Uefa League: Arsenal yaicharaza Valencia 7-3 huku Chelsea ikiilaza Frankfurt 4-3 kupitia mikwaju ya penalti

Mshambuliaji wa Arsenal Pierre-Emerick Aubameyang aliifungia timu yake hat-trick na kuisaidia kutinga fainali ya kombe la Uefa dhidi Chelsea baada ya kuilaza Valencia 7-3 kwa jumla ya magoli.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

3 weeks ago

BBCSwahili

Europa League: Arsenal yailaza Valencia nayo Chelsea yapata sare ugenini dhidi ya Frankfurt

Mshambuliaji wa Arsenal Alexandre Lacazette alofunga magoli mawili huku Sarsenal ikitoka nyuma katika uwanja wa Emirates na kuilaza valencia katika mechi ya mkodo wa kwanza ya nusu fainali ya Europa League.

 

2 years ago

BBCSwahili

UEFA-Mfumo mpya wa Upigaji wa Mikwaju ya Penalti

Shirikiksho la kandanda barani Ulaya UEFA Lipo katika mikakati ya kufanya majaribio mfumo mpya wa upigaji wa mikwaju ya Penalti mitano mitano ili kuondoa faida ya timu inayoanza kupiga Penalti hizo

 

3 years ago

BBCSwahili

Barcelona yaicharaza 2-0 Arsenal UEFA

Barcelona imefanikiwa kuchomoza na ushindi wa bao 2-0 dhidi ya Arsenal katika mchezo wa kwanza wa Raundi ya Mtoano

 

2 weeks ago

BBC

Valencia 2-4 Arsenal: Pierre-Emerick Aubameyang hat-trick helps Arsenal to Europa League final

Pierre-Emerick Aubameyang's hat-trick helps Arsenal into the Europa League final as they win 4-2 in Valencia to claim a 7-3 aggregate victory.

 

3 years ago

BBCSwahili

Arsenal yaicharaza Chelsea 3-0

Arsenal imepanda hadi nafasi ya tatu katika ligi ya Uingereza baada ya kucharaza Chelsea 3-0.

 

5 years ago

StarTV

UEFA, Arsenal yaua huku Liverpool ikichapwa.

Mechi za klabu bingwa barani Ulaya iliendelea usiku wa kuamkia Alhamis wakati timu kadhaa ziliposhuka dimbani.

 
Vijana wa mzee Wenger, Arsenal, ulikuwa usiku wao baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Galatasaray ya Uturuki, huku mchezaji mpya wa timu hiyo Danny ‘Electric’ Welbeck akiondoka na mpira baada ya kuzifumania nyavu za wapinzani wao mara tatu, moja likifungwa na Allexis Sanchez.

 
Katika mchezo huo Arsenal walimaliza pungufu baada ya kipa wao Wojciech Szczeny kutolewa...

 

4 years ago

BBCSwahili

Arsenal na Chelsea zaambulia patupu Uefa

Kilabu za Uingereza ziliendelea kuandikisha matokeo mabaya Ligi ya Kilabu Bingwa Ulaya baada ya Arsenal na Chelsea kushindwa kwenye mechi zao Jumanne usiku.

 

2 years ago

Africanjam.Com

STREAMING LIVE NOW: BAYERN MUNCHEN vs ARSENAL | UEFA CHAMPIONS LEAGUE | 15022017 |


CLEARLY CLICK ON THE SYMBOL 'x' ON ADS TO REMOVE THEM.IF STREAMING STOPS JUST REFRESH THE PAGE.ENJOY THE GAME.
Africanjam is website that was launched  in December 2013 (with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports and Entertainment. We also provide Technology tips, some Amazing Facts as well as...

 

2 years ago

BBCSwahili

Messi afunga bao la 100, huku Barcelona ikiilaza Olympiakos

Lionel Messi alifunga bao lake la 100 barani Ulaya huku Barcelona ikifanya mechi hiyo kuwa rahisi licha ya kadi nyekundu aliyopewa Gerard Pique

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani