UGONJWA WA DENGUE TISHIO DAR,WAGONJWA WAZIDI KUONGEZEKA,WANANCHI WASHAURIWA KUCHUKUA HATUA

Takwimu zinaonesha kuwa idadi ya wagonjwa wa Ugonjwa wa Dengue imeongezeka ambapo kwa sasa wamegundulika wagonjwa wapya 674 huku kata ya Ilala ikiongoza kwa kuwa na wagonjwa 235.
Akizungumza na waandishi wahabari Jijini Dar es Salaam Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Muhammad Kambi amesema kuwa Ugonjwa wa Dengue kwa sasa wameongeza vituo kwa mkoa wa Dar es Salaam na Tanga hadi vituo 19 tofauti na awali ambapo vilikuwa 7.
Amezitaja  baadhi ya vituo vya Serikali vinavyopima Ugonjwa huo kuwa ni...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Channelten

Mamba mto Ruvuma tishio, Serikali yaombwa kuchukua hatua

Mamba--620x309

Wakazi wa vijiji kumi vya halmashauri ya wilaya ya Masasi mkoani Mtwara ambavyo vipo kando kando ya Mto Ruvuma wameiomba serikali kuwaondoa mamba wakubwa walio katika mto huo ambao wanaua watu na kujeruhi na kwa mujibu wa takwimu zilizopo kuanzia mwaka 2010 hadi sasa, mamba hao wameua watu kumi na tisa na kujeruhi kumi na watano.

Mwandishi wetu Adam Malima aliyeko mkoani Mtwara amefuatilia taarifa hiyo na hapa anaripoti zaidiÖ..

Hakuna namna yoyote ya kuacha kufika katika mto Ruvuma ambao...

 

3 years ago

Channelten

Kansela Angela Merkel wa Ujerumani amekiri kwamba nchi hiyo ilichelewa kuchukua hatua kuhusu kuongezeka mgogoro mkubwa wa wakimbizi

merkel_3472730b-large_trans++pJliwavx4coWFCaEkEsb3kvxIt-lGGWCWqwLa_RXJU8

Kansela Angela Merkel wa Ujerumani amekiri kwamba nchi hiyo ilichelewa kuchukua hatua kuhusu kuongezeka mgogoro mkubwa wa wakimbizi na kutofanya maamuzi sahihi.

Katika mahojiano maalumu kiongozi huyo wa Ujerumani amesema kadhalika wajerumani walipuuza tatizo hilo la mgogoro wa wakimbizi kwa muda mrefu.

Kwa mujibu wa kauli ya Merkel wakimbizi wengi walianza kukimbilia Ulaya kuanzia  mwaka wa 2004 na 2005 ingawa suala hilo liliachiwa Uhispania pekee na nchi nyinginezo kuushughulikia mgogoro...

 

3 years ago

Michuzi

WANANCHI WASHAURIWA KUENDELEA KUPIMA AFYA ZAO UKIMWI BADO NI TISHIO

Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS), Dk. Leonard Maboko akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam juzi, ambapo aliwaasa wananchi kuchukua uamuzi wa  kupima afya zao na kupatiwa matibatu. Kulia ni Mwenyekiti wa Tume hiyo, Dk. Hedwiga Swai. 
Na Dotto MwaibaleWANANCHI wametakiwa kupima kila wakati na kuendelea kutumia kinga ili kujiepusha na maambuki mapya ya VVU.Mwito huo umetolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania...

 

1 week ago

Zanzibar 24

Watu 1,901 wagundulika na ugonjwa wa Dengue Dar

Hadi sasa watu 1,901 wamegundulika kuwa na ugonjwa wa Dengue nchini huku Mkoa wa Dar es Salaam pekee ukiwa na wagonjwa 1800, maambukizi yanaelezwa kupanda kwa kasi hadi watu 74 kwa siku kutoka watu 32.

Hayo yameelewa na mganga Mkuu wa Serikali Prof. Muhammed Bakari Kambi, amesema wagonjwa 1,901 wamethibitishwa kuwa na virusi vya ugonjwa wa Dengue, na wengine tayari wamepona na wengine bado wanatibiwa katika hospitali na vituo vya afya nchini.

The post Watu 1,901 wagundulika na ugonjwa...

 

3 years ago

Zanzibar 24

Wananchi waitaka serikali kuchukua hatua dhidi ya wazazi wasiowajibika

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imetakiwa kuwachukulia hatua za kisheria wazazi na walezi wanaowaruhusu watoto wao kujishughulisha na biashara ya uuzaji wa samaki katika siku za kwenda skuli.

Wakizungumza na ZANZIBAR24 baadhi ya wakaazi wa Mangapwani wamesema kumekuwa na ongezeko kubwa la watoto wanaojishughulisha na uchukuwaji wa dagaa na uparaji wa samaki katika muda wa masomo.

Amesema ajira hizo zisizostahiki hasa kwa watoto wenye umri chini ya miaka 15 zinawakosesha haki yao ya kupata...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Jaji Mkuu awataka wananchi kuchukua hatua dhidi ya maofisa wanaojihusisha na rushwa

Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma amewataka wananchi kuchukua hatua dhidi ya maofisa wa Mahakama wanaokiuka maadili ya kazi na wanaojihusisha na vitendo vya rushwa badala ya kulalamika.

Pia, ametaka wananchi kutambua  wanapokwenda mahakamani si lazima washinde ndipo waone haki imetendeka kwa kuwa uamuzi wa Mahakama ni mchakato unaopitia mtiririko maalumu.

Profesa Juma amesema hayo leo Jumapili Januari 28,2018 alipozindua Wiki ya Sheria katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es...

 

2 years ago

Channelten

Dampo la Pugu kero kwa Wakazi, Wananchi wataka mamlaka husika kuchukua hatua

DAMPO LA PUGU

Mamlaka zinazohusika zimetakiwa kuchukua hatua za haraka kudhibiti maji taka yanayotiririka kutoka kwenye dampo la Pugu Kinyamwezi nje kidogo ya jijini Dar es salaam, ambayo yamefikia hatua ya kupita chini ya ukuta uliozungushwa kwenye dampo hilo hali inayoweza kusababisha madhara kwa jamii inayozunguka eneo hilo.

Kamera ya Channel ten imefika katika eneo la Viwege ambalo linalokabiliwa na changamoto hiyo na kushudia makazi ya watu yakiwa yamefikwa na maji taka hayo yanayopitia chini ya...

 

5 years ago

Mwananchi

Wanawake wazidi kuongezeka nchini

Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imesema matokeo ya sensa ya watu na makazi yanaonyesha kuwa idadi ya wanawake inaendelea kuongezeka kulinganisha na wanaume.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani