Uchaguzi wa DR Congo: Huduma ya Intaneti yafungwa baada ya uchaguzi wa urais

Upinzani unasema kuwa serikali iliagiza hatua hiyo ili kuzuia kutangazwa kwa ushindi wa mgombea wao.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

BBCSwahili

Tarehe mpya ya uchaguzi wa urais yatangazwa DR Congo

Tume ya uchaguzi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imetangaza kwamba uchaguzi mkuu nchini humo sasa utafanyika Desemba 2018.

 

2 years ago

Channelten

Baada ya matokeo ya Urais kufutwa Kenya, Wagombea wote wa urais wakutana na tume ya uchaguzi

uhuru_kenyatta_and_raila_odinga-600x315

Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga amefika kwenye mkutano ulioitishwa na tume ya uchaguzi na mipaka nchini Kenya IEBC katika ukumbi wa Bomas of Kenya mjini Nairobi.

Rais Uhuru Kenyatta ambaye naye alialikwa kwenye mkutano huo na IEBC alitarajiwa kufika katika mkutano huo ambao tume ilitisha mkutano na wagombea hao wakuu wa urais kabla ya uchaguzi wa tarehe 26 mwezi huu, kujadiliana kuhusu maandalizi ya uchaguzi huo.

Wakati huo huo Chuo Kikuu cha Nairobi kimefungwa kwa muda...

 

4 months ago

BBCSwahili

Uchaguzi DRC 2018: Majengo ya tume ya uchaguzi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo yateketea

Moto huo ulizuka mwendo wa saa nane usiku wa manane na kuzua taharuki ikizingatiwa kwamba ni siku 10 zilizosalia kabla ya uchaguzi mkuu kufanyika nchini humo.

 

3 years ago

Dewji Blog

Breaking News: Matokeo ya uchaguzi Zanzibar yamefutwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC na uchaguzi utarudiwa baada ya siku 90

am4

Hii ni kutokana na takwimu za kisiwa cha Pemba zimekuwa ni tofauti na watu waliojiandikisha katika daftari la wapiga kura ndio kitu kilichopelekea mashaka na kuahirisha uchaguzi.

Taarifa hiyo imedhibitishwa na Mwenyekiti  wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha (Pichani) katika mkutano wake na waandishi wa habari hivi punde.

 

2 years ago

Channelten

Kuelekea Uchaguzi Mkuu Kenya, Wagombea urais wahitimisha kampeni za uchaguzi

1602771

Kampeni za kuwania urais katika uchaguzi mkuu nchini Kenya unaotarajiwa kufanyika Jumanne ya wiki ijayo, zimehitimishwa hapo jana kwa vinara wawili wanaopewa nafasi kubwa kwenye uchaguzi wa mwaka huu, kuhitimisha kampeni zao kwa kuwataka wananchi kuwa watulivu na kudumisha amani.

Akifunga kampeni hizo kiongozi wa muungano wa Upinzani NASA Raila Odinga amewataka wapiga kura kujitokeza kwa wingi kumpigia kura na kuahidi kuwa akiingia madarakani ataondoa rushwa ambayo anasema mpinzani wake...

 

2 years ago

Malunde

MGOMBEA URAIS RAILA ODINGA APINGA MATOKEO YA UCHAGUZI YANAYOTANGAZWA NA TUME YA UCHAGUZI IEBC

Mgombea urais wa muungano wa upinzani nchini Kenya National Super Alliance (Nasa) Raila Odinga amepinga matokeo ambayo yanaendelea kutangazwa na tume ya uchaguzi nchini humo, IEBC.
Bw Odinga amewaambia wanahabari kwamba tume hiyo imekuwa ikitangaza matokeo kwenye tovuti yake na kufuata utaratibu ufaao.
Waziri mkuu huyo wa zamani amesema kabla ya matokeo yoyote kutangazwa, IEBC inafaa kuwapa maajenti wa vyama Fomu 34A kutoka vituoni.
Amesema kwa sasa, bila kuwepo kwa fomu hizo, ni vigumu kubaini...

 

1 year ago

RFI

Hatima ya kisiasa nchini Kenya baada ya Uchaguzi "tata" wa urais

Mvutano wa kisiasa unaendelea kushuhudiwa nchini Kenya, baada ya kiongozi wa muungano NASA Raila Odinga, kutangaza kuwa hatambui ushindi wa rais Uhuru Kenyatta baada ya uchaguzi uliofanyika tarehe 26 mwezi Oktoba  uliosusiwa na upinzani. Nini hatima ya nchi hiyo ya Afrika Mashariki ?

 

3 years ago

Dewji Blog

Breaking News: Matokeo ya uchaguzi Zanzibar yafutwa, uchaguzi kurudiwa baada ya siku 90

am4

Hii ni kutokana na takwimu za kisiwa cha Pemba zimekuwa ni tofauti na watu waliojiandikisha katika daftari la wapiga kura ndio kitu kilichopelekea mashaka na kuahirisha uchaguzi.

Taarifa hiyo imedhibitishwa na Mwenyekiti  wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha (Pichani) katika mkutano wake na waandishi wa habari hivi punde visiwani Zanzibar.

Modewji blog itawaletea taarifa zaidi hapo baadae.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani