UEFA: Real Madrid walaza Bayern Munich 4-2 Ligi ya Mabingwa Ulaya

Cristiano Ronaldo alifungia Real Madrid mabao matatu na kuwa mchezaji wa kwanza kufunga mabao 100 Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
2 years ago
Dewji Blog17 Mar
Barcelona, Bayern Munich zatinga robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya UEFA (Video)
Ligi ya Mabingwa Ulaya iliendelea jana usiku kwa michezo miwili ambapo Barcelona ilikuwa mwenyeji wa Arsenal katika uwanja wa Nou Camp na Barcelona ikiibuka na ushindi wa goli 3 – 1.
Magoli ya Barcelona yalifungwa na Neymar dk. 18, Luis Suarez dk. 65 na Lionel Messi dk. 88 huku goli pekee la Arsenall likifungwa na Mohamed Elneny katika dakika ya 51 na hivyo ushindi huo kuiwezesha Barcelona kufuzu kwa magoli 5 – 1.
Mchezo mwingine ulikuwa ni Bayern Munich iliyokuwa mwenyeji wa Juventus katika...
2 years ago
Bongo503 May
Ligi ya mabingwa barani Ulaya kuendelea leo FC Bayern Munich na Atletico Madrid
Michuano ya ligi ya mabingwa barani Ulaya ambayo ipo katika hatua ya nusu fainali itaendelea tena hii leo kwa mchezo wa pili kati ya mabingwa wa soka nchini Ujerumani FC Bayern Munich dhidi ya Atletico Madrid kutoka nchini Hispania.
Atletico Madrid iliyoibuka na ushindi wa nyumbani wa bao 1-0 juma lilipita itakuwa na kibarua kigumu cha kukamilisha azima yake ya kutinga fainali kwa mara ya pili ndani ya miaka mitatu.
Bayern ili waingie fainal watakuwa na kibarua kigumu Zaidi cha kupindua...
11 months ago
BBCSwahili
UEFA: Real Madrid walaza Juventus 4-1 na kutwaa ubingwa Ulaya
3 years ago
GPL
PORTO YAIFUNGA 3-1 BAYERN MUNICH LIGI YA MABINGWA ULAYA
2 years ago
Dewji Blog29 May
News Alert: Real Madrid yashinda Kombe la Mabingwa Ulaya UEFA, yaichapa Atletico Madrid mikwaju 5-3
Real Madrid ya Hispania usiku huu wamefanikiwa kunyakua taji la Klabu Bingwa Ulaya baada ya kuwalaza wenzao wa Atletico Madrid, mchezo uliomalizika kwa mikwaju ya penati huku mashujaa hao Real Madrid wakiibuka kwa ushindi wa penati 5-3.
Awali mchezo huo, ulikuwa wa kasi na kuvutia, lakini Real Madrid walijipatia bao lao la kwanza la kuongoza kwa kipindi cha kwanza tu cha mchezo kupitia kwa mchezaji wake Sergio Ramos na bao hilo lilidumu kwa dakika zote 45 cha mchezo kipindi cha kwanza.
3 years ago
GPL
BAYERN MUNICH, BARCELONA ZATINGA NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA
3 years ago
GPL
BAYERN MUNICH KUKWAANA NA BARCELONA KATIKA NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA LEO
2 years ago
Dewji Blog05 May
Real Madrid yatinga fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, kupambana na wapinzani wao Atletico Madrid
Nusu fainali ya pili ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kati ya Real Madrid na Manchester City ilichezwa usiku wa Jumatano ambapo Real Madrid ilipata nafasi ya kuibuka na ushindi wa goli moja kwa bila, goli ambalo limewapa nafasi ya kufuzu fainali ya mabingwa hayo.
Goli pekee la Real Madrid katika mchezo huo lilipatikana baada ya kiungo wa Manchester City, Fernando kujifunga katika dakika ya 20 baada ya Gareth Bale kupiga mpira ambao ulimgonga na kuelekea golini.
Baada ya matokeo hayo sasa Real...
3 years ago
Vijimambo
NANI KWENDA NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA LEO, NI BINGWA MTETEZI REAL MADRID AU ATLETICO MADRID



Robo fainali ya ligi ya mabingwa barani Ulaya...