Uamuzi wa Mahakama ya ICC dhidi ya aliyekuwa makamu wa Rais wa DRC

Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), imemuondolea Makamu wa Rais wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC, Jean Pierre Bemba makosa ya uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya binadamu ambayo alitiwa hatiani.

Pierre alikuwa anatumikia kifungo cha miaka 18 jela kutokana na makosa hayo ambapo alitiwa hatiani mwezi Machi 2016 kwa makosa ya uhalifu, uliotokea katika nchi jirani ya Jamhuri ya Afrika ya Kati, kati ya mwaka 2002, na 2003.

Mahakama hiyo imetoa uamuzi huo...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Channelten

Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kutoa uamuzi kesi ya William Ruto

 

THE HAGUE, NETHERLANDS - JULY 23: View of the International Criminal Court as Dutch prosecuters consider a war crimes investigation of the Malaysia Airlines crash July 23, 2014 in The Hague, The Netherlands. Malaysia Airlines flight MH17 was travelling from Amsterdam to Kuala Lumpur when it crashed killing all 298 on board including 80 children. The aircraft was allegedly shot down by a missile and investigations continue over the perpetrators of the attack. (Photo by Michel Porro/Getty Images)

Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) inatazamiwa kutoa uamuzi leo hii iwapo itatupilia mbali kesi inayomkabili Makamu wa rais wa Kenya William Ruto au la.

William Ruto anakabiliwa na mashtaka matatu ikiwa ni pamoja na mauaji, kuhamisha watu kwa lazima na mateso yaliyotekelezwa wakati wa vita vya baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2007 ambapo watu wasiopungua 1,200 waliuawa wakati wa mapigano hayo.

Hata hivyo William Ruto alikana mashtaka hayo ambapo wanasheria wake wanataka kesi hiyo...

 

4 years ago

StarTV

Mahakama yabatilisha uamuzi dhidi ya Mubarak

Mahakama nchini misri imebatilisha uamuzi wake kuhusiana na tuhuma za uproraji wa mali ya umma zilizokuwa zinamkabili aliyekuwa Rais wa wa nchi hio, Hosni Mubarak, na wanawe wawili.

Mahakama hio sasa inasema kesi hio itaanza kusikilizwa upya. Mahakama imemeelezea kuwa imegundua mikakati ya kisheria haikufuatwa.

Uamuzi huo una maana kwamba Mubarak ataondolewa katika hospitali ya kijeshi ambako anazuiliwa kwa mujibu wa wakili wake. Hio ndio kesi iliyoyokuwa imesalia mahakamani dhidi...

 

4 years ago

Tanzania Daima

Mahakama Kisutu kutoa uamuzi dhidi ya Macha

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu kesho inatarajia kutoa uamuzi juu ya mfanyabiashara maarufu jijini Dar es Salaam, Hans Macha iwapo ana kesi ya kujibu au la. Macha anakabiliwa na mashitaka...

 

2 years ago

BBCSwahili

Trump afurahia uamuzi wa mahakama kuikubalia marufuku dhidi ya wahamiaji Marekani

Bw Trump anataka kuwepo na marufuku ya siku 90 kzuuia watu kutoka mataifa sita yenye Waislamu wengi wasiingie Marekani, na siku 120 dhidi ya wakimbizi.

 

1 year ago

RFI

Rais wa Uganda alaani uamuzi wa ICC kuichunguza Burundi

Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni amelaani uamuzi uliotolewa na Mahakama ya Kimataifa uhalifu wa kivita ICC ambayo imemwagiza mwendesha mashtaka wa mahakama hiyo kuanzisha uchunguzi dhidi ya mgogoro wa Burundi.

 

4 years ago

Michuzi

Balozi Kamau azungumzia uamuzi wa ICC kuhusu Rais Uhuru Kenyatta

a
Mwakilishi wa kudumu wa Kenya katika Umoja wa Mataifa Balozi Macharia Kamau.(Picha ya UM/Mark Garten)Siku ya Ijumaa tarehe Tano Disemba mwaka 2014, mahakama ya kimataifa ya uhalifu, ICC huko The Hague, Uholanzi ilitupilia mbali mashtaka dhidi ya Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya. Mwendesha Mashtaka Mkuu Fatou Bensouda alieleza kuwa uamuzi huo unazingatia kuwa hawana ushahidi wa kutosha wa kuweza kuthibisha pasipo shaka mashtaka matano yaliyokuwa yanamkabili Kenyatta. Kufuatia uamuzi huo, Joseph...

 

3 years ago

RFI

ICC: uamuzi wa Burundi wa kujiondoa ICC si mwisho wa kutofunguliwa mashitaka

Nchini Burundi, yote yalienda kwa haraka mno baada ya serikali kuchukua uamuzi wa kujiondoa kama mwanachama wa Mahakama ya kimataifa ya Jinai (ICC), ikituhumiwa kuwa 'chombo cha kisiasa cha ukandamizaji.'

 

3 years ago

RFI

ICC: uamuzi wa Burundi wa kujiondoa ICC si mwisho wa kutofuatiliwa

Nchini Burundi, yote yalienda kwa haraka mno baada ya serikali kuchukua uamuzi wa kujiondoa kama mwanachama wa Mahakama ya kimataifa ya Jinai (ICC), ikituhumiwa kuwa 'chombo cha kisiasa cha ukandamizaji.'

 

1 year ago

Zanzibar 24

Aliyekuwa Makamu wa rais atangazwa kuwa rais wa mpito Zimbambwe

Akaunti ya chama cha Zanu PF imebainisha  kuwa aliyekuwa Makamu wa Rais wa Zimbabwe Emerson Mnangagwa atangazwa kuwa Rais mpya wa mpito wa chama cha ZANU -PF.

Mnangagwa mwenye umri wa miaka 75 hapo awali alifutwa kwenye umakamu wa rais kutokana na serikali kusema hakuwa mtiifu.

Kufutwa kwake kulionekana kama nia ya kumwezesha mke wa Rais Mugabe, Grace, kufuata nyayo za mumewe na kuwa kiongozi wa Zimbabwe kwani hapo awali alitoa wito kwa mumewe kumfuta makamu wa rais huyo.

Bw. Mnangagwa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani