UEFA: Leicester City watolewa Ligi ya Mabingwa na Atlético Madrid

Safari ya Leicester City katika Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya msimu huu imefikia kikomo baada ya klabu hiyo ya Uingereza kutoka sare na Atletico Madrid uwanjani King Power.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Dewji Blog

Hatimaye Leicester City yafuzu kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya UEFA

Vinara wa Ligi Kuu ya Uingereza, Leicester City imejihakikishia nafasi ya kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya UEFA kwa mara ya kwanza baada ya kuibuka na ushindi wa goli mbili kwa bila dhidi ya Sunderland.

Magoli ya Leicester katika mchezo huo yote mawili yalifungwa na Jamie Vardy katika daika ya 66 na 90 na hivyo kuiwezesha Leicester kufikisha alama 72 ambapo zimewawezesha kupata nafasi ya kushiriki mashindano makubwa kwa vilabu Ulaya.

Mara ya mwisho kwa Leicester kushiriki mashindano...

 

4 years ago

Michuzi

Atlético Madrid yampoka Barcelona Ubingwa wa Spain

Wachezaji wa Atlético Madrid wakishangilia ushindi wao dhidi ya Barcelona jana.   Baada ya kuisambaratisha Real Madrid katika uwanja wao wa Santiago Bernabeu na kunyakua kombe la Copa del Rey (Kombe la Mfalme) mwaka uliopita,  Atlético Madrid jana wamefanya maajabu mengine baada ya kunyakua ubingwa wa La Liga mkononi mwa Barcelona ya kina Messi kwa kutoka nao droo ya 1-1.  Ni ubingwa wao wa kwanza katika miaka 18. Kifuatacho ni kucheza fainali za  mabingwa wa Ulaya baada ya miaka 40! Mambo...

 

4 months ago

BBCSwahili

Diego Costa afunga bao mechi ya kwanza baada ya kurejea Atlético Madrid

Mchezaji wa zamani wa Chelsea Diego Costa aliingia kama nguvu mpya na kufunga bao dakika ya tano baada ya kuingia uwanjani mechi yake ya kwanza tangu aliporejea tena Atletico Madrid.

 

3 years ago

BBCSwahili

Man City watolewa ligi ya mabingwa

Timu za England zametolewa kinyang'anyiro cha klabu bingwa barani Ulaya,baada ya Man City kuchabangwa bao 1-0 dhidi ya Barcelona.

 

1 year ago

BBCSwahili

UEFA: Real Madrid walaza Bayern Munich 4-2 Ligi ya Mabingwa Ulaya

Cristiano Ronaldo alifungia Real Madrid mabao matatu na kuwa mchezaji wa kwanza kufunga mabao 100 Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya.

 

2 years ago

BBCSwahili

Ligi ya Mabingwa: Club Brugge 0-3 Leicester City

Leicester City wanasherehekea ushindi wao wa kwanza kabisa Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya, ushindi mkubwa dhidi ya Club Brugge ya Ubelgiji.

 

2 years ago

BBCSwahili

Leicester City washinda mechi Ligi ya Mabingwa Ulaya

Mchezaji wa Algeria Islam Slimani alifunga bao kwa kichwa na kuwasaidia mabingwa watetezi wa Ligi ya Premia Leicester City kuwalaza Porto mechi yao ya kwanza nyumbani Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya.

 

2 years ago

BBCSwahili

City wapewa Real Madrid ligi ya mabingwa

Klabu ya Manchester City ya Uingereza imeepuka kukutana na meneja wake wa msimu ujao Pep Guardiola kwenye nusufainali ya Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya.

 

2 years ago

Dewji Blog

Leicester City mabingwa wapya wa Ligi Kuu ya Uingereza 2015/2016

Hatimaye baada ya safari ndefu ya Ligi ya Uingreza msimu wa 2015/2016, Leicester City imekuwa bingwa wa ligi hiyo kipenzi cha watu wengi duniani baada ya sare ya goli 2-2 ya jana usiku ya kati ya Chelsea na Tottenham.

Leicester City imetwaa huo kwa kuwa na alama 77 ambazo haziwezi kufikiwa na Tottenham inayoshika nafasi ya pili ikiwa na alama 70 na ikiwa imesalia michezo miwili kwa kila timu kumaliza michezo iliyosalia.

Ubingwa huo umekuja baada ya sare ya goli 2-2 Chelsea na Tottenham...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani