Uhusiano kati ya Tanzania na jumuiya ya kimataifa matatani

Serikali ya Tanzania imelaani kile ilichokiita "propaganda inayoendelea" baada ya Marekani kuwataka wananchi wake kuwa waangalifu nchini Tanzania. Hali ambayo inaonyesha sintofahamu katika utawala wa Rais Magufuli.

RFI

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Mwananchi

Seif aipinga ZEC, ataka jumuiya ya kimataifa kuingilia kati

Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad amesema hakubaliani na maamuzi ya Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha kufuta matokeo yote ya uchaguzi na kuahirisha uchaguzi huo.

 

2 years ago

Channelten

Palestina yaitaka jumuiya ya kimataifa ihimize mchakato wa amani kati yake na Israel

1

Msemaji wa Ikulu ya Palestina ametoa taarifa akiitaka jumuiya ya kimataifa itumie fursa kuhimiza mchakato wa amani kati yake na Israel.
Taarifa inasema rais Mahmoud Abbas wa Palestina kesho atakutana na mwenzake wa Marekani Donald Trump, ambapo atasisitiza umuhimu wa haki na amani kwenye kushughulikia suala hilo katika msingi wa “ufumbuzi wa kuwepo kwa nchi mbili” na pendekezo la amani la nchi za kiarabu.

Habari nyingine zinasema, Kundi la Hamas limetoa waraka mpya wa kisiasa, likieleza...

 

5 years ago

Michuzi

Tanzania kuungana na Jumuiya ya Kimataifa kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Hifadhi ya Tabaka la Ozoni

NA EVELYN MKOKOI,DODOMA
Serikali  imefanikisha kwa kiasi kikubwa kuondosha matumizi ya kemikali zinazomong’onyoa Tabaka la Ozoni kwa kupitia mikakati ya kitaifa ambayo ni pamoja na Kujenga uwezo wa Taasisi zinazosimamia utekelezeji wa Mkataba wa Montreal, Kuweka takwimu za kemikali hizo,Kutoa elimu kwa wadau na kwa umma wa Watanzania kuhusu umuhimu wa Tabaka la Ozoni na hatari zinazolikabili.
Hayo yameelezwa leo na Waziri wa nchi ofisi ya makamu wa Raisi Mazingira Mh. Binilith Mahenge...

 

4 years ago

Michuzi

UHUSIANO WA MASUALA YA UTAMADUNI KATI YA TANZANIA NA CHINA WAENDELEA KUBORESHWA

 Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Sihaba Nkinga (katikati) akimsikiliza Afisa Balozi wa China anayehusika na masuala ya Utamaduni nchini Tanzania Bw. GAO WEI (wapili kushoto) walipofika katika ofisi za Wizara kutambulisha uongozi mpya na kutoa nafasi kwa uongozi wa zamani kuaga Wizara yenye dhamana na masuala ya Utamaduni leo Jijini Dar es Salaam. Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Sihaba Nkinga (kulia) akimkabidhi Afisa Balozi wa...

 

2 years ago

Mwananchi

Tanzania inahitaji kuimarisha uhusiano wa kiuchumi kimataifa

Ni muhimu kufuatilia mwenendo wa biashara baina ya Tanzania na nchi nyinginezo duniani, kwasababu matokeo yake yana athari katika thamani ya shilingi, mfumuko wa bei na viwango vya riba katika soko la fedha nchini.

 

3 years ago

Ippmedia

Tanzania kutosaini mkataba wa mashirikiano ya kibiashara kati ya jumuiya ya Afrika ya Mashariki

Siku moja kabla ya kufanyika kwa mkutano maalum wa wakuu wa nchi wa jumuiya ya Afrika ya Mashariki, Tanzania imesema bado haiko tayari kusaini mkataba wa mashirikiano ya kibiashara kati ya jumuiya ya Afrika ya Mashariki na jumuiya ya nchi za umoja wa Ulaya, mpaka pale vipengele muhimu vyenye maslahi na Tanzania vitakapoainishwa.

Day n Time: Jumatano Saa 2:00 UsikuStation: ITV

 

3 years ago

CCM Blog

TANZANIA: JUMUIYA YA KIMATAIFA IJIZATITI KUKABILIANA NA MAGONJWA YA MILIPUKONA MWANDISHI MAALUM, NEW YORKMwishoni  mwa wiki, Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa lilijadili ajenda ya Afya na Sera ya Mambo ya Nje ambapo pamoja na mambo mengine lilipitisha azimio linalotathmini utayari wa nchi wanachama kukabiliana na magonjwa ya milipuko na dharura nyingine za kiafya.
Katika mjadala huo, wazungumzaji wengi, walisisitiza   umuhimu wa kuimarishwa kwa mifumo ya afya, hususan katika nchi za kipato cha chini na cha kati zisizo na uwezo wa kutosha wa kukabiliana na magonjwa ya...

 

3 years ago

Michuzi

JUMUIYA YA KIMATAIFA IJIZATITI KUKABILIANA NA MAGONJWA YA MILIPUKO-TANZANIA

Bw. Noel Kaganda,  Afisa  Mwandamizi, Uwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa,  akizungumza  kwa  niaba ya Tanzania wakati Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa  lilipokutana  mwishoni mwa wiki  kujadili kuhusu ajenda ya Afya na Sera ya Mambo ya Nje.-------------------------------------------------------------------------Mwishoni  mwa wiki, Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa lilijadili ajenda ya Afya na Sera ya Mambo ya Nje ambapo pamoja na mambo mengine lilipitisha azimio...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani