Tutakufa na Azam-Simba

KOCHA Msaidizi wa timu ya soka ya Simba, Jackson Mayanja amesema baada ya kutoka suluhu ya bila kufungana na Mtibwa Sugar katika mechi ya Ligi Kuu juzi, nguvu zote sasa zinaelekezwa kuikabili Azam kwenye mchezo wao wa Januari 28.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

GPL

JB: RAIS KIKWETE TUTAKUFA MASKINI!

Laurent Samatta/Risasi
NGULI wa filamu za Kibongo, Jacob Steven ‘JB’, amesema kuwa pamoja na kuendelea kulia juu ya kuibiwa kazi zao, anamkumbusha Rais Jakaya Kikwete kutimiza ahadi yake aliyowahi kusema kwenye msiba wa nguli wa filamu, Steven Kanumba kuwa atawashungulikia wale wote wanaoiba kazi za wasanii na kutoa kopi. Nguli wa filamu za Kibongo, Jacob Steven ‘JB’. JB alitoa ombi  kwa uchungu ambapo alifunguka...

 

4 years ago

GPL

MASTAA: WENGI TUTAKUFA NA NGOMA!

Stori:Gladness Mallya
WASANII wengi wa kike wamekuwa na tabia ya kuibiana mabwana jambo ambalo wenyewe wamekiri kwamba wako kwenye hatari ya kupukutika kama kuku kwa ugonjwa hatari wa Ukimwi.Wakizungumza na Ijumaa hivi karibuni, baadhi ya mastaa wenye majina makubwa Bongo walifungukia kamchezo hako ka kushea mabwana na wakati mwingine hufanya tendo hilo pasipo kutumia kinga.
Tujiunge na baadhi ya mastaa waliozungumzia ishu...

 

1 year ago

Michuzi

AZAM WAZIKARIBISHA SIMBA NA YANGA AZAM COMPLEX

Afisa habari  wa Azam Fc Jaffar Iddy.
Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.
UONGOZI wa Klabu ya Azam umefurahiswa na maamuzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF) kwa kuamua kutumia Uwanja wa Azam Complex kwa michezo ya nyumbani ya timu hiyo.
Hilo limekuja baada ya Bodi ya Ligi kutoa ratiba mpya na kuzitaka timu za Simba na Yanga kwenda kucheza mechi zao dhidi ya Azam katika Uwanja huo.
Akizungumza kwa niaba ya klabu ya Azam, Afisa habari Jaffar Iddy ameupongeza uongozi huo chini ya Rais mpya...

 

2 years ago

TheCitizen

Simba SC down, Azam FC up

Shocked. Frustrated. Sad. The look on Simba SC fans said it all at the National Stadium yesterday after the recovering premier league giants were held to a goalless draw by JKT Ruvu.

 

3 years ago

Mtanzania

Azam yaitisha Simba

IMG_4080NA ZAINAB IDDY

TIMU ya Azam FC imewatangazia hali ya hatari Simba katika mechi yao ya Ligi Kuu Tanzania Bara, itakayochezwa Desemba 12 mwaka huu katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Azam imetamba kuinyuka Simba katika mchezo huo, ambapo hadi sasa vinara hao wa ligi kuu wamefikisha pointi 25, wapinzani wao hao wakishika nafasi ya nne wakiwa na pointi 21 katika mechi tisa walizocheza kila mmoja.

Akizungumza na MTANZANIA Jumamosi, Ofisa Habari wa Azam, Jaffar Idd, alisema maandalizi yao kwa...

 

4 years ago

Michuzi

Simba yaifunga Azam FC 2-1

 Mshambuliaji wa Simba, Ramadhani Singano 'Messi" akishangilia kwa staili ya aina yake baada ya kuipatia timu yake bao la pili.
Beki wa Azam FC, Agrey Moris akimiliki mpira mbele ya mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.  Raha ya ushindi. 
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 

3 years ago

Habarileo

Simba yaishusha Azam

YANGA imezidi kushikwa katika mbio za ubingwa baada ya jana kufungana mabao 2-2 na Prisons, huku Simba ikiifunga Mgambo Shooting mabao 5-1 na kuchupa hadi nafasi ya pili kutoka ya tatu ikiiengua Azam FC.

 

3 years ago

Habarileo

Azam, Simba vitani

WAKATI Yanga tayari imetwaa taji la Ligi Kuu Tanzania Bara na juzi kukabidhiwa mwali wake, vita sasa imebaki kwa Azam FC na Simba kuwania nafasi ya pili na zile zinazopigania kutoshuka daraja.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani