Twiga Stars kuimarisha kikosi chake

Kocha wa timu ya soka ya taifa ya wanawake, Twiga Stars, Sebastian Nkoma ameita wachezaji 45 kwa ajili ya mchujo wa kupata nafasi ya kujiunga na kikosi cha timu hiyo kitakachoshiriki mechi za kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika Ghana mwaka 2018.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Michuzi

wachezaji 23 watakaounda kikosi cha Twiga Stars watangazwa


Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Mpira wa Miguu ya Wanawake Tanzania, Nasra Juma ametangaza majina ya wachezaji 23 watakaounda kikosi cha Twiga Stars.Kikosi hicho kinatarajiwa kwenda Kigali, Rwanda Julai 15, 2016 kucheza mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya timu ya taifa ya Rwanda ikiwa ni mwaliko maalumu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu la Rwanda (Ferwafa).Wakati Ferwafa likiingiza mchezo huo wa Julai 17, 2016 kwenye orodha ya michezo inayotambuliwa na Shirikisho la Mpira na Miguu la...

 

5 months ago

Mwanaspoti

Kocha Stars ajivunia kikosi chake na yupo tayari kuivaa Bafana Bafana

 Kocha wa timu ya Taifa Stars, Salum Mayanga amesema kikosi chake kimestahili  kutinga hatua ya  robo fainali ya kombe la Cosafa nchini Afrika Kusini.

 

2 years ago

Dewji Blog

Kikosi cha Taifa Stars kitakachoshuka dimbani dhidi ya Harambee Stars leo

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inatarajiwa kushuka dimbani jioni ya leo  kucheza mchezo wa kirafiki wakimataifa na timu ya Taifa Kenya (Harambee Stars)  Jijini Nairobi, Kenya. Awali vikosi vyote vilikuwa kwenye mazoezi yha kujiandaa na mchezo huo.

Vikosi vitakavyoshuka dimbani katika mchezo huo jioni ya leo ni kama ifuatavyo:

The post Kikosi cha Taifa Stars kitakachoshuka dimbani dhidi ya Harambee Stars leo appeared first on DEWJIBLOG.

 

2 years ago

Habarileo

Pluijm ajivunia kikosi chake

KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans van der Pluijm amesema katika kikosi chake kuna mambo ya kurekebisha, lakini anaamini Yanga itarejea katika kiwango bora na kuendelea kufanya vizuri kwa kuwa ina kikosi bomba.

 

2 years ago

Habarileo

Mayanja akunwa na kikosi chake

KOCHA Mkuu wa Simba, Jackson Mayanja amekisifu kikosi chake kwa kucheza mchezo mzuri dhidi ya Tanzania Prisons na kufanikiwa kuvunja ngome ya ulinzi ya maafande hao iliyowapa ushindi na kuzidi kujichimbia kileleni mwa msimamo wa ligi.

 

1 year ago

Habarileo

Omog atambia kikosi chake

KOCHA mkuu wa timu ya Simba, Joseph Omog, ametamba kuwa kikosi alichokuwa nacho haoni sababu ya kushindwa kushindwa kuwavua bingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, watani zao wa jadi Yanga msimu ujao.

 

1 year ago

Habarileo

Mayanga atambia kikosi chake

KOCHA wa Mtibwa Sugar Salum Mayanga amesema ushindi walioupata katika mchezo dhidi ya Majimaji umetokana na juhudi za kuboresha kikosi chake mara kwa mara pindi wanapobaini mapungufu.

 

2 years ago

Habarileo

Kocha Azam afagilia kikosi chake

KOCHA Mkuu wa Azam FC, Stewart Hall, amefurahishwa na kiwango cha wachezaji wake na ari kubwa ya kupambana waliyoionesha walipokuwa wakichuana na Mgambo JKT kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga juzi.

 

1 year ago

Mtanzania

Wenger kukamilisha kikosi chake saa 48

Arsene Wenger

Arsene Wenger

LONDON, ENGLAND

KOCHA wa klabu ya Arsenal, Arsene Wenger, amethibitisha kuwa anataka kukamilisha kikosi chake kwa kusajili wachezaji wawili kabla ya kufungwa kwa usajili keshokutwa.

Kikosi hicho hadi sasa kimecheza michezo mitatu ya ligi kuu na kutoka sare mmoja, akipoteza mmoja na kufungwa mmoja, matokeo hayo yamemfanya awe katika wakati mgumu kutokana na mashabiki kuanza kuizomea klabu hiyo.

Baadhi ya viongozi walimtaka kocha huyo kufanya usajili kwa ajili ya kukiweka kikosi...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani