UJUMBE WA CHUCHU HANSY KWENYE BIRTHDAY YA RAY KIGOSI

Msanii wa  Bongo Movie, Chuchu Hansy amefunguka kuhusu mzazi mwenzake Vicent Kigosi (Ray), kuwa baada ya kupata mtoto wao aitwaye Jaden, Ray alijiona baba mpaka wa watoto waliokomaa.

 Chuchu amefunguka hilo leo kupitia ukurasa wake wa Instagram wakati akimtakia heri ya siku ya kuzaliwa mzazi mwenzake huyo.

“Happy Birthday baba @jadenthegreatest baba mwenye jeuri zako baada ya kupata mtoto ukajiona baba mpk wa watoto wakubwa waliokomaa😊 Ramadhani iii No matter what Nakutakia Happy Birthday...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Bongo5

Picha: Mpenzi wa Ray Kigosi, Chuchu Hans ajifungua mtoto wa kiume

Mpenzi wa msanii mkongwe wa filamu Ray Kigosi, Chuchu Hans amejifungua mtoto wa kiume wiki hii, Ray amethibitisha.

Ray alipost picha kuonyesha sehemu ya mwili ya mtoto wake

Muigizaji huyo ameonyesha furaha yake kwa kuwa huyo ni mtoto wake wa kwanza.

“Asante mungu kwa kuniletea pacha wangu asante my lovely mzungu kwa kunipa heshima kubwa kunifanya niitwe baba, mungu wangu wa haki asiyeshindwa na jambo akubariki sana,” muigizaji huyo aliandika Instagram.

Aliongeza, “Sasa msianze maneno yenu...

 

2 years ago

Bongo Movies

Ray Kigosi: Chuchu Amenifanya Niitwe Baba, Abandika Picha ya Mtoto Wake

Hatimaye Staa wa Bongo Movies, Vicenti Kigosi ‘Ray’ amejitokeza na kumwagia pongezi mpenzi wake wa muda mrefu chuchu Hans kwa kumzalia mtoto.

Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Instagram, Ray amefunguka haya;

Asante Mungu kwa kuniletea pacha wangu asante my lovely mzungu kwa kunipa heshima kubwa kunifanya niitwe baba, Mungu wangu wa haki asiyeshindwa na jambo akubariki sana …… sasa msianze maneno yenu kwamba mwanangu amekunnywa maji mtoto bado ni mchanga maana watu wa insta kiboko lakini...

 

3 years ago

Bongo5

Nikiwa na Ray Kigosi wangu, huwa nahisi kama dunia yote ni yangu – Chuchu Hans

Miss Tanga mwaka 2005, Chuchu Hans amesema kuwa ndani ya mahusiano ya kimapenzi na staa wa filamu, Ray Kigosi anajiona kama dunia yote ni yake.
Ray akiwa na Chuchu Hans

Muigizaji huyo amesema anajisikia furaha sana jinsi anavyoishi kwa kusikilizana na mpenzi wake huyo.

“Nikiwa na Ray wangu, huwa nahisi kama dunia yote ni yangu, Ray ananidekeza sana,”Chuchu aliliambia gazeti la Mtanzania.“Ana mapenzi ya kweli, ananipenda mimi na watoto wangu wawili, amekuwa baba bora sana na hilo ndiyo linanifanya nijivunie na...

 

2 years ago

Bongo5

Ray Kigosi atarajia kupata mtoto wa kwanza kutoka kwa mpenzi wake Chuchu Hans

Msanii mkongwe wa filamu nchini, Vicent Kigosi ‘Thegreatest’ anatarajia kupata mtoto wake wa kwanza kutoka kwa mpenzi wake ambaye pia ni msanii wa filamu, Chuchu Hans.

Ray akiwa na mpenzi wake Chuchu Hans

Muigizaji huyo amedai mahusiano yao yamepitia vikwazo vingi mpaka kufikia hatua waliyofikia sasa.

“Kwanza kabisa napenda kumrudishia sifa na utukufu mungu baba muumba wa mbingu na ardhi tumepitia vingi vikwazo lakini yeye atutiaye nguvu aliendelea kusimama na sisi imara asante sana mungu kwa...

 

2 years ago

MillardAyo

Taarifa Rasmi Kutoka kwa Ray Kigosi kuhusu ujio wa mtoto wake na Chuchu Hans

Leo Jan 18 muigizaji kutoka bongomovie Vicent Kigosi ( Ray) ambaye alikuwa akitegemea kupata mtoto hivi karibuni na mpenzi wake Chuchu Hans, ameweka wazi taarifa za kujifungua kwa Chuchu, ambazo zilizushwa kabla ya Chuchu kujifungua. Pia Ray aliandika ujumbe wa kumshukuru mungu pamoja na mpenzi wake kwa kumpa zawadi ya mtoto. >>ASANTE MUNGU KWA KUNILETEA PACHA […]

The post Taarifa Rasmi Kutoka kwa Ray Kigosi kuhusu ujio wa mtoto wake na Chuchu Hans appeared first on...

 

5 years ago

Bongo Movies

Leo ni birthday ya mwigizaji Vicenti Kigosi ray, Johari ampa salamu tata, isome hapa

Leo mwigizaji maarufu nchini Vicent kigosi - Ray anasherehehea siku yake ya kuzaliwa huku akipata salamu mbalimbali za pongezi toka kwa mastaa mbalimbali nchini.

Moja ya watu wa kwanza kwanza kumpa salamu hiyo ni swahiba na rafiki yake mkubwa, JB akifuatiwa na mpenzi wake wa zamani Johari ambaye salamu yake inadaiwa na wachunguzi wa mambo kuwa ni kwa namna flani inamponda mpenzi wa sasa wa Ray , Chuchu hans, kutokana na maneno yaliyotumika ya salamu hiyo ambayo Johari anadaiwa kuwahi...

 

2 years ago

MillardAyo

Kumbe Chuchu Hansy hajajifungua bado?

Kama wewe ni mpenzi wa movie za kibongo basi naamini kabisa jina la staa Vincent Kigosi a.k.a Ray pamoja na mpenzi wake Chuchu Hans halitokuwa geni masikioni mwako na zaidi kuhusu wao stori za wao kuwa mapenzini. Hivi karibuni kumeibuka taarifa zaidi kwenye mitandao ya kijamii zikisema kuwa tayari wapenzi hao wamebahatika kupata mtoto wao wa kiume, lakini […]

The post Kumbe Chuchu Hansy hajajifungua bado? appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

Bongo5

Batuli kumpeleka Ray Kigosi kwenye vyombo vya sheria

Batuli na Ray

Msanii wa filamu, Yobnesh Yusuf ‘Batuli’ amesema ni muda mrefu amekuwa akivumilia maneno ya dharau aliyokuwa akijibiwa wakati akihitaji malipo yake kwa msanii mwenzie Vicent ‘Ray’ Kigosi.
Batuli na Ray

Akizungumza kupitia kipindi cha Twenzetu cha Times Fm, Batuli amedai kuwa pesa anayomdai Ray ni milioni 1 na laki 2, malipo halali kwa vipande alivyoshiriki kwenye filamu ya Ray.

“Nikimpigia anaesema ana pesa, namwambia ungekuwa unahela usingeniita kwenye kazi yako.” alisema Batuli

Aliongeza, “Mi nikapata...

 

2 years ago

Bongo Movies

Duma Awapongeza Gabo na Chuchu Hansy kwa Kunyakua Tuzo za EATV

Muigizaji wa filamu wa kiume Daudi Michael au Duma amempongeza muigizaji mwenzake Gabo Zigamba ambaye alikuwa naye kwenye kinyang’anyiro kimoja, na kuibuka na ushindi wa muigizaji bora wa kiume EATV AWARDS, huku akijipanga kupambana zaidi.

Kwenye ukurasa wake wa Instagram Duma ameyaandika haya kuhusu ushindi wa Gabo Zigamba.

Pia Duma alitumia fursa hiyo kumpongeza muigizaji mwenzake Chuchu Hansy ambaye amejishindia tuzo ya muigizaji bora wa kike EATV AWARDS.

 

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani