UCHAGUZI CCM 2015: Stephen Wasira, Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika

Stephen Wasira alizaliwa mwaka 1945 katika Wilaya ya Bunda, Mkoa wa Mara (ana miaka 70). Alisoma katika shule tatu tofauti, ya kwanza ni Shule ya Msingi Bariri 1956-1959, ya pili ni Shule ya Msingi Nyambitilwa 1960–1961 na kisha akamalizia Shule ya Msingi Kisangwa mwaka 1962 - 1963.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Vijimambo

Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, Stephen Wasira akutana na Rais na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya kutengeneza Matrekta ya Ursus kutoka nchini Poland.

 Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, Stephen Wasira akizungumza na  Bwana Karol Zarajczyk, ambaye ni Rais na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya kutengeneza Matrekta ya Ursus kutoka nchini Poland.
 Na. Issa Sabuni, WKCUWaziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, Stephen Wasira amepongeza hatua iliyofikiwa katika ya Serikali ya Tanzania chini ya Shirika la Uchumi na Maendeleo la Jeshi la Kujenga Taifa (SUMA JKT) na Kampuni ya kutengeneza Matrekta ya Ursus kutoka nchini Poland akisifu kuwa hatua hiyo ni ya...

 

4 years ago

Michuzi

Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika Akutana na Balozi wa Marekani

Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika Mhe. Stephen Masatu Wasira amefanya mazungumzo na Balozi wa Marekani nchini Tanzania Mhe Mark Childress ofisini kwake.
Mhe Wasira katika mazungumzo yake na Balozi Childdress alibainisha changamoto zinazokabili kilimo nchini kuwa ni pamoja na zana duni zinazotumiwa na wakulima wadogo katika kilimo kuwa ni jembe la mkono. Alisema kwa kutumia jembe la mkono itakuwa ni ngumu kuondoa umaskini kwa wakulima wadogo katika maeneo ya vijijini.
Aliongeza...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI WA KILIMO CHAKULA NA USHIRIKA, MHE. CHIZA NA BALOZI WA UINGEREZA NCHINI, MS. DIANNA MELROSE

Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, Eng. Christopher Chiza akifanya mazungumzo na Balozi wa Uingereza nchini, Bibi Dianna Melrose. Balozi huyo alimtembleza Waziri Chiza ofisini kwake kwa lengo la kuimarisha mahusiano kati ya nchi hizo mbili yenye lengo la kukuza Sekta ya Kilimohususan kwenye eneo la uwekezaji katika mashamba makubwa(Picha na Issa Sabuni, WKCU).

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI WA KILIMO, CHAKULA NA USHIRIKA ATEMBELEA BANDA LA JESHI LA MAGEREZA MAONESHO YA 38 YA BIASHARA YA KIMATAIFA JIJINI DAR

Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Mhe. Christopher Chiza(Shati jeupe) akiangalia zao la Mahindi yaliyolimwa katika Bustani Maalum ya Shamba Darasa katika Banda la Jeshi la Magereza alipotembelea Banda hilo kujionea Kilimo cha Kisasa na Biashara Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa, Jijini Dar es Salaam(wa kwanza kulia) ni Mtaalam wa Kilimo wa Jeshi la Magereza, Mrakibu wa Magereza, Uswege Mwakahesya. Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Mhe. Christopher Chiza akiangalia zao la...

 

10 months ago

Michuzi

WAZIRI WA KILIMO AAGIZA KURUDIWA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA USHIRIKA KILA MAHALI PENYE DOSARI WILAYANI IKUNGI

Na Mathias Canal-WK, Singida

Waziri wa kilimo Mhe. Dkt Charles Tizeba amemuagiza Afisa ushirika wa Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida Ndg Gurisha Msemo kufanya ziara ya kikazi maeneo yote kuliko fanyika uchaguzi wa viongozi wa vyama vya ushirika ili kubaini uhalali wa uwepo wao.

Mhe Tizeba ametoa kauli hiyo mara baada ya wakazi wa Kijiji cha Mkunguakihendo na Misughaa Wilayani Ikungi kuonyesha kutotambua namna walivyochaguliwa viongozi waliopo madarakani kukiongoza chama hicho katika ngazi...

 

4 years ago

Vijimambo

MBIO ZA URAISN 2015; STEPHEN WASIRA NAYE ATANGAZA NIA AKIWA MWANZA

Waziri wa Chakula na Ushirika, Stephen Wasira, akizungumza na wakazi wa jiji la Mwanza wakati akitangaza nia ya kuwania Urasi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo Jumapili 
Mei 31, 2015. Wasira anakuwa mtu wa tatu kutangaza nia hiyo, akitanguliwa na Mbunge wa bunge la Afrika Mashariki, Makongoro Nyerere na Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Edward Lowasa.Wasira akisalimiana na Mbunge wa TarimeWasira akizungumza na wakazi wa jiji la Mwanza

 

5 years ago

Michuzi

WIZARA YA KILIMO CHAKULA NA USHIRIKA YASHIRIKI MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA UMOJA WA AFRIKA

Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, Eng. Christopher Chiza akiwa na ujumbe wa Wizara yake, kulia ni Mkurugenzi wa Usalama wa Chakula, Bwana Karim Mtambo na kushoto ni Bi. Margaret Ndaba, Waziri huyo na ujumbe wake, wapo Jijini Malabo, Equatorial Guinea kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika (Picha kwa Hisani ya WKCU)

 

4 years ago

Michuzi

WAZIRI WASIRA AELEZEA HALI YA CHAKULA NCHINI

 Mheshimiwa Stephen Wasira, Waziri wa Kilimo Chakula na ushirika akizungumza na Waandishi wa Habari leo kuhusu hali ya chakula nchini. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bibi Sophia Kaduma.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani