Uchaguzi wa Rais Iran, Wairan waishio Tanzania wapiga kura

4bmw3f7f53512fpjjo_800C450

Wananchi wa Iran wanaoishi nchini Tanzania,wakiongozwa na balozi wao, Mousa Farhang leo wamejitokeza katika ofisi ya Ubalozi wao, iliyopo Masaki jijini Dar es salaam kupiga kura ya kumchagua Rais wa Iran.

Uchaguzi wa Rais nchini Iran unafanyika kila baada ya miaka minne na Rais wa nchi hiyo aliyepo madarakani, Hassan Rouhani anatafuta muhula wa pili wa kuongoza taifa hilo la Kiislamu, linalokuwa kwa kasi kiuchumi na lenye idadi ya watu wapatao milioni 80.

Akizungumza na Waandishi wa Habari...

Channelten

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Channelten

Uchaguzi Mkuu Lesotho, Wananchi wapiga kura kumchagua rais wao

2014-05-07T164157Z_01_MSH35_RTRIDSP_3_SAFRICA-ELECTION-07-05-2014-18-05-55-648

Wapiga kura katika taifa dogo la kifalme kusini mwa Afrika Lesotho wamepiga kura jana katika uchaguzi ambao unatarajiwa kupelekea kuundwa serikali nyingine ya kiuhasama ya muungano na kitisho cha kukosekana kwa utulivu.

Ni uchaguzi mkuu wa tatu nchini Lesotho tangu mwaka wa 2012, ambapo miaka mingi ya makabiliano ya kisiasa yamehujumu juhudi za kupambana na hali mbaya ya umaskini na ukosefu wa ajira raia wa taifa hilo.

Uchaguzi huo wa mapema uliitishwa Machi wakati Waziri Mkuu Pakalitha...

 

2 years ago

BBCSwahili

Raia wapiga kura kuwachagua viongozi Iran

Mamilioni ya raia wa Iran wanapiga kura kuwachagua wabunge, kwenye uchaguzi wa kwanza tangu kutiwa saini kwa mkataba uliopelekea kuondolewa kwa vikwazo dhidi ya nchi hiyo.

 

3 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA UMMA YA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUHUSU UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA NA KURA YA MAONI


Kama inavyofahamika, chini ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1997 na Sheria ya Taifa ya Uchaguzi Sura ya 343 ya mwaka 2010, jukumu la Tume ya Taifa ya Uchaguzi ni kusimamia na kuendesha Uchaguzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Wabunge na Madiwani kwa Tanzania Bara. Aidha, Sheria ya Kura ya Maoni imezipa Tume ya Taifa ya Uchaguzi na Tume ya Uchaguzi Zanzibar jukumu la kuendesha Kura ya Maoni kwa ajili ya kuhalalisha Katiba Inayopendekezwa. Kwa mujibu wa Katiba...

 

4 years ago

Michuzi

Tume ya Taifa ya Uchaguzi yasisitiza wapiga kura ndani ya Jimbo la Chalinze wajitokeze kwa wingi na kwenda kupiga kura

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva (wa kwanza kushoto) akitoa risala siku moja kabla ya ya kupiga kura katika uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la Chalinze kwa waadishi wa habari leo katika ukumbi halmashauri ya mji wa Bagamoyo. Katikati ni Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Hamid Mahmuod na wa kwanza kulia ni Mjumbe wa Tume hiyo Prof. Amon Chaligha. Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva (wa kwanza kulia)...

 

8 months ago

BBCSwahili

Uchaguzi Kenya 2017: Nusu ya wapiga kura wameshiriki uchaguzi

Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Kenya Wafula Chebukati amesema wanakadiria kwamba idadi ya waliojitokeza kupiga kura leo kufikia wakati wa kufungwa kwa vituo saa kumi na moja jioni ni asilimia 48.

 

4 years ago

Michuzi

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YATOA UFAFANUZI KUHUSU DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA UCHAGUZI WA UBUNGE JIMBO LA KALENGA

Pichani Kati ni Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi,Mh.Jaji Mstaafu Damian Lubuva akizungumza mbele ya Waandishi wa habari mapema leo mchana,kwenye moja ya ukumbi wa mikutano ya Hill Top Hotel,mjini Iringa kuhusiana na ufafanuzi wa Daftari la Kududumu la Wapiga Kura litakalotumika katika Uchaguzi wa Ubunge jimbo la Kalenga,unaotarajiwa kufanyika machi 16 mwaka huu.Jaji Lubuva amebainisha kuwa Tume haijafanya Uboreshaji kwa maana ya kuandikisha Wapiga kura wapya ambao hawakuwa...

 

2 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi Iran: Kura zahesabiwa

Kura zinahesabiwa nchini Iran baada ya upigaji kura wa kuchagua bunge jipya na jopo la wataalamu ambalo humteua kiongozi mkuu wa nchi hiyo.

 

3 years ago

Mzalendo Zanzibar

Mbowe Amjibu Rais Kikwete Kuhusu Idadi ya Wapiga Kura na Zuio la Wananchi Kulinda Kura Vituoni

Mwenyekiti wa Chadema, Mh Freeman Thursday, October 15, 2015 Mwenyekiti wa Chadema, mh Freeman Mbowe amemtaka Rais Kikwete kutovuruga amani ya nchi na badala yake amemtaka aondoke madarakani na kuiacha nchi ikiwa salama. Mbowe alitoa kauli […]

The post Mbowe Amjibu Rais Kikwete Kuhusu Idadi ya Wapiga Kura na Zuio la Wananchi Kulinda Kura Vituoni appeared first on Mzalendo.net.

 

2 years ago

Global Publishers

Uchaguzi Zanzibar; wapiga kura wagawanyika

151025111302_tanzania_woman_zanzibar_512x288_bbcMwananchi wa Zanzibar akipiga kura.

Stori: Mwandishi Wetu, Zanzibar

UCHAGUZI wa marudio uliofanyika jana Machi 20, Zanzibar umegawa wapiga kura kwani wapo waliodai kujitokeza kupiga kura licha ya vyama vyao kupinga marudio ya uchanguzi huo na wengine msimamo wao kubaki majumbani, Ijumaa Wikienda limegundua.

Uchunguzi uliofanywa na gazeti hili kisiwani Unguja umebaini kuwa, maeneo mbalimbali mjini hapo kumekuwa na ulinzi wa polisi hali iliyoashiria kuwepo kwa tahadhari.

Maeneo kama...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani