UHUSIANO WA TANZANIA NA CHINA WAZIDI KUIMARIKA

Na Beatrice Lyimo-MaelezoSERIKALI imesema itaendeleza uhusiano na ushirikiano wake na Jamhuri ya Watu wa China kwa kuimarisha  fursa mbalimbali za kijamii ikiwemo nyanja ya  kiutamaduni. 
Hayo yamesemwa leo Jumatatu (Oktoba 12, 2015)Jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Bw. Assah Mwambene wakati wa halfa ya uzinduzi wa chaneli mpya ya filamu ya China –Africa Movies itakayoonyeshwa kupitia kituo cha televisheni cha Easy Television kilichopo nchini.
Bw. Mwambene amesema kuwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

BBCSwahili

Utalii Tanzania wazidi kuimarika

sekta ya utalii nchini Tanzania yazidi kuimarika kutokana na watu kadhaa mashuhuri kuzuru vivutio vyake. Sehemu ambazo zimeonekana kuwavutia watu wengi zaidi ni hifadhi ya mbuga ya Serengeti na bonde la Ngorongoro

 

3 years ago

Dewji Blog

Ushirikiano wa Tanzania na Rwanda wazidi kuimarika

Kwa kipindi cha miaka kadhaa iliyopita kulikuwepo na maneno kuwa ushirikiano wa Tanzania na Rwanda unamalizika na nchi hizi zinaweza kumaliza kabisa uhusiano uliopo lakini sasa hali inaonekana kuwa tofauti kwani zinaonyesha kuzidi kuimarisha uhusiano uliokuwepo kwa muda mrefu.

Rais wa Rwanda, Paul Kagame ambaye amewasili nchini kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku mbili ambapo akiwa nchini anataraji kuzundua maonyesho ya Sabasaba, amezungumza na waandshi wa habari na kueleza kuwa Rwanda...

 

3 years ago

Zanzibar 24

Uchumi wa Zanzibar wazidi kuimarika

Waziri wa nchi ofisi ya makamo wa pili ya Rais Mohammed Aboud Mohammed amesema uchumi wa Zanzibar             unazidi kuimarika kwa karibu ya asilimia saba na mfumuko wa bei bado upo kwenye tarakimu  moja na  pato la Taifa linazidi kukua.

Ametoa maelezo hayo  ofisini kwake Vuga wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu utekelezaji wa ilani ya chama cha mapinduzi Serikali ya awamu ya saba kipindi cha pili cha uongozi wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Uchumi wa Zanzibar wazidi kuimarika – Dk. Shein

 

 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,  ameeleza kuwa Uchumi wa Zanzibar unazidi kuimarika siku hadi siku kutokana na uongozi uliopo kuwa na mashirikiano ya pamoja katika kutekeleza mikakati iliyowekwa na Serikali.

 Dk. Shein aliyasema hayo leo, Ikulu mjini Zanzibar alipokutana na uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango wakati ilipowasilisha utekelezaji wa Mpango Kazi wa Mwaka 2016/2017, Mpango Kazi wa Utekelezaji kwa mwaka 2017/2018 na Utekelezaji...

 

2 years ago

Michuzi

UCHUMI WA NCHI WAZIDI KUIMARIKA - DKT PHILIP MPANGO

Na Amina Kibwana, Globu ya Jamii.
Takwimu za ukuaji wa uchumi nchini unaonyesha unaendelea kukua kwa kiasi kubwa zaidi kulinganisha na mataifa mengine na kuwa  miongoni mwa Nchi  za bara la Afrika , Kusini mwa Jangwa la Sahara ambazo uchumi wake unakuwa ikifuatiwa na Congo DRC na Rwanda,Kenya, Uganda, Burundi, Afrika ya Kusini, Zambia na Malawi.
Akizungumza na waandishi wa habari Waziri wa fedha na Mipango Dkt Phillip Mpango amesema kuwa kukua kwa uchumi kunapimwa kwa kuangalia  shughuli...

 

1 year ago

RFI

Rwanda yasema uhusiano wake na Ufaransa unaanza kuimarika

Serikali ya Rwanda inasema imeanza kuridhishwa na uhusiano mwema kati yake na Ufaransa, ikisema hatua ambazo zinaendelea kuchukuliwa na rais mpya wa Ufaransa Emmanuel Macron zinatia moyo.

 

2 years ago

Mwananchi

Dk Mpango azungumzia uhusiano wa China na Tanzania

Licha ya mambo mazuri yaliyofanywa kutokana na uhusiano mwema kati ya China na Tanzania, Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango amesema huu ni wakati wa kuutafakari uhusiano huo.

 

4 weeks ago

Michuzi

Maadhimisho ya Miaka 55 ya Uhusiano wa Tanzania na China

Waziri wa Elimu Sayansi ya Tekenolojia Prof. Joyce Ndalichako Akizungmza katika hafla ya Maadhimisho ya miaka 55 ya uhusiano wa kidiplomasia kati ya Tanzania na China, iliyofanyika katika Maktaba mpya ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Jumatano 24 April 2019. Balozi wa China Nchini Tanzania Wang Ke, akizungumza katika hafla ya Maadhimisho ya miaka 55 ya uhusiano wa kidiplomasia kati ya Tanzania na China iliyofanyika katika Maktaba mpya ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Jumatano 24 April 2019.

 

2 years ago

VOASwahili

China: "Uhusiano wetu na Tanzania ni wakupigiwa mfano"

ripoti zinasema kuwa ushirikiano huo utaiwezesha Tanzania kuwa na viwanda vinavyokadiriwa kufikia 2000 ifikapo mwishoni mwa mwaka 2020.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani