UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA, DIWANI CCM ANUSURIKA KIPIGO

Na Makongoro Oging’ DIWANI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Kigogo, Kinondoni jijini Dar es Salaam, Richard Chengula wiki iliyopita alipata wakati mgumu, baada ya kunusurika kupigwa na wananchi wake, kwa kile kilichodaiwa kuzuia shughuli za maendeleo. Diwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Kigogo, Kinondoni jijini Dar es…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

GPL

DIWANI WA KATA YA VIJIBWENI (CCM), ATOA PIKIPIKI MBILI KWA AJILI YA KUSAIDIA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA

 Diwani wa Kata ya Vijibweni, Suleiman Mathew (wa tatu kushoto), akimkabidhi ufunguo wa moja kati ya pikipiki mbili, Katibu  wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wa Kata hiyo, Salum Kabenza Dar es Salaam leo, alizozitoa kwa ajili ya kusaidia uchaguzi wa viongozi wa Serikali za Mitaa katika kata hiyo ambao unatarajiwa kufanyika Disemba 14, 2014.
Wanachama wa CCM wa Kata ya Vijibweni wakiwa kwenye hafla hiyo ya makabidhiano ambayo...

 

4 years ago

Mwananchi

Diwani CCM asaidia uchaguzi wa mitaa

Diwani wa Kata ya Vijibweni (CCM) , Suleiman Methew amekabidhi msaada wa pikipiki mbili zenye thamani ya zaidi ya Sh3 milioni ili kusaidia harakati za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika kata hiyo.

 

3 years ago

Channelten

Diwani anusurika kipigo kutoka kwa Wananchi wake

Screen Shot 2016-06-22 at 3.56.18 PM

Diwani wa kata ya Nyankumbu wilaya na Mkoa wa Geita Michael Kapaya kupitia CCM amenusurika kupigwa na wananchi wakimtuhumu kuitisha mkutano wake na kutaka kuwachagulia mabalozi wa mitaa kwa kutumia kofia chama chake.

Tukio hilo limetokea jana katika mtaa wa Nyantorotoro A kata ya Nyankumbu wilayani Geita ambapo inadaiwa mkutano huo
ulioitishwa na diwani Kapaya bila kuwajulisha viongozi wa mtaa huo uliibui snitofahamu kubwa kwa wananchi wengi wakihoji  nini lengo la diwani huyo. Hivi ndivyo...

 

4 years ago

GPL

DIWANI WA KATA YA VIJIBWENI ATOA PIKIPIKI MBILI KWA AJILI YA KUSAIDIA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA‏

Diwani wa Kata ya Vijibweni, Suleiman Mathew (wa tatu kushoto), akimkabidhi ufunguo wa moja kati ya pikipiki mbili, Katibu  wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wa Kata hiyo, Salum Kabenza Dar es Salaam leo, alizozitoa kwa ajili ya kusaidia uchaguzi wa viongozi wa Serikali za Mitaa katika kata hiyo ambao unatarajiwa kufanyika Disemba 14, 2014.  Wanachama wa CCM wa Kata ya Vijibweni wakiwa… ...

 

5 years ago

Mwananchi

CCM wakuna vichwa Uchaguzi Serikali za Mitaa

Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC) kilichoanza jana mjini hapa, pamoja na mambo mengine, kimelenga kuweka mkakati wa ushindi katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwezi ujao.

 

5 years ago

Habarileo

CCM itashinda uchaguzi serikali za mitaa - Wassira

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu), Stephen Wassira amezungumzia mbio za urais ndani ya CCM na kusema kishindo cha vikumbo vya wagombea ni ishara tosha kwamba kinakubalika.

 

5 years ago

Habarileo

CCM yaweka mikakati ya Uchaguzi Serikali Mitaa

KATIKA kuhakikisha kinafanya vyema katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwishoni mwa mwaka huu na Uchaguzi Mkuu wa mwaka kesho, Chama cha Mapinduzi (CCM) Manispaa ya Iringa kimepanga kuzitumia siku za Jumamosi kwa mikutano ya kisiasa katika kata zote za manispaa hiyo.

 

2 years ago

Channelten

Mwenyekiti aliyeshindwa uchaguzi uliopita anusurika kipigo Geita

Screen Shot 2017-04-20 at 7.20.03 PM

MWENYEKITI WA SERIKALI YA MTAA WA 14 KAMBARAGE MJINI GEITA , ALIYESHINDWA KATIKA UCHAGUZI ULIOPITA KUPITIA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) AMENUSURIKA KIPIGO KUTOKA KWA WANANCHI WA MTAA HUO AKIDAIWA KUPELEKA TAARIFA ZA UONGO KWA MKUU WA WILAYA YA GEITA HERMAN KAPUFI.

MWENYEKITI HUYO AMEKUMBWA NA SEKESEKE HILO KATIKA MKUTANO WA HADHARA WA MTAA HUO MBELE YA MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MJI WA GEITA MODEST APORINALY AMBAYE ALIHUDHURIA MKUTANO AKIMWAKILISHA MKUU WA WILAYA AKIWA NA AGENDA ZIPATAZO...

 

4 years ago

Vijimambo

CHADEMA YAGARAGAZWA NA CCM KESI ZA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA

Mahakama ya Wilaya ya Iringa imetoa hukumu ya kutengua matokeo ya mitaa 13 kutoka Manispaa ya Iringa ili kufanya uchaguzi wa marudio wa Serikali za Mitaa kutokana na kasoro kadhaa zilizojitokeza katika uchaguzi uliofanyika Desemba 14 mwaka 2014.
Hukumu hiyo ilitolewa jana mbele ya mahakamu wakazi wanne ambao ni Andrew Scout, John Mpitanjia, E. Nassoro na Isaya, waliokuwa wanaendesha kesi hizo katika Mahakama ya Wazi ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Iringa.
Chama cha Mapindizi (CCM) kulifungua kesi...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani