UAMUZI KESI MBOWE, WENZAKE KUPELEKWA MAHAKAMA KUU AU LAA KUJULIKANA MEI 15


Na Ripota Wetu, Globu ya jamii
UAMUZI wa kesi inayowakabili viongozi 9 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema) akiwemo Mwenyekiti wao Freeman Mbowe ya kufanya maandamano/mkusanyiko usio halali unatarajiwa kutolewa Mei 15 mwaka huu kama iende Mahakama Kuu au laa.
Hatua hiyo inatokana na mvutano wa hoja za kisheria zilizotolewa jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na Wakili wa utetezi, Peter Kibatala kisha kujibiwa leo na Wakili wa Serikali Mkuu, Faraja Nchimbi mbele ya Hakimu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Malunde

HATMA YA KESI YA MBOWE NA WENZAKE KUJULIKANA MEI 15

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, inatarajia May 15,2018 kutoa uamuzi wa kesi ya kufanya maandamano na mkusanyiko usio halali inayowakabili viongozi 9 wa CHADEMA akiwemo Freeman Mbowe kama iende Mahakama Kuu ama laa.

Hatua hiyo inatokana na mvutano wa hoja za kisheria zilizotolewa jana na Wakili wa utetezi, Peter Kibatala kisha kujibiwa leo na Wakili wa Serikali Mkuu, Faraja Nchimbi mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri.

Katika majibu yake Wakili Nchimbi ameiomba mahakama hiyo kutupilia...

 

3 years ago

Channelten

Kesi ya Kitilya Mahakama Kuu imetengua uamuzi mahakama ya hakimu makazi Kisutu

Screen-Shot-2016-04-29-at-2.33.00-PM

Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Dar es Salaam imetengua uamuzi uliotelewa na mahakama ya hakimu makazi kisutu jijini dar es salaam wa kufuta kosa la utakatishaji fedha dhidi ya kesi inayomkabili aliyewahi kuwa kamishna mkuu wa mamlaka ya mapato nchini TRA Harry Kitilya na wenzake wawili.

Akisoma hukumu hiyo jaji wa mahakama kuu kanda ya Dar es salaam, amesema hakimu aliyeendesha kesi hiyo katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu alifanya makosa katika tafsiri yake dhidi ya kosa la nane...

 

3 years ago

Channelten

Kesi ya Kitilya na Wenzake, Mahakama yafuta shitaka la nane, yaahirisha uamuzi wa dhamana

kitilya

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es salaam imelifuta shtaka la nane la utakatishaji fedha katika kesi inayomkabili aliyekuwa Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Harry Kitilya na wenzake wawili Shose Sinare na Sioi Solomoni ambapo imesema hatua hiyo inatokana na kutokuwa wazi kwa kosa hilo kwani hakuna maelezo yanayoonyesha namna gani washtakiwa walivyotenda kosa.

Kufuatia kufutwa kwa shtaka hilo la nane, Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), amewasilisha hati ya mapendekezo ya...

 

3 years ago

Channelten

Kesi ya Kitilya na wenzake wawili Mahakama imeshindwa kutoa uamuzi kuhusu dhamana

Kesi ya Kitilya
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo imeshindwa kutoa uamuzi kuhusu dhamana kwa watuhumiwa Harry Kitilya na wenzake wawili Shose Sinare na  Sioi Solomon kutokana na jalada la kesi yao kuitishwa mahakama kuu kanda ya Dar es salaam..

Hakimu  Mkazi Mfawidhi Emilious Mchauru amesema uamuzi huo hauwezi kusomwa kutokana na jalada halisi la kesi hiyo kuwasilishwa mahakama kuu kanda ya Dar es Salaam asubuhi ya leo na hivyo kuamuru watuhumiwa warudishwe mahabusu mpaka kesi yao...

 

2 weeks ago

Michuzi

KESI YA MBOWE NA WENZAKE YAENDELEA KUUNGURUMA MAHAKAMA YA KISUTU

Na Karama Kenyunko, Michuzi TvSHAHIDI wa Tatu katika kesi ya uchochezi inayowakabili viongozi Tisa wa Chadema, ameieleza mahakama kuwa alimshuhudia Mwenyekiti wa Chama hicho, Freeman Mbowe akichukua kipaza sauti  na kutoa tamko la kuwashinikiza  viongozi wenzie na wafuasi wa Chadema kuandamana kuelekea katika ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni kuchukua barua.
Shahidi huyo, E 6976 Koplo Rahimu Msangi, ameeleza hayo leo, Mei 15, 2019 mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Thomas Simba wa ...

 

3 years ago

Global Publishers

Kesi ya Bosi wa TRA na Wenzake Yarudishwa Tena Mahakama Kuu

MISS 3 Mahakama ya Rufani Tanzania, imeamuru jalada la kesi inayomkabili Kamishna Mkuu wa zamani wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Harry Kitilya na wenzake kurudishwa Mahakama Kuu kwa ajili ya kusikilizwa rufani ya Jamhuri. Pia, imeagiza jalada hilo lipangiwe kusikilizwa kwa jaji mwingine dhidi ya rufaa ya kupinga kuondolewa shtaka la utakatishaji fedha katika kesi ya kujipatia Dola za Marekani milioni 6. Hukumu hiyo ilisomwa jana na Msajili wa Mahakakama ya Rufani, Zahra Maruma baada ya...

 

3 years ago

StarTV

Mahakama Kuu Mwanza kutoa uamuzi mdogo Kesi Ya Uchaguzi ya Ezekiel Wenje

 

Mahakama kuu kanda ya Mwanza inatarajia kutoa uamuzi mdogo katika kesi ya uchaguzi namba 3 ya mwaka 2015 ya Ezekiel Wenje dhidi ya Stanislaus Mabula na wenzake wawili jumanne ya Aprili tano mwaka huu kuhusu ombi la upande wa mlalamikaji Wenje aliyeomba kuwasilisha mahakamani hapo nakala 645 za fomu za uchaguzi kama ushahidi halali.

Mapema jana upande wa mlalamikiwa uliomba mahakama kuu itupilie mbali ombi la mlalamikaji ukidai ombi hilo siyo la msingi na halina mashiko kisheria.

Ilikuwa ni...

 

2 years ago

Michuzi

Uamuzi kama Manji ana kesi ya kujibu au la katika kesi ya dawa za kulevya kujulikana ijumaa.

Na Karama Kenyunko, Blogu ya jamii. 
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, siku ya ijumaa itatoa maamuzi dhidi ya kesi ya matumizi ya dawa za kulevya inayomkabili mfanyabiashara maarufu nchini Yusuph Manji kama ana kesi ya kujibu ama la.Hakimu Mkazi Mfawidhi, Cyprian Mkeha amesema hayo leo mapema baada ya upande wa mashtaka kufunga ushahidi dhidi ya kesi hiyo kwa kuita mashahidi watatu.
Kabla ya uamuzi huo kutolewa, shahidi wa tatu na wa mwisho, Mkemia kutoka Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali,...

 

3 years ago

Zanzibar 24

Mahakama kuu yatupilia mbali kesi ya Mbowe Hotels dhidi ya NHC

Mahakama Kuu ya Tanzania Divisheni ya Ardhi imefuta kesi iliyofunguliwa na Mbowe Hotels Ltd. dhidi ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) ,kuwa Shirika hilo liliitoa kampuni hiyo katika jengo lake jijini Dar es salaam kwa kufuata taratibu zote na kuzishikilia mali zake kihalali. Uamuzi huo umetolewa asubuhi hii na Jaji Sivangilwa Mwangesi, ambaye amesema madai ya Mbowe kwamba aliingia mkataba na NHC hayana mashiko na kwamba mkataba huo haukuwahi kutekelezwa.

Mlalamikaji alikuwa wakidai kwamba...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani