Ujumbe wa Haji Manara Kwa Wema Sepetu

Manchester United jana imeendelea kutengeneza njia ya kuignia kwenye nafasi nne za juu baada ya kuifunga Chelsea mabao 2-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England ‘Premier League’ kwenye Uwanja wa Old Trafford.

Baada ya mechi hiyo msemaji wa timu ya Simba, Haji Manara  ambae mara kadhaa ameonesha kumkubali sana muigizaji Wema Sepetu alisema hivi kupitia akaunti yake ya Instagram Ufundi wa Hererra pale OT leo,,ni zaid ya kumuona Wema Sepetu akiwa na kanga moja iliyolowa maji @shaffih...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Malunde

HAJI MANARA AAMUA KUMWAMBIA UKWELI WEMA SEPETU


Msemaji wa timu ya soka ya Simba Haji Sunday manara, amefunguka kuhusu umaarufu wa msanii wa filamu bongo Wema Sepetu,na kusema kwamba msichana huyo ni mrembo haswa lakini hajaweza kutumia umaarufu wake kutengeneza pesa.

Akizungumza kwenye kipindi cha KIKAANGONI kupitia ukurasa wa facebook wa East Africa Television, Manara amesema anaamini Wema ni miongoni mwa wanawake wachache sana Tanzania ambao ni maarufu na warembo ambao wanaweza kusimamisha nchi, lakini hajatumia kipawa alichopewa, hivyo...

 

2 years ago

Bongo Movies

Haji Manara wa Simba Kumposa Wema Sepetu? Afunguka Haya

Mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa Simba Haji Manara ameendelea na kueleza hisia zake za kutofurahishwa na shirikisho la soka Tanzania TFF kwa kile anachokiita kutokuwa makini na upangaji wa ratiba za Ligi bila kubadilibadili ambapo ameandika yafuatayo.

RATIBA TU NI MUHALI,,HAYO MENGINE KWETU SI BAHARI ??* Haji S Manara. Kuna kurogwa na kujiroga, Kuna kufa na kujiua pia kulia na kuliliwa, sisi watanzania hakika tupo katika fungu la pili, fungu la kukosa , fungu mzigo, tunajiroga,...

 

2 years ago

Bongo5

Huu ndio ujumbe wa Haji Manara kwa Ramadhani Kessy wa Yanga

Baada ya kufanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Yanga wikiendi iliyopita, Afisa habari wa klabu ya soka ya Simba, Haji Manara amemtumia ujumbe beki wa zamani wa klabu hiyo Hassan Ramadhani Kessy ambaye kwa sasa anacheza Yanga.

Kupitia mtandao wa Instagram, Haji ameweka picha ya mchezaji huyo na kuandika, “Unakumbuka Yale maneno aliotudhalilisha huyo dogo?mwambieni THIS IS SIMBA,,na benchi ndio makazi yako ya kudumu.”

Kessy alisajiliwa na Yanga akitokea Simba mwishoni mwa msimu...

 

3 years ago

Bongo Movies

Ujumbe wa Wema Sepetu Kwa Wote Waliomtumia Salamu za Birthday

Jumatano hii ilikuwa ni siku ya kuzaliwa ya staa wa filamu Wema Sepetu ambao ndugu, jamaa pamoja na marafiki walimtakia heri na mafanikio mrembo huyo.

Moja kati ya vitu ambavyo vilileta gumzo kwenye mitandao ya kijamii ni baada ya mama Diamond kum-wish malkia huyo wa filamu huku akimkaushia Zari ambaye ni mama watoto wa Diamond.

wema-sepetu432

Wema Sepetu

Pia dada zake na Diamond walim-wish maklia huyo.

Baada ya kupokea salamu za watu mbalimbali kutoka katika kila kona ya dunia malkia huyo wa filamu na...

 

4 years ago

GPL

BABA HAJI ASHANGILIA ANGUKO LA WEMA SEPETU!

STAA wa filamu Bongo, Adam Haji ‘Baba Haji’ juzikati aliangusha sebene la nguvu kwenye Viwanja vya Ngome Kongwe, Zanzibar baada ya kupata taarifa kuwa staa wa kike nchini aliyekuwa akiwania nafasi ya ubunge wa viti maalum mkoani Singida kwa ‘leseni’ ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wema Isaac Sepetu ameangushwa.  ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1MVEZNY ...

 

3 years ago

Bongo5

Wema Sepetu atoa ujumbe huu wa birthday kwa bintiye Diamond, Tiffah

Msanii wa filamu Wema Sepetu anaendelea kuuthibitishia umma kwamba hana tena kinyongo na Ex wake wa zamani Diamond Platnumz baada ya Jumamosi hii kumwandikia ujumbe mzuri bintiye Diamond, Tiffah katika siku yake ya kuzaliwa.
Tiffah
Bintie Diamond, Tiffah

Wawili hao hivi karibuni wameonyesha kushirikiana mambo kadhaa katika mitandao ya kijamii licha ya wiki mbili zilizopita kusambaa kwa tetesi ya kurudiana na baadae kukanushwa na Wema Sepetu.

Muigizaji huyo kupitia instagram ameandika ujumbe huu:

...

 

3 years ago

Bongo Movies

Wema Sepetu, Ivan Ex wa Zari na Diamond Watoa Ujumbe wa Birthday kwa Tiffah

Msanii wa filamu Wema Sepetu anaendelea kuuthibitishia umma kwamba hana tena kinyongo na Ex wake wa zamani Diamond Platnumz baada ya Jumamosi hii kumwandikia ujumbe mzuri bintiye Diamond, Tiffah katika siku yake ya kuzaliwa.

TIFFAH32

Tiffah

Wawili hao hivi karibuni wameonyesha kushirikiana mambo kadhaa katika mitandao ya kijamii licha ya wiki mbili zilizopita kusambaa kwa tetesi ya kurudiana na baadae kukanushwa na Wema Sepetu.

Muigizaji huyo kupitia instagram ameandika ujumbe huu:

Happy Birthday...

 

2 years ago

MillardAyo

Manara wa Simba kumposa Wema Sepetu? leo kaandika yote haya

Mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa Simba Haji Manara ameendelea na kueleza hisia zake za kutofurahishwa na shirikisho la soka Tanzania TFF kwa kile anachokiita kutokuwa makini na upangaji wa ratiba za Ligi bila kubadilibadili ambapo ameandika yafuatayo. RATIBA TU NI MUHALI,,HAYO MENGINE KWETU SI BAHARI ??* Haji S Manara. Kuna kurogwa na […]

The post Manara wa Simba kumposa Wema Sepetu? leo kaandika yote haya appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

Bongo5

Manara aahidi kumtolea posa Wema Sepetu kama TFF wasipofanya kitendo hiki

Afisa habari wa klabu ya Simba, Haji Sunday Manara amelipa mtihani Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa kuahidi kufanya maamuzi ya kumtolea posa Wema Sepetu endapo ratiba ya ligi kuu haitabadilishwa hadi mwisho wa msimu.

Aidha msemaji amedai kama muigizaji huyo atakataa basi atatembea akiwa amevaa nguo ya ndani pekee (Boxer) kutoka nyumbani kwake hadi katika ofisi za TFF zilizoko Ilala Dar es Salaam.

Kupitia taarifa ambayo ameichapisha kupitia mtandao wa facebook, ameonyesha kuchukuzwa na...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani