Tuzo za mchezaji bora wa ligi kuu zanukia Tanzania

Wachezaji watano wameteuliwa kuwania tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Tanzania kwa msimu wa 2016/2017.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

JUMA ABDUL ATWAA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA LIGI KUU TANZANIA BARA 2015/16

Beki wa kulia wa Timu ya Yanga ya jijini Dar es Salaam, Juma Abdul, usiku huu ametangwazwa kuwa mshindi wa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu wa 2015/2016. 

Juma ameibuka kidedea na kutwaa Tuzo hiyo baada ya kuwagalagaza wapinzani wake beki wa Simba, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’ na kiungo wa Mtibwa Sugar, Shizza Kichuya na kujinyakulia kitita cha Sh. Milioni 9.2 
Aishi Salum Manula wa Azam FC ameshinda tuzo ya kipa Bora akiwamwanga Deo Munishi ‘Dida’ wa Yanga na Benno...

 

2 years ago

Bongo5

Hazard ashinda Tuzo ya mchezaji Bora wa Mwezi wa ligi kuu Uingereza

Mchezaji wa Chelsea Eden Hazard ameshinda Tuzo ya mchezaji Bora wa Mwezi wa August katika ligi kuu nchini Uingereza akiwashinda Antonio Valencia,Raheem Sterling na Curtis Davies.

eden-hazard-chelsea-mk-dons_3408533

Hazard ambaye amefunga magoli 2 katika mwezi huo kunako ligi hiyo, amepata asilimia 41 ya kura zilizopigwa, Valencia asilimia 34, Sterling akipata asilimia 17 huku Curtis Davies akipata asilimia 8.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za...

 

3 years ago

Michuzi

MCHEZAJI WA STAND UNITED AKABIDHIWA KITITA CHAKE KWA KUIBUKA MCHEZAJI BORA WA MWEZI OKTOBA WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA

Elias Maguli Mchezaji wa timu ya Stand United, amekabidhiwa hundi yake yenye thamani ya shilingi Milioni 1/= na wadhamni wakuu wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara(Vodacom Tanzania) kwa kuibuka mchezaji bora wa mwezi Oktoba wa Ligi hiyo.
Mchezaji huyo alikabidhiwa hundi hiyo wakati wa mazoezi yaliyokuwa yanafanywa na timu yake katika viwanja vya JKM Park ya kujiandaa na mchezo dhidi ya Yanga hapo kesho.Ofisa Udhamini na Matukio wa Vodacom Tanzania,Ibrahim Kaude(kushoto)akimkabidhi Mchezaji...

 

3 years ago

Michuzi

Vodacom yamzawadia Mchezaji Bora wa ligi kuu Tanzania bara wa mwezi Novemba

Naibu Waziri wa maji Amos Makala wapili toka kulia akimkabidhi mchezaji bora wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara mwezi Novemba Rashid Mandawa wa Kagera Sugar(wapili toka kushoto) hundi yenye thamani ya Sh. Milioni 1/=na kombe kabla ya mechi kuanza kati ya Simba na Kagera Sugar ambapo simba ililala kwa bao 1-0. Wengine kulia ni Makamu Mwenyekiti wa bodi ya ligi Said Mohamed. Kushoto Ofisa Udhamini wa Vodacom Tanzania Ibrahim Kaude.
Wadhamini wakuu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara...

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Usioyajua kuhusu mchezaji bora wa Ligi Kuu Tanzania bara 2015/2016

3X6A2360

Usiku wa July 17 2016 kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom kwa kushirikiana na kamati ya tuzo ya TFF ilitoa jumla ya tuzo 13 kwa timu, refa na wachezaji waliofanya vizuri katika Ligi Kuu Tanzania bara msimu wa 2015/2016, miongoni mwa wachezaji waliopata tuzo hiyo ni beki wa pembeni wa timu ya taifa ya […]

The post VIDEO: Usioyajua kuhusu mchezaji bora wa Ligi Kuu Tanzania bara 2015/2016 appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

Michuzi

RIPHAT HAMIS AKABIDHIWA HUNDI YAKE YA MCHEZAJI BORA WA MWEZI LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA

Mkuu wa Masoko na Usambazaji wa Vodacom Tanzania Kanda ya Pwani, Harrieth Koka (Kushoto) akimkabidhi hundi ya Tsh. Milioni 1/- kwa mchezaji wa Ndanda FC, Riphat Hamis aliyeibuka mchezaji bora wa ligi kuu mwezi uliopita kabla ya kuanza kwa mchezo wa timu yake na Simba SC hapo jana.Simba ilishinda 2-0(Na Mpiga picha wetu)

 

1 year ago

Zanzibar 24

Banka kushiriki katika tunzo za kumtafuta mchezaji bora anayechipukia ligi kuu soka Tanzania bara

Kiungo wa Timu ya Mtibwa Sugar Mohammed Issa  “Banka” wengine wanamfamu kwa jina la Mudy Gold ambae ni Mzanzibar amefanikiwa kuingia kwenye orodha ya majina matatu ya wachezaji wanaogombea tunzo ya mchezaji bora anayechipukia kwenye ligi kuu soka Tanzani bara ambayo imehitimishwa Jumamosi iliyopita.

Banka ameonesha kiwango cha hali ya juu akicheza kwa mara ya kwanza ligi kuu soka Tanzani bara msimu huu ambapo alitokea klabu ya Chuoni Visiwani Zanzibar ambapo amechaguliwa kuwemo kwenye...

 

2 years ago

Bongo5

John Bocco alamba milioni 1/- ya kuwa mchezaji bora wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara August 2016

 

 

001-mchezaji-bora-wa-mwezi-august

Mshambuliaji wa timu ya Azam FC,John Bocco(kushoto)akipokea hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 1/- Kwa kuwa mchezaji bora wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara Mwezi August,toka kwa Mkuu wa kitengo cha Uhuasiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania,Jacquiline Materu(kulia)kabla ya mchezo kuanza wa timu yake na Yanga hapo jana katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.Katikati ni Mkurugenzi wa bodi ya ligi,Boniface Wambura

002-mchezaji-bora-mwezi-august

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia...

 

2 years ago

Michuzi

JOHN BOCCO ALAMBA MILIONI 1/- YA KUWA MCHEZAJI BORA WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA MWEZI AUGUST 2016

Mshambuliaji wa timu ya Azam FC,John Bocco(kushoto)akipokea hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 1/- Kwa kuwa mchezaji bora wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara Mwezi August,toka kwa Mkuu wa kitengo cha Uhuasiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania,Jacquiline Materu(kulia)kabla ya mchezo kuanza wa timu yake na Yanga hapo jana katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.Katikati ni Mkurugenzi wa bodi ya ligi,Boniface Wambura.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani