Uchaguzi wa DRC

Uchaguzi DRC 2018

VOASwahili

Read more


Habari Zinazoendana

4 months ago

BBCSwahili

Uchaguzi mkuu DRC: EU yalaani balozi wake kufurushwa DRC

DR Congo ilisema ilichukua uamuzi huo kulipiza vikwazo vilivyowekewa mgombea wa chama tawala Emmanuel Ramazani Shadary

 

2 years ago

Channelten

Kuelekea Uchaguzi Mkuu DRC, Serikali ya Marekani yatishia kuiwekea vikwazo DRC

CENI-PART-3

Serikali ya Marekani imetishia kuwawekea vikwazo wale wote watakaobainika wanakwamisha kufanyika kwa uchaguzi mkuu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC.

Kauli ya Marekani imekuja baada ya mwenyekiti wa tume ya uchaguzi nchini humo, CENI Corneil Nangaa alitangaza kuwa tume yake haiwezi kuandaa uchaguzi mkuu mwishoni mwa mwaka huu kutokana na kutotengemaa kwa hali ya usalama.

Kuendelea kucheleweshwa kufanyika kwa uchaguzi mkuu wa DRC huenda kukasababisha kuzuka kwa machafuko mapya...

 

3 years ago

Dewji Blog

Tume ya uchaguzi nchini Kongo DRC yasogeza mbele uchaguzi Mkuu

Tume ya uchaguzi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imesema kuwa inataka kusogeza mbele uchaguzi wa kitaifa hadi mwaka 2018.

Hatua hii ya kusogeza uchaguzi mbele Inafuatia baada ya hali tete nchini humo inayoashiria machafuko kutokea nchini Kongo kutokana na mustakbali wa Uchaguzi ngazi ya Urais

Viongozi wa upinzani wamepinga uamuzi huo wa Tume ya Uchaguzi kutaka  kusogeza mbele uchaguzi mkuu na wamemtuhumu rais Joseph Kabila kuhusika na kuchelewesha kwa uchaguzi mkuu wa nchini humo...

 

2 years ago

VOASwahili

Tume ya uchaguzi DRC inasema uchaguzi mkuu utafanyika 2019

Tume ya uchaguzi nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo-DRC imetangaza Jumatano kwamba uchaguzi wa  urais uliochelewa kufanyika  kwa muda mrefu hauwezi kufanyika hadi mwaka 2019 hiyo ikiwa inakwenda kinyume na  mkataba ulioafikiwa na upinzani kwamba uchaguzi utafanyika mwishoni mwa mwaka huu wa 2017. Upinzani haraka uliita hatua hiyo ni kunyakua madaraka wakimshutumu Rais wa DRC Joseph Kabila kwa kutaka kujiongezea muda wa utawala wake. Kulikuwepo na ishara kwamba uchaguzi utarudishwa...

 

4 months ago

BBCSwahili

Uchaguzi DRC 2018: Majengo ya tume ya uchaguzi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo yateketea

Moto huo ulizuka mwendo wa saa nane usiku wa manane na kuzua taharuki ikizingatiwa kwamba ni siku 10 zilizosalia kabla ya uchaguzi mkuu kufanyika nchini humo.

 

3 years ago

BBCSwahili

UN: Huenda uchaguzi usifanyike DRC

Kiongozi wa tume ya Umoja wa Mataifa kuhusiana na masuala ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amesema nchi hiyo huenda isiweze kuandaa uchaguzi wa urais.

 

3 years ago

Channelten

UN Yatahadharisha Kuhusu Uchaguzi DRC

WEB_PHOTO_NKURUNZIZA_01042016

Kiongozi wa tume ya Umoja wa Mataifa kuhusiana na masuala ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amenukuliwa akisema nchi hiyo huenda isiweze kuandaa uchaguzi wa rais Novemba kama ilivyopangwa.

Kwa mujibu wa shirika la habari la Reuters, mkuu wa tume hiyo Maman Sidikou amesema ni raia wa Congo wenyewe ambao wataamua ni lini uchaguzi huo utakapofanyika.

Maafisa kadhaa katika Umoja wa Mataifa wamekuwa wakionya kwamba kucheleweshwa kwa uchaguzi huo huenda kukazua upya vurugu na rabsha za kisiasa...

 

3 years ago

BBCSwahili

Vijana wakwamisha Uchaguzi DRC

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Joseph Kabila ametupilia mbali shutuma kwamba amesogeza mbele tarehe ya uchaguzi ili aendelee kung'ang'ania madarakani.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani