Ujumbe wa Nick Cannon baada ya aliyekuwa mke wake Mariah Carey kuvalishwa pete ya uchumba..

Mume wa zamani wa mwanamuziki maarufu Marekani Mariah Carey, rapper na mchekeshaji Nick Cannon ameamua kutoa ya moyoni baada ya mkewe kuvishwa pete ya uchumba na mwanaume mwingine bilionea James Packer. Cannon na Mariah Carey ambao walifanikiwa kupata watoto wawili mapacha waliachana mwaka 2015 baada ya kutofautiana na kila mmoja kuendelea na mambo yake. Mariah […]

The post Ujumbe wa Nick Cannon baada ya aliyekuwa mke wake Mariah Carey kuvalishwa pete ya uchumba.. appeared first on...

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Global Publishers

Nick Cannon agomea talaka ya Mariah carey

nickcannonNick Cannon.

Mume wa Mwanamuziki Mariah Carey, Nick Cannon juzikati aligoma kusaini karatasi za kuidhinisha kumpa talaka mkewe huyo kwa madai kuwa hayuko tayari.

Kinachoonekana Nick bado anampenda mama watoto wake huyo hivyo hayuko tayari kumuona akiolewa na tajiri James Packer ambaye amemvalisha pete ya uchumba kwa lengo la kufunga naye ndoa.

attends the 2008 Whitney Museum of American Art's gala and studio party at the Whitney Museum of American Art on October 20, 2008 in New York City.Nick Cannon na Mariah Carey.

Nick na Mariah walitangaza kutengana Agosti, 2014 na miezi michache baadaye walifungua mafaili ya talaka mahakamani...

 

5 years ago

Bongo5

Mariah Carey na Nick Cannon watengana, talaka inafuata

Imebainika kuwa Mariah Carey na Nick Cannon wametangana tangu May mwaka huu na wamekuwa wakiishi mbalimbali. Mtandao wa TMZ umedai kuwa mawakili wa masuala ya talaka wamekuwa wakijadiliana nao kuhusiana na kugawana mali na nani ataishi na watoto wao na kwamba talaka imekamilika. Vyanzo vilivyo karibu na wanandoa hao vimedai kuwa Mariah na Nick wamekuwa […]

 

3 years ago

Bongo5

Watoto wawaunganisha tena Nick Cannon na Mariah Carey

Rapper wa Marekani, Nick Cannon na Mariah Carey waliweka tofauti zao pembeni na kuonyesha upendo kwa watoto wao kwa kusherehekea kwa pamoja siku ya Baba Duniani japo wametengana.

Prezzo-vs-Jaguar

Nick Cannon alisherehekea siku ya Baba Duniani akiwa na mzazi mwenzake, Mariah Carey watoto wao, Monroe na Moroccan.

Kupitia akaunti ya instagram, Nick Cannoa aliandika: “Leaving the Haters in the Wind! LOL They want us to be mad so bad! @MariahCarey but we happier than happy! #HappyFathersDay.”

Nick Cannon na...

 

4 years ago

GPL

NICK CANNON AMFUTA ZAIDI MARIAH CAREY KWA TATTOO

Tattoo mpya ya Nick Cannon. Kushoto ni tattoo ya jina la Mariah Carey ikiwa mgongoni mwa Nick na kulia ni tattoo aliyochora baada ya kuachana naye. RAPPA, komedian na mwigizaji wa Marekani, Nicholas Scott "Nick" Cannon ameamua kumfutilia mbali mkewe wa zamani Mariah Carey kwa tattoo nyingine zaidi mgongoni mwake. Awali Nick Cannon (34) aliamua kufuta tattoo ya jina la mkewe Mariah Carey aliyeachana naye mwaka jana kwa tattoo ya...

 

5 years ago

Vijimambo

ALICHOKIFANYA NICK CANNON KUFUTA JINA LA MARIAH CAREY MGONGONI


 Nick Cannon na Mariah Carey wakiwa kwenye mahaba nitoe roho Nick alijichora jina la Mariah mgongoni kuashiria kuwa mahaba nitoe roho yake yamefika kikomo. Sasa basi ni miezi inakatika toka wanandoa hao wamwagane kiroho baridi ni pale Mariah Carey alivyoshitukia kuwa Nick alikuwa na michepuko ya hapa na pale. Sasa jitiririshe na alichokifanya Nick kufuta jina la mama watoto wake huyo alilokuwa ameliandika mgongini kwake. Na alichokisema Mariah Carey live bila king'amuzi cha Azam hapa chini.

 

3 years ago

Bongo5

Nick Cannon aendelea kugoma kumpa talaka Mariah Carey

Ukisema cha nini wenzako wanasema watakipata lini. Rapper Nick Cannon ameendelea kugoma kusaini talaka kwa Mariah Carey.

mariah-carey-nick-cannon-02

Wawili hao walidumu kwenye mahusiano kwa miaka saba waliachana tangu Agosti 2014 kwa kile kilichoelezwa kuwa Nick Cannon alichepuka nje ya ndoa yao.

Lakini mpaka leo Nick Cannon ameonekana kuwa mzito wa kutoa talaka kwa Mariah Carey kwa madai kuwa bado anampenda mpenzi wake huyo wa zamani na hataki aolewe na mpenzi wake wa sasa James Packer.

Jiunge na Bongo5.com...

 

4 years ago

Bongo5

Nick Cannon na Mariah Carey kula Christmas pamoja licha ya kuachana

Nick Cannon na mke wake wa zamani Mariah Carey watakuwa pamoja kwenye sikukuu ya Christmas. Wawiili hao waliofungua ndoa 2008, walitangaza kutengena mapema mwaka huu, lakini Nick amethibitisha kuwa hilo haliwezi kumzuia kutumia muda na Mariah kwenye sikukuu hiyo pamoja na watoto wao mapacha Monroe na Moroccan. Mapema wiki hii pia, Nick alikanusha kuwahi kuwa […]

 

2 years ago

Bongo5

Nick Cannon ashindwa kuzuia hisia zake kwa Mariah Carey

Rapper Nick Cannon ameshindwa kuzuia hisia zake kwa ex wake Mariah Carey.

nick

Alhamisi hii kwenye Throw Back Thursday (TBT) amepost picha kwenye mtandao wa Instagram akiwa na Mariah na kuandika ujumbe unaosomeka, “#TBT It’s all love! No hate! But damn we looked Amazing!!! Energy evolves and Frequencies change but love never dies… @MariahCarey will always be my family and the Queen so anyone looking to divide that or spew hate, check that shit at the door! Salute to the Queen!!!.”

14561845_375480296137528_3170135160976834560_n

“#TBT This is...

 

4 years ago

Bongo5

Picha: Mariah Carey akila bata na bilionea aliyechukua nafasi ya Nick Cannon

Baada ya kuachana na mume wake Nick Cannon aliyezaa naye watoto wawili mapacha, Mariah Carey anaonekana kusonga mbele na kuanzisha uhusiano na bilionea James Packer, mmiliki wa macasino nchini Marekani. Mariah ameonekana akila bata la hatari na tajiri huyo anayezunguka naye kwenye nchi mbalimbali na weekend hii walikuwa Italia. Related Tags:

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani