Uchaguzi wa Rais DRC 2018: Wananchi wajitokeza kupiga kura

Wananchi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wameanza Jumapili kupiga kura kwenye uchaguzi wa Rais ambao umechelewa kufanyika kwa zaidi ya miaka miwili.

VOASwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

GPL

WANANCHI WENGI WAJITOKEZA KUPIGA KURA KATIKA UCHAGUZI JIMBO LA KIEMBESAMAKI

Wananchi Jimbo la Kiembesamaki, Zanzibar wakiangalia majina yao kujua vituo vyao walivyopangiwa kupiga kura leo asubuhi. Na Mwandishi Wetu, Zanzibar
HABARI kutoka Zanzibar zinasema uchaguzi mdogo wa uwakilishi Jimbo la Kiembesamaki kisiwani humo unaendelea vizuri na wapiga  kura wengi wamejitokeza kwenda kutimiza haki yao ya kimsingi. Ulinzi umeimarishwa katika vituo vya kupigia kura. Mwandishi wetu wa huko anasema jana...

 

5 months ago

BBCSwahili

Uchaguzi DRC: Tarehe mpya ya kupiga kura ni Disemba 30

Tume ya uchaguzi nchini DRC CENI imetangaza kuahirisha uchaguzi mkuu uliokuwa umepangiwa kufanyika Jumapili kwa wiki moja.

 

4 years ago

Dewji Blog

Wananchi wajitokeza kwa wingi kupiga kura maeneo mbalimbali ya Kata ya Kijitonyama jijini Dar

 

Wasimamizi wa uchaguzi wakiendelea kuwahudumia wananchi waliofika katika kituo cha Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Kijitonyama leo jijini Dar kwa ajili ya kupiga kura.(Picha na Geofrey Adroph wa Pamoja Blog).

Mmoja wa wazee akisaidiwa na mtu wake wa karibu ili kupiga kura katika kituo cha Chuo cha Ustawi wa Jamii  jijini Dar leo.

Mlemavu akisaidiwa na mtu wa karibu alipofika katika kituo cha Kenton kwa ajili ya kupiga kura.

Mmoja wa wananchi akiwa kwenye sehemu ya kupigia kura...

 

4 years ago

Michuzi

WAKAZI WA JIJI LA MBEYA WAJITOKEZA KWA WINGI KUPIGA KURA, MADUKA YAFUNGWA KUAJILI YA UCHAGUZI

Wakazi wa Jiji la Mbeya Mjini wajitokeza kwa wingi kupiga kura katika Vituo mbalimbali walivyo jiandikishia kuajili ya kupiga Kura kama waonekanavyo hapo katika Picha ni baadhi ya watu wakiwa katika kituo kilichopo Mtaa wa Mkombozi Jijini Mbeya wakiwa wamepanga Foleni kuajili ya kupiga Kura.Baadhi ya Wapiga kura wakiwa katika Foleni..
Hapa ni eneo la Mwanjelwa maharufu kwa Jina la Mtaa wa kongo likiwa Pweke kuajili ya uchaguzi hakuna alie leta Biashara yake hapa siku hii ya leo.
Baadhii ya...

 

2 years ago

Michuzi

WANANCHI WATAKIWA KUJITOKEZA KWA WINGI KUPIGA KURA UCHAGUZI MDOGO WA UDIWANI NA UBUNGE

Na. Aron Msigwa –NEC, Zanzibar.
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imewataka wananchi wanaoishi katika kata 19 zitakazofanya Uchaguzi mdogo wa Madiwani kwa upande Tanzania Bara na Ubunge katika jimbo la Dimani Zanzibar, Januari 22, 2017 wajitokeze kwa wingi kupiga kura kuwachagua viongozi wanaowataka watakaowaongoza kwa kipindi cha miaka 3.
Akizungumza na vyombo vya Habari leo mjini Zanzibar, Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji wa Rufaa, Mhe. Semistocles kaijage amesema kuwa...

 

2 years ago

BBCSwahili

Maelfu wajitokeza kupiga kura Ghana

Maelfu ya wapiga kura nchini Ghana wamepiga foleni, ndefu kwenye vituo vya kupigia kura kumchagua Rais na wabunge wapya katika Uchaguzi Mkuu wa leo.

 

1 year ago

VOASwahili

Mamilioni wajitokeza Burundi kupiga kura ya maoni

Mamilioni ya wananchi wa Burundi wamepiga kura ya maoni Alhamisi katika mchakato wa kupitisha sheria ya marekebisho ya katiba itakayo mruhusu rais aliyeko madarakani Pierre Nkurunzinza kuendelea kuongoza taifa hilo hadi mwaka 2034.

 

2 years ago

BBCSwahili

Raia wajitokeza kwa wingi kupiga kura Ghana

Raia nchini Ghana leo wanapiga kura kuchagua rais mpya na wabunge katika uchaguzi ambao wachambuzi wanasema huenda ukawa na ushindani mkubwa.

 

2 years ago

RFI

Wakenya wanaoishi nchini Tanzania wajitokeza kupiga kura

Wakenya wanaoishi nchini Tanzania, wamejitokeza kwa wingi kupiga kura ili kumchagua rais wao.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani