Ukosefu wa damu Uganda wasababisha vifo kwenye hospitali kadhaa

Upungufu wa damu katika hospitali kadhaa nchini Uganda umepelekea maafa katika baadhi ya vituo na taasisi za afya katika maeneo mbalimbali.

VOASwahili

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Dewji Blog

Ukosefu wa fedha wasababisha taka kulundikana Manispaa ya Singida

DSC04254

Dampo la taka katika kituo kidogo cha mabasi cha Msufini katika mji wa Singida.(Picha zote na Nathaniel Limu)

DSC04256

 

Na Nathaniel Limu, Singida

WAKAZI wanaoishi katika Manispaa ya Singida wapo hatarini kuambukizwa magonjwa mbalimbali kutokana na Manispaa hiyo kushindwa kuzoa taka ngumu zilizopo kwenye maghuba yaliyotengwa kwa ajili ya kukusanyia taka hizo.

Wananchi hao, Mariamu Juma, Tatu Madai na Salma Marco walifafanua kwamba imekuwa ni kawaida kwa Manispaa hiyo kutozoa takataka...

 

1 year ago

BBCSwahili

Ukosefu wa bangi wasababisha dharura kutangwazwa Nevada, Marekani

Mahitaji yamekuwa ya juu tangu bangi ihalalishwe kwa matumizi ya kujiburudisha tarehe mosi mwezi huu.

 

1 year ago

BBCSwahili

Ukosefu wa umeme wasababisha watu 5 wazee kufariki Florida

Meya mmoja alisema kuwa watu watatu walipatikana wakiwa wamekufa katika makao ya Holltwood Hills na wawili walifariki walipofikishwa hospitalini

 

1 year ago

BBCSwahili

Uchafuzi wasababisha % 16 ya vifo

Utafiti wa kimataifa uliofanywa umekadiria kwamba uchafu ndio chanzo cha vifo vya watu milioni tisa duniani kote katika kipindi cha mwaka 2015.

 

4 years ago

BBCSwahili

Ushirikina wasababisha vifo India

Imani za kishirikina zinazowalenga wanawake zinasababisha vifo vingi India

 

4 years ago

Tanzania Daima

Ushirikina wasababisha vifo vya watoto

IMANI za kishirikina zimeelezwa kusababisha vifo vya watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi kwa kutofikishwa hospitali kupata matibabu. Kauli hiyo imetolewa mwishoni mwa wiki na Mwenyekiti wa chama kinachoshughulikia...

 

5 years ago

BBCSwahili

Mlipuko wa bomu wasababisha vifo-Somalia

Watu 6 wameuawa baada ya bomu kulipuka karibu na uwanja wa kimataifa a ndege mjini Mogadishu

 

2 years ago

Channelten

Mlipuko mkubwa wasababisha vifo Somalia.

 

6650

Watu kadhaa wamepoteza maisha baada ya kutokea mlipuko mkubwa kutokea katika hoteli moja katikati ya mji mkuu wa Somalia Mogadishu ambapo imeelezwa kuwa kulikuwa na sauti za ufyatulianaji wa risasi katika kile kinachoaminika huenda ni shambulio la wapiganaji wa al-Shabab.

Kwa mujibu wa vyombo vya habari mlipuko huo ulikumba hoteli ya Naso Hablod ambayo inatajwa kuwa hatua chache kutoka kwa uwanja wa ndege wa mjini Mogadishu .

Wapiganaji wa al-Shabab wamekuwa wakitekeleza mashambulio ya...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani