UBALOZI WA TANZANIA NCHINI INDIA ULIVYADHIMISHA SIKU YA MUUNGANO

Mhe. Baraka Luvanda (kulia), Balozi wa Tanzania nchini India akimpokea Mhe. Shri Vijay Goel, Waziri wa Nchi, Masuala ya Bunge na Takwimu wa India katika hafla ya kuadhimisha Siku ya Taifa ya Tanzania iliyofanyika jijini New Delhi tarehe 26 Aprili 2018.  Mhe. Baraka Luvanda (kulia), Balozi wa Tanzania nchini India akiwa katika mazungumzo na Mhe. Shri Vijay Goel, Waziri wa Nchi, Masuala ya Bunge na Takwimu wa India kabla ya kuanza rasmi kwa hafla ya kuadhimisha Siku ya Muungano wa Tanzania. ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Ubalozi wa Tanzania nchini Nigeria waadhimisha miaka 50 ya Muungano

Na: Geofrey Tengeneza – Abuja Nigeria
Jumuiya ya wafanyabiashara, wawekezaji na wananchi wa Nigeria kwa ujumla, wameombwa kuja kuwekeza kwa ujumla na kutembelea vivutio vya utalii mbalimbali vinavyopatikana nchini Tanzania.
Hayo yamesemwa na Balozi wa Tanzania nchini Nigeria Mheshimiwa Daniel Ole Njoolay katika maadhimisho ya miaka hamsini 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (Tanzania) yalioandaliwa na ofisi ya ubalozi  waTanzania nchini Nigeria na kufanyika katika Hoteli ya Sheraton...

 

9 months ago

Michuzi

UBALOZI WA TANZANIA NCHINI SAUDI ARABIA WAADHIMISHA MIAKA 54 YA MUUNGANO WA TANZANIA

 Balozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia Mhe. Hemedi Mgaza akikata keki ya sherehe ya Muungano na Mgeni Rasmi katika sherehe hiyo Naibu Gavana wa Jiji la Riyadh Dkt. Adel Al Jubail.
Ubalozi wa Tanzania nchini uliadhimisha miaka 54 ya Muungano wa Tanzania mjini Riyadh kwa sherehe iliyojumuisha jumuiya wa wanadiplomasia, Watanzania na Wanadiaspora waishio nchini Saudi Arabia. Balozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia Mhe. Hemedi Mgaza(kulia) akizungumza jambo na Naibu Gavana wa Jiji la Riyadh Dkt....

 

3 years ago

Michuzi

Ubalozi wa India nchini Tanzania waadhimisha ITEC DAY

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora Mh. Angellah Kairuki (Mb) akiwasha mshumaa kuashiria uzinduzi wa maadhimisho ya Siku ya Ushirikiano wa Kiufundi na Kiuchumi kati ya Tanzania na India (ITEC DAY) yaliyofanyika katika Kituo cha Utamaduni cha India jijini Dar es Salaam. Anayeshuhudia ni Balozi wa India nchini Tanzania Mh. Sandeep Arya . Balozi wa India nchini Tanzania Mh. Sandeep Arya (kushoto) akikabidhi zawadi kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala...

 

9 months ago

Michuzi

Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya waadhimisha miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Mhe. Pindi Chana akiwakaribisha wageni waalikwa katika ufunguzi wa siku ya Tanzania ambayo huadhimishwa tarehe 26 Aprili siku ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Hafla ya maadhimisho hayo ilifanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Kenyatta Jijini Nairobi, Kenya.  Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kenya, Mhe. Ababu Namwamba ambaye alikuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar akihutubia wageni...

 

5 years ago

Michuzi

Mshauri wa Masuala ya Ulinzi wa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Comoro afanya ziara ya kikazi katika visiwa vya Comoro

Mshauri wa Masuala ya Ulinzi wa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Comoro mwenye makazi yake Mjini Maputo, Msumbiji, Kanali Mahamud Lwimbo, alifanya ziara ya kikazi katika visiwa vya Comoro ambapo alikutana na Viongozi Wandamizi wa Visiwa hivyo wakiwemo Mhe. Ahmada Mmadi Bolero, Waziri anayehusika na Masuala ya Ulinzi na Kanali Youssouf Idjihadi Mkuu wa Jeshi la Comoro. Alipokutana na Viongozi hawa wa Comoro, Kanali Lwimbo alipata fursa ya kuzungumzia kwa kina umuhimu na...

 

8 months ago

Michuzi

BALOZI WA INDIA NCHINI TANZANIA AFAFANUA UBORA WA ELIMU INAYOTOLEWA NCHINI INDIA

Na Said Mwishehe, Globu ya jamiiBALOZI wa India nchini Tanzania Sandeep Arya amewahimiza Watanzania kuchangia fursa za elimu ya juu inayotolewa katika nchi yao huku akifafanua mkakati walio nao ni kutoa elimu kwa wanafunzi 200,000 kutoka nje ya nchi na kuwasaidia kupata elimu bora na ufanisi kutoka vyuo mbalimbali nchini humo.
Amesema hayo leo jijini Dar es Salaam wakati anazungumza fursa za kielimu zinazopatikana nchini India ambapo hafla hiyo ilihudhuriwa pia na viongozi...

 

2 years ago

Michuzi

WABUNGE WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WATINGA UBALOZI WA TANZANIA WASHINGTON, DC


Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo siku ya Jumatatu April 24, 2017 wametembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na kukutana na Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Mhe. Wilson Masilingi. Katika picha toka kushoto ni Mkuu wa Utawala na Fedha Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani Bi. Swahiba Mdeme,Mwambata wa Jeshi Ubalozi wa Tanzania na Canada Col. Adolph Mutta, Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya Bajeti Mhe. Hawa A. Ghasia, Balozi wa Tanzania nchini Marekani na...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani