Septemba 7, 2017 amezinduka na kutoa neno kwa Mwenyekiti wake wa CHADEMA.

Katika ujumbe ambao umewekwa na Mbunge waArushaa Mjini Godbles Lema unasema kuwa kiongozi huyo alipopata fahamu aliweza kutoa maneno machache akimtaka Mwenyekiti kuendeleza mapambano.

Tundu Lissu kwa sasa amelazwa nchini Kenya akipatiwa matibabu...

 

2 years ago

Malunde

MAWAKILI TANZANIA WAMGOMEA RAIS WA TLS TUNDU LISSU


MGOMO wa kutohudhuria mahakamani uliotangazwa na Rais wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS), Tundu Lissu, umepingwa na kukosa kuungwa mkono baada ya mawakili kujitokeza kwa wingi mahakamani jana huku wakieleza kuwa ni wazo la mtu mmoja na kwamba huenda wanaogoma hawana kesi katika siku hizo mbili.
Katika mikoa ya Dar es Salaam, Mbeya, Mwanza, Arusha, Kagera, Geita na Mara, gazeti hili limeshuhudia mawakili wakiendelea kuwawakilisha wateja wao licha ya agizo la TLS chini ya Lissu, ambaye pia...

 

2 years ago

Bongo5

Rais wa TLS Tundu Lissu atuma waraka kwa Rais Magufuli

Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema) Tundu Lissu ambaye pia ni Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Tundu Lissu amemuandikia waraka, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli.

Hii ni taarifa yake:


Na Emmy Mwaipopo

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!Share on Whatsapp

 

2 years ago

Global Publishers

Sakata la RC Makonda…. Rais wa TLS Tundu Lissu Atuma waraka kwa Rais Magufuli

The post Sakata la RC Makonda…. Rais wa TLS Tundu Lissu Atuma waraka kwa Rais Magufuli appeared first on Global Publishers.

 

2 years ago

Malunde

Picha: SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA RAIS WA TLS TUNDU LISSU

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akisalimiana na Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) Mhe.Tundu Lissu walipofika na Ujumbe kutoka TLS kumtembelea ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma.Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akizungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) Mhe.Tundu Lissu na ujumbe wake walipomtembelea ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma.Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) Mhe.Tundu...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani