Uchaguzi DRC 2018: Majengo ya tume ya uchaguzi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo yateketea

Moto huo ulizuka mwendo wa saa nane usiku wa manane na kuzua taharuki ikizingatiwa kwamba ni siku 10 zilizosalia kabla ya uchaguzi mkuu kufanyika nchini humo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

BBCSwahili

Tume: Uchaguzi DR Congo utafanyika 2018

Taarifa kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, zinasema kuwa tume huru ya Uchaguzi nchini humo, imetangaza kuwa uchaguzi mkuu sasa utaandaliwa Novemba mwaka wa 2018.

 

3 years ago

Dewji Blog

Tume ya uchaguzi nchini Kongo DRC yasogeza mbele uchaguzi Mkuu

Tume ya uchaguzi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imesema kuwa inataka kusogeza mbele uchaguzi wa kitaifa hadi mwaka 2018.

Hatua hii ya kusogeza uchaguzi mbele Inafuatia baada ya hali tete nchini humo inayoashiria machafuko kutokea nchini Kongo kutokana na mustakbali wa Uchaguzi ngazi ya Urais

Viongozi wa upinzani wamepinga uamuzi huo wa Tume ya Uchaguzi kutaka  kusogeza mbele uchaguzi mkuu na wamemtuhumu rais Joseph Kabila kuhusika na kuchelewesha kwa uchaguzi mkuu wa nchini humo...

 

2 years ago

VOASwahili

Tume ya uchaguzi DRC inasema uchaguzi mkuu utafanyika 2019

Tume ya uchaguzi nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo-DRC imetangaza Jumatano kwamba uchaguzi wa  urais uliochelewa kufanyika  kwa muda mrefu hauwezi kufanyika hadi mwaka 2019 hiyo ikiwa inakwenda kinyume na  mkataba ulioafikiwa na upinzani kwamba uchaguzi utafanyika mwishoni mwa mwaka huu wa 2017. Upinzani haraka uliita hatua hiyo ni kunyakua madaraka wakimshutumu Rais wa DRC Joseph Kabila kwa kutaka kujiongezea muda wa utawala wake. Kulikuwepo na ishara kwamba uchaguzi utarudishwa...

 

1 year ago

CCM Blog

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YATOA UNDANI WA MAWAKALA WA CHADEMA UCHAGUZI ULIOPITA WA KINONDONI, YAMSHAURI MBOWE AENDE MAHAKAMANI KAMA HARIDHIKI NA MWENENDO WA UCHAGUZI ULIVYOKUWA, YAMTAKA KUJIFUNZA SHERIA ZA UCHAGUZI.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Tume yaTaifa ya Uchaguzi imesikia malalamiko yaliyotolewa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe, ambayo aliyawasilisha jana kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii.

Malalamiko yaliyotolewa na Mbowe yametusikitisha kwa sababu mbali na kumjibu kwa barua, Mkurugenzi wa Uchaguzi Kailima Ramadhani aliongea na Mbowe kwa njia ya simu.

Madai kwamba tume haikuwajibu malalamiko yao sio kweli, ni upotoshaji wa hali ya juu ambao...

 

3 years ago

Channelten

Takriban watu 42 wameuawa mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo

Screen Shot 2016-08-15 at 1.32.33 PM

Takriban watu 42 wameuawa mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo katika kile serikali ilichokitaja kuwa mauaji makubwa yaliyofanywa na waasi kulipiza kisasi kufuatia operesheni dhidi ya makundi ya waasi katika eneo hilo.

Serikali ya Congo imetangaza siku tatu za maombolezo baada ya mauaji hayo yaliyotokea siku ya Jumamosi usiku.

Akizungumza na kituo cha redio kilichoko Beni, Meya wa mji huo Edmond Masumbuko amesema watu 42 wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa

Msemaji wa jeshi Mak...

 

3 years ago

Channelten

Umoja wa Ulaya umetoa wito kwa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo

supporters-drc-president-joseph-kabila

Umoja wa Ulaya umetoa wito kwa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kuanzisha upya haraka iwezekanavyo mchakato wa uchaguzi mkuu huku ukielezea wasiwasi wake dhidi ya kunyanyaswa na kutishiwa kwa wapinzani nchini humo.

Mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje wa nchi za umoja huo pia umeitaka serikali ya Congo kupiga hatua madhubuti kuelekea uchaguzi kutokana na mvutano wa kisiasa uliopo, na kusisitizia umuhimu wa kuwepo kwa mazungumzo ya kisiasa kati ya serikali na wadau wote ili...

 

1 year ago

Malunde

TUME YA UCHAGUZI YAMJIBU MBOWE...SUALA LA UCHAGUZI NI HIARI..NEC HAIWEZI KUAHIRISHA UCHAGUZI


Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Kailima Ramadhani amesema chama cha siasa kutangaza kugomea uchaguzi hakuwezi kuifanya Tume iuahirishe kwa kuwa haiko kumshawishi mtu au chama kushiriki.

Akizungumza leo Jumanne Desemba 12,2017 jijini Dar es Salaam, Kailima amesema chama kushiriki uchaguzi ni jambo la hiari na NEC ipo kwa ajili ya kuweka na kutengeza mazingira yatakayofanya vyama vya siasa kushiriki uchaguzi.

Kailima katika taarifa iliyotolewa na NEC amesema iwapo...

 

2 years ago

Michuzi

WAZIRI PROF. MBARAWA AFANYA MAZUNGUMZO NA UJUMBE KUTOKA JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA CONGO

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akizungumza na Gavana wa Lubumbashi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Jean Claude Kazembe kuhusu mipango endelevu ya matumizi mazuri ya Bandari ya Dar es Salaam ofisini kwake jijini Dar es salaam.Ujumbe kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ukiwa katika mazungumzo na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa, Makame Mbarawa na Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Eng, Deusdedit Kakoko leo, jijini...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani