Uchaguzi Serikali za Mitaa, CCM Mwanza chalalamikia usimamizi mbovu.

Na Maliganya Charahani, Mwanza.ALIGANYA

 

 

Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Mwanza kimelalamikia utaratibu mbovu wa wasimamizi wa zoezi la uchaguzi wa Serikali za mitaa kuchangia baadhi ya wananchi kushindwa kupiga kura na wengine kukosa majina yao katika daftari la kumbukumbu.

Dosari kubwa zinatajwa na CCM kujitokeza katika wilaya za Sengerema na Kwimba kubwa likielezwa ni kuchelewa kufika kwa vifaa vya kupigia kura.

Mbali na lawama hizo za CCM, nacho Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

GPL

TASWIRA ZA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA JIJINI MWANZA ULIVYOKUWA JANA

Baadhi ya wananchi wa Kata ya Mbugani wakiwa wamemaliza kupiga kura na kusogea umbali wa kilometa 100 unaotakiwa wakisubiri matokeo ya uchaguzi huo hapa jijini Mwanza jana. Mama aliyefahamika kwa jina la Gelda Nathaeli wa Kata ya Mbugani akiwa anapiga kura ya kumchagua kiongozi anayemtaka katika uchaguzi…

 

2 years ago

Mwananchi

Serikali yatoa tamko usimamizi mbovu michezoni

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali haitafumbia macho usimamizi mbovu na utawala wa michezo usiokuwa na masilahi kwa Taifa.

 

4 years ago

Vijimambo

JIONI YA LEO MWANZA,MWIGULU AFUNIKA MKUTANO KUELEKEA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA


Mapokezi ya Mwigulu Mwanza jioni ya
leo tar 12.12.2014 Viwanja vya shule ya Msingi Mabatini.Mwigulu Nchemba akiwasili Viwanja vya Mabatini akiwa amongozana na Mwenyekiti wa Geita Ndugu Joseph Msukuma.Wananchi wakifurahia Ujio wa Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Comrade Mwigulu Nchemba.Mwigulu Nchemba akizungumza na wananchi wa Mabatini Mwanza hii leo.Naibu katibu Mkuu CCM Bara akionekana kukasilika na Kitendo cha Machinga na Mamantile kunyanyaswa Jijini Mwanza,Hivi sasa ameomba Halmashauri ya ...

 

5 years ago

Mwananchi

CCM wakuna vichwa Uchaguzi Serikali za Mitaa

Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC) kilichoanza jana mjini hapa, pamoja na mambo mengine, kimelenga kuweka mkakati wa ushindi katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwezi ujao.

 

5 years ago

Habarileo

CCM itashinda uchaguzi serikali za mitaa - Wassira

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu), Stephen Wassira amezungumzia mbio za urais ndani ya CCM na kusema kishindo cha vikumbo vya wagombea ni ishara tosha kwamba kinakubalika.

 

5 years ago

Habarileo

CCM yaweka mikakati ya Uchaguzi Serikali Mitaa

KATIKA kuhakikisha kinafanya vyema katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwishoni mwa mwaka huu na Uchaguzi Mkuu wa mwaka kesho, Chama cha Mapinduzi (CCM) Manispaa ya Iringa kimepanga kuzitumia siku za Jumamosi kwa mikutano ya kisiasa katika kata zote za manispaa hiyo.

 

4 years ago

Vijimambo

CHADEMA YAGARAGAZWA NA CCM KESI ZA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA

Mahakama ya Wilaya ya Iringa imetoa hukumu ya kutengua matokeo ya mitaa 13 kutoka Manispaa ya Iringa ili kufanya uchaguzi wa marudio wa Serikali za Mitaa kutokana na kasoro kadhaa zilizojitokeza katika uchaguzi uliofanyika Desemba 14 mwaka 2014.
Hukumu hiyo ilitolewa jana mbele ya mahakamu wakazi wanne ambao ni Andrew Scout, John Mpitanjia, E. Nassoro na Isaya, waliokuwa wanaendesha kesi hizo katika Mahakama ya Wazi ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Iringa.
Chama cha Mapindizi (CCM) kulifungua kesi...

 

4 years ago

Mwananchi

CCM itatua mzigo wa makosa ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa?

Machi mwaka huu Chama cha Mapinduzi (CCM) kinatarajia kuanza rasmi mchakato wake wa kura ya maoni ya kuwapata wagombea wa nafasi za ubunge na udiwani watakaopeperusha bendera ya chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu.

 

5 years ago

Dewji Blog

Ratiba ya maandalizi ya uchaguzi wa serikali za mitaa ndani ya CCM

074

2014 20.10.2014 RATIBA YA MAANDALIZI YA UCHAGUZI WA.doc by moblog

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani