Ubalozi wa Norway nchini Tanzania wachangia Milioni 300 Sauti za Busara 2018

Balozi wa Norway nchini Tanzania kupitia kwa Balozi wake Balozi Bi. Hanne-Marie Kaarstad leo wameweza kutiliana saini mkataba wa udhamini wa donge nono la kiasi cha Dola 128200(USD) ambazo ni sawa na shilingi za Kitanzania Milioni 300, ambazo zitaenda kusaidia Shirika lisilo la Kiserikali la Busara Promotion kwa ajili ya tamasha la Sauti za Busara 2018. Halfa hiyo ya kutiliana saini imefanyika mapema leo Novemba 2,2017 katika Ubalozi wa Taifa hilo la Norway, Jijini Dar es Salaam na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Dewji Blog

Ubalozi wa Uswisi nchini wachangia Tamasha la Sauti za Busara

Ubalozi wa Uswisi umechangia zaidi ya shilingi milioni 260 ili kuwezesha tamasha la muziki la Sauti za Busara kwa miaka mitatu ijayo. Balozi wa Uswisi nchini Tanzania, Mhe. Florence Tinguely Mattli, alikutana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Busara Promotions Mhe. Simai Mohammed kwa ajili ya makabidhiano katika ofisi za Ubalozi jijini Dar es Salaam Februari 3.

Sauti za Busara ni kati ya matamasha ya muziki yanayoheshimika sana barani Afrika. Tamasha hili la kipekee linahamasisha...

 

3 years ago

Michuzi

UBALOZI WA TANZANIA NCHINI NIGERIA WACHANGIA MILIONI 4 ZA MADAWATI KUUNGA MKONO JUHUDI ZA RAIS DK. MAGUFULI

Balozi wa Tanzania Nchini Nigeria, Balozi Daniel Ole Njolaay akimkabidhi hundi ya dola 2000 za Kimarekani sawa na kiasi cha zaidi ya shilingi milioni nne, Mh. Dk Angelina Mabula, Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa ajili ya kuunga mkono juhudi za Rais Dk. John Pombe Magufuli katika kuhakikisha shule za msingi zinakuwa na madawati ya kutosha hapa nchini, Hafla hiyo ilifanyika kwenye ubalozi wa Tanzania jijini Abuja nchini Nigeria mara baada ya kumalizika kwa mkutano wa...

 

3 years ago

Habarileo

Ubalozi Kuwait wachangia madawati 300

UBALOZI wa Kuwait nchini kupitia Balozi wake, Jassem Al Najem wametoa msaada wa madawati 300 kwa ajili ya kusaidia utekelezaji wa mpango wa elimu bure kwa wanafunzi wa elimu ya msingi na sekondari nchini.

 

2 years ago

Michuzi

Ubalozi wa Ujerumani Wachangia Tamasha la Busara Zanzibar 2017.


Mwenyekiti wa Tamasha la Sauti za Busara Zanzibar Ndg Simai Mohammed Said akitiliana saini ya Makubaliano ya kusaidia Tamasha la Sauti za Busara Zanzibar na Balozi wa Ujerumani Tanzania Balozi Egon Kochanke, Ujerumani imekubali kuchangia  €5000 sawa na shilingi za Kitanzania milioni 12,hafla hiyo imefanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Kitalii ya Park Hyyat Shangani Zanzibar leo. Tamasha la Sauti za Busara Zanzibar hufanyika kila mwaka katika mwezi wa Febuary na kuhudhuriwa na Wageni...

 

1 year ago

Malunde

UBALOZI WA NORWAY WAIPATIA UN TANZANIA DOLA MILIONI 5.1 KUFANIKISHA MPANGO WA UNDAP II


Ubalozi wa Norway nchini umeipatia msaada wa dola bilioni 5.1 Umoja wa Mataifa Tanzania ili kusaidia kufanikisha Mpango wa Misaada wa Maendeleo wa Umoja wa Mataifa (UNDAP II).

Makubaliano hayo yamesainiwa na Balozi wa Norway nchini, Hanne-Marrie Kaarstad na Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa UNDP, Alvaro Rodriguez katika ofisi za ubalozi wa Norway uliopo jijini Dar es Salaam.
Akizungumza kwenye hafla hiyo, Balozi Kaarstad alisema msaada huo ni mwendelezo wa misaada ambayo...

 

1 year ago

Michuzi

Ubalozi wa Norway waipatia UN Tanzania dola milioni 5.1 ili kufanikisha UNDAP II

Ubalozi wa Norway nchini umeipatia msaada wa dola bilioni 5.1 Umoja wa Mataifa Tanzania ili kusaidia kufanikisha Mpango wa Misaada wa Maendeleo wa Umoja wa Mataifa (UNDAP II). Makubaliano hayo yamesainiwa na Balozi wa Norway nchini, Hanne-Marrie Kaarstad na Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa UNDP, Alvaro Rodriguez katika ofisi za ubalozi wa Norway uliopo jijini Dar es Salaam. Akizungumza kwenye hafla hiyo, Balozi Kaarstad alisema msaada huo ni mwendelezo wa misaada...

 

1 year ago

Michuzi

Grace Matata @ Sauti za Busara 2018

Another great edition of Sauti za Busara has just ended and this year, the world known music festival 100% live, has seen the debut on its stage of Tanzanian songstress Grace Matata.
The Afro Soul/Jazz singer and songwriter dedicated her music career to develop her distinctive brand as live performer and this persistence was recognized by Festival Manager – Journey Ramadhan, as one of the criteria that has been used to select Grace among the 40+ performers of this year’s edition of the...

 

3 years ago

Michuzi

Serikali yapokea msaada wa madawati 300 toka Ubalozi wa Kuwait nchini Tanzania.

Na Eliphace Marwa- MaelezoSerikali ya Tanzania imepokea msaada wa madawati 300 toka Ubalozi wa Kuwait nchini Tanzania ikiwa ni sehemu ya kutatua tatizo la uhaba wa madawati katika shule za msingi hapa nchini.Akizungumza wakati wa makabidhiano hayo Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Balozi Augustine Maiga kwa niaba ya serikali alisema kuwa amesema kuwa kupokea madawati hayo ni sehemu ya kutekeleza wito wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.“Waziri Mkuu...

 

1 year ago

Michuzi

SAIDA KAROLI KUPAMBA TAMASHA LA 15 LA SAUTI ZA BUSARA 2018

Na Cathbert Kajuna - Kajunason/MMG.
Msanii wa nyimbo za asili Saida Karoli anatarajia kutuimbuiza katika tamasha la busara 2018 linalotarajia kuanza Februari 8, 2018 Ngome Kongwe mjini Unguja, Zanzibar.

Akizungumza katika mkutano wa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Tamasha hilo, Yusuf Mohamed alisema tamasha linazingatia Zanzibar na Tanzania sehemu mbalimbali duniani kwa kuwa linavutia mapromota wa kimataifa na kutoa fursa adhimu kwa wanamuziki wa Afrika Mashariki...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani