Uchaguzi mkuu DRC: EU yalaani balozi wake kufurushwa DRC

DR Congo ilisema ilichukua uamuzi huo kulipiza vikwazo vilivyowekewa mgombea wa chama tawala Emmanuel Ramazani Shadary

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Channelten

Kuelekea Uchaguzi Mkuu DRC, Serikali ya Marekani yatishia kuiwekea vikwazo DRC

CENI-PART-3

Serikali ya Marekani imetishia kuwawekea vikwazo wale wote watakaobainika wanakwamisha kufanyika kwa uchaguzi mkuu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC.

Kauli ya Marekani imekuja baada ya mwenyekiti wa tume ya uchaguzi nchini humo, CENI Corneil Nangaa alitangaza kuwa tume yake haiwezi kuandaa uchaguzi mkuu mwishoni mwa mwaka huu kutokana na kutotengemaa kwa hali ya usalama.

Kuendelea kucheleweshwa kufanyika kwa uchaguzi mkuu wa DRC huenda kukasababisha kuzuka kwa machafuko mapya...

 

3 years ago

Dewji Blog

Tume ya uchaguzi nchini Kongo DRC yasogeza mbele uchaguzi Mkuu

Tume ya uchaguzi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imesema kuwa inataka kusogeza mbele uchaguzi wa kitaifa hadi mwaka 2018.

Hatua hii ya kusogeza uchaguzi mbele Inafuatia baada ya hali tete nchini humo inayoashiria machafuko kutokea nchini Kongo kutokana na mustakbali wa Uchaguzi ngazi ya Urais

Viongozi wa upinzani wamepinga uamuzi huo wa Tume ya Uchaguzi kutaka  kusogeza mbele uchaguzi mkuu na wamemtuhumu rais Joseph Kabila kuhusika na kuchelewesha kwa uchaguzi mkuu wa nchini humo...

 

2 years ago

VOASwahili

Tume ya uchaguzi DRC inasema uchaguzi mkuu utafanyika 2019

Tume ya uchaguzi nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo-DRC imetangaza Jumatano kwamba uchaguzi wa  urais uliochelewa kufanyika  kwa muda mrefu hauwezi kufanyika hadi mwaka 2019 hiyo ikiwa inakwenda kinyume na  mkataba ulioafikiwa na upinzani kwamba uchaguzi utafanyika mwishoni mwa mwaka huu wa 2017. Upinzani haraka uliita hatua hiyo ni kunyakua madaraka wakimshutumu Rais wa DRC Joseph Kabila kwa kutaka kujiongezea muda wa utawala wake. Kulikuwepo na ishara kwamba uchaguzi utarudishwa...

 

3 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AAGANA NA BALOZI MPANGO WA DRC

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo nchini, Mhe. Juma - Alfani Mpango   ambaye alikwenda ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Desemba 2, 2015. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi zawadi ya kinyago Balozi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo  nchini, Mhe. Juma-Alfani Mpango ambaye alikwenda ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Desemba 2, 2015 kuaga.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya...

 

3 years ago

BBCSwahili

Mahakama DRC yaidhinisha kuahirisha uchaguzi mkuu wa Novemba

Mahakama ya katiba Congo imeidhinisha kuahirisha uchaguzi wa Novemba ili orodha ya usajili wa wapiga kura iwekwe sawa.

 

1 year ago

Michuzi

KUWAIT YALAANI MAUAJI YA WANAJESHI WA TANZANIA HUKO DRC

Balozi wa Kuwait nchini Mhe. Jasem Al-Najem (wakwanza kushoto) ameungana na mamia ya viongozi wa Serikali akiwemo Makamu wa Pili wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Zubeir Ali katika uwanja wa ndege wa Zanzibar, ameungana nao kupokea na kuaga miili ya wanajeshi wa Tanzania waliopoteza maisha yao huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wakilinda amani chini ya muavuli wa umoja wa mataifa. 
Al- Najem amesema kuwa Serikali ya Kuwait...

 

1 year ago

Channelten

Mgogoro wa DRC CONGO,Ujumbe wa Mataifa wataka maafisa nchini DRC kuheshimu uhuru wa kuandamana

Screen Shot 2017-11-30 at 2.40.10 PM

Ujumbe wa Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo imewataka maafisa nchini humo kuheshimu uhuru wa kuandamana wakati ambapo leo vyama vya upinzani nchini humo vimeitisha maandamano ya umma ambayo serikali imeyapiga marufuku.

Mazungumzo ya dakika za mwisho kati ya wajumbe wa upinzani na gavana wa mji mkuu Kinshasa Andre Kimbuta kutatua tofauti kuhusu maandamano hayo yaliyopangwa, yalishindwa kufikia muafaka.

Upinzani unaoongozwa na Felix Tshisekedi umeapa utaendelea na...

 

4 months ago

BBCSwahili

Uchaguzi DRC 2018: Majengo ya tume ya uchaguzi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo yateketea

Moto huo ulizuka mwendo wa saa nane usiku wa manane na kuzua taharuki ikizingatiwa kwamba ni siku 10 zilizosalia kabla ya uchaguzi mkuu kufanyika nchini humo.

 

4 months ago

VOASwahili

Uchaguzi wa DRC

Uchaguzi DRC 2018

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani