UCHAMBUZI: Zifanyike tafiti halisi za hali ya uchumi nchini

Kumekuwa na viashiria vingi vya kuyumba kwa uchumi hapa nchini. Watu mbalimbali wamekuwa wakitafsiri hali hiyo wakihusisha na utawala wa Serikali ya Awamu ya Tano tangu ilipoingia madarakani, mwishoni mwa mwaka jana.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

MHE: POSSI AWA MGENI RASMI MKUTANO WA WADAU WA MASUALA YA WATU WENYE ULEMAVU KATIKA UWASILISHAJI WA TAFITI MPYA ZA HALI HALISI YA ULEMAVU NA UZEE NCHINI TANZANIA.

pos1Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu), Mhe. Dkt. Abdallah Possi akiwasilisha mada ya masuala ya Watu wenye Ulemavu wakati wa mkutano wa wadau wa masuala hayo walipowasilisha Matokeo ya Tafiti Mpya ya Ubainishaji Hali Halisi ya Ulemavu na Uzee Nchini uliofanyika katika Ukumbi wa mikutano hoteli ya Serena Dar es Salaam Oktoba 12, 2016.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) pos2Mkalimani wa lugha ya alama Bw.Thomas Shayo akifasiri ujumbe kwa kundi la watu wenye ulemavu (wasiosikia)...

 

3 years ago

StarTV

Serikali yakiri ukuaji wake wa uchumi wa taifa hauendani na hali halisi ya wananchi

Serikali imesema Uchumi wa Taifa umekuwa kwa asilimia saba kwa kipindi kilichopita ila kutokana na sera ya kuwekeza kwenye vitu visivyohusisha wananchi moja kwa moja kumepelekea ukuaji huo kutooneka wazi.

Kutokana na mchango wa pato la Taifa kwa Watanzania ambalo ni asilimia 70 waliopo vijijini na mashambani imebainika kuwa na mchango mdogo.

Katika maadhimisho ya  siku ya Takwimu Afrika, kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha , Naibu katibu Mkuu Professa Aldof Mkenda amesema, kwa...

 

4 years ago

Michuzi

Wizara ya afya na Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Ukimwi wazindua rasmi Ripoti ya tafiti ya hali ya Maambukizi ya VVU nchini

 Kaimu Mganga Mkuu wa Serikali,Dkt. Mohamed Ally Mohamed (katikati) akizindua rasmi Ripoti ya tafiti ya hali ya Maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU) kwa Watu wa makundi maalum wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa kuitambulisha Ripoti hiyo,uliofanyika leo kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Protea Courtyard,jijini Dar es salaam.Wengine pichani ni kutoka kulia ni Mraribu Idadi ya Watu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,Neema Makyao,Meneja Msaidizi wa Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Ukimwi (NACP),Dkt....

 

3 years ago

Michuzi

1 year ago

VOASwahili

1 year ago

Zanzibar 24

Marufuku kutoa fedha kwa wakandarasi wasioonesha tafiti halisi za eneo watakalofanyia kazi

Serikali imepiga marufuku utoaji wa fedha kwa wakandarasi ambao hawajaonesha tafiti za uhalisia wa eneo wanalokwenda kufanyia kazi ili kuepuka gharama na hasara na ziada ya fedha zinazoweza kujitokeza wakati wa utekelezaji wa mradi husika

Kauli hiyo ya serikali imetolewa na Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mheshimiwa Juma Aweso mara baada  ya kukutana na viongozi, wafanyakazi pamoja na wanafunzi wa chuo cha maji nakusema  serikali imejiwekea mipango mikubwa ya kumaliza tatizo la maji...

 

4 months ago

MwanaHALISI

Serikali yaanika hali ya uchumi nchini

PAMOJA na watanzania wengi kuendelea kulalamika kwa madai kuwa wana hali mbaya ya kiuchumi serikali imesema kuwa uchumi wa taifa huko imara na ukikua kwa asilima 7.1 ikilinganishwa na miaka miwili iliyopita. Anaripoti Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Mbali na kuwa uchumi unaendelea kukua, serikali imeeleza kwamba washirika wa maendeleo wamekuwa wakisuasua kutoa fedha kwa ...

 

2 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI: Tafiti nyingi zinafungiwa ‘kabatini’

Hivi karibuni Serikali ilitoa wito kwa taasisi za elimu ya afya na mashirika yanayofanya utafiti mbalimbali wa afya hapa nchini, kuhakikisha unawafikia wadau kwa wakati.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani