Uchaguzi wa Kihistoria DRC 2018

Wapiga kura nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Jumapili wanashiriki katika uchaguzi wa kihistoria ambao kwa mara ya kwanza tangu uhuru, watamchagua rais atakaye kabidhiwa madaraka kutoka kwa mtangulizi wake aliyekuwa amechaguliwa kidemokrasia.

VOASwahili

Read more


Habari Zinazoendana

4 months ago

BBCSwahili

Uchaguzi DRC 2018: Majengo ya tume ya uchaguzi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo yateketea

Moto huo ulizuka mwendo wa saa nane usiku wa manane na kuzua taharuki ikizingatiwa kwamba ni siku 10 zilizosalia kabla ya uchaguzi mkuu kufanyika nchini humo.

 

3 years ago

Mtanzania

Uchaguzi DRC kufanyika mwaka 2018

Joseph Kabila

Joseph Kabila

KINSHASA, DRC

TUME ya Uchaguzi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imetangaza kuwa uchaguzi mkuu uliokuwa ufanyike Novemba mwaka huu, sasa utafanyika miaka miwili ijayo.

Viongozi kadhaa wa upinzani walioshiriki katika mazungumzo ya amani wameafikiana na uamuzi huo, lakini wengine wanasema ni njama ya Rais Joseph Kabila kubakia madarakani.

Lakini Tume ya Uchaguzi imesisitiza kwamba haiwezekani kufanya uchaguzi mwaka huu kama ilivyoelezwa kwenye Katiba na badala yake...

 

4 months ago

VOASwahili

Uchaguzi wa Rais DRC 2018: Wananchi wajitokeza kupiga kura

Wananchi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wameanza Jumapili kupiga kura kwenye uchaguzi wa Rais ambao umechelewa kufanyika kwa zaidi ya miaka miwili.

 

4 months ago

BBCSwahili

Uchaguzi mkuu DRC: EU yalaani balozi wake kufurushwa DRC

DR Congo ilisema ilichukua uamuzi huo kulipiza vikwazo vilivyowekewa mgombea wa chama tawala Emmanuel Ramazani Shadary

 

2 years ago

Channelten

Kuelekea Uchaguzi Mkuu DRC, Serikali ya Marekani yatishia kuiwekea vikwazo DRC

CENI-PART-3

Serikali ya Marekani imetishia kuwawekea vikwazo wale wote watakaobainika wanakwamisha kufanyika kwa uchaguzi mkuu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC.

Kauli ya Marekani imekuja baada ya mwenyekiti wa tume ya uchaguzi nchini humo, CENI Corneil Nangaa alitangaza kuwa tume yake haiwezi kuandaa uchaguzi mkuu mwishoni mwa mwaka huu kutokana na kutotengemaa kwa hali ya usalama.

Kuendelea kucheleweshwa kufanyika kwa uchaguzi mkuu wa DRC huenda kukasababisha kuzuka kwa machafuko mapya...

 

4 years ago

Mwananchi

Uchaguzi wa kihistoria

Zikiwa zimesalia siku 13 kabla ya Uchaguzi Mkuu, baadhi ya wachambuzi wamesema unaonekana utakuwa wa kihistoria.

 

4 months ago

VOASwahili

Wakongo wa piga kura katika uchaguzi wa kihistoria

Wakongo washiriki katika uchaguzi mkuu ulofanyika kwa amani lakini kugubikwa na matatizo ya mashini za kupiga kura na kuchelewa kufunguliwa kwa vituo vya kupiga kura.

 

3 years ago

Dewji Blog

Tume ya uchaguzi nchini Kongo DRC yasogeza mbele uchaguzi Mkuu

Tume ya uchaguzi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imesema kuwa inataka kusogeza mbele uchaguzi wa kitaifa hadi mwaka 2018.

Hatua hii ya kusogeza uchaguzi mbele Inafuatia baada ya hali tete nchini humo inayoashiria machafuko kutokea nchini Kongo kutokana na mustakbali wa Uchaguzi ngazi ya Urais

Viongozi wa upinzani wamepinga uamuzi huo wa Tume ya Uchaguzi kutaka  kusogeza mbele uchaguzi mkuu na wamemtuhumu rais Joseph Kabila kuhusika na kuchelewesha kwa uchaguzi mkuu wa nchini humo...

 

2 years ago

VOASwahili

Tume ya uchaguzi DRC inasema uchaguzi mkuu utafanyika 2019

Tume ya uchaguzi nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo-DRC imetangaza Jumatano kwamba uchaguzi wa  urais uliochelewa kufanyika  kwa muda mrefu hauwezi kufanyika hadi mwaka 2019 hiyo ikiwa inakwenda kinyume na  mkataba ulioafikiwa na upinzani kwamba uchaguzi utafanyika mwishoni mwa mwaka huu wa 2017. Upinzani haraka uliita hatua hiyo ni kunyakua madaraka wakimshutumu Rais wa DRC Joseph Kabila kwa kutaka kujiongezea muda wa utawala wake. Kulikuwepo na ishara kwamba uchaguzi utarudishwa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani