Uliikosa mechi ya Yanga Vs Kagera Sugar April 3 2016? magoli ninayo hapa, Full Time 3-1

3 (1)

April 3 2016 Yanga walikuwa uwanja wa Taifa Dar Es Salaam kucheza dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2015/2016, katika mchezo huo Yanga walifanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 3-1. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line […]

The post Uliikosa mechi ya Yanga Vs Kagera Sugar April 3 2016? magoli ninayo hapa, Full Time 3-1 appeared first on TZA_MillardAyo.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

MillardAyo

Kama uliikosa mechi ya Azam FC Vs Yanga Full Time 2-2, nimeyanasa magoli hapa

we

Azam FC na Yanga March 5 2016 zilicheza mchezo wao wa mzunguuko wa pili wa Ligi Kuu na kutoka sare ya goli 2-2. Huu ni mchezo wa 16 kwa Yanga na Azam FC kukutana, timu hizo zimefungana mara tano kila mmoja na mara sita kutoka sare. Yanga na Azam FC hazijawahi kutoka sare ya kutofungana. […]

The post Kama uliikosa mechi ya Azam FC Vs Yanga Full Time 2-2, nimeyanasa magoli hapa appeared first on TZA_MillardAyo.

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Magoli ya Yanga vs Mtibwa Sugar April 16 2016, Full Time 1-0

football-stock2

April 16 2016 klabu ya Yanga ilicheza mchezo wake wa mwisho wa kiporo kati ya mitatu dhidi ya klabu ya Mtibwa Sugar ya Manungu Turiani, Yanga ilifanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 1-0 goli ambalo lilifungwa na Simon Msuva dakika ya 47. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na […]

The post VIDEO: Magoli ya Yanga vs Mtibwa Sugar April 16 2016, Full Time 1-0 appeared first on TZA_MillardAyo.

 

3 years ago

MillardAyo

Kama ilikupita mechi ya FC Midtjylland Vs Man United, ninayo video ya magoli yote hapa, Full Time 2-1

3159FE5900000578-0-image-a-105_1455832097057

Klabu ya Manchester United bado ipo katika kinyang’anyiro cha kuwania Kombe la EUEFA Europa, kombe ambalo ni la pili kwa ukubwa barani Ulaya baada ya Kombe la Klabu Bingwa barani Ulaya, Man United usiku wa February 18 walikuwa wageni wa FC Midtjylland, walikubali kipigo cha goli 2-1. Magoli ya FC Midtjylland yalifungwa na Pione Sisto dakika ya 44 […]

The post Kama ilikupita mechi ya FC Midtjylland Vs Man United, ninayo video ya magoli yote hapa, Full Time 2-1 appeared first on...

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Magoli ya mechi ya Yanga vs Mtibwa Sugar October 12, Full Time 3-1

dsc_0113

October 12 2016 klabu ya Yanga ilicheza mchezo wake wa saba wa Ligi Kuu na klabu ya Mtibwa Sugar katika uwanja wa Uhuru Dar es Salaam, Yanga ambao wapo chini ya kocha muholanzi wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 3-1, magoli ambayo yalifungwa na Obrey Chirwa dakika ya 45, Simon Msuva dakika ya 68, Donald Ngoma dakika ya 80 wakati goli […]

The post VIDEO: Magoli ya mechi ya Yanga vs Mtibwa Sugar October 12, Full Time 3-1 appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

MillardAyo

FULL HD: Magoli ya mechi ya FA ya Yanga vs Azam FC May 25 2016, Full Time 3-1

2X6A9536

May 25 2016 uwanja wa Taifa Dar es Salaam, vilabu vya Yanga na Azam FC vilikutana kucheza mechi ya fainali ya Kombe la Azam Sports Federation Cup (ASFC), katika mchezo huo Azam FC ilifungwa magoli 3-1, magoli ya Yanga yakifungwa na Amissi Tambwe dakika ya 9 na 47 huku Deus Kaseke akipachika goli la mwisho, […]

The post FULL HD: Magoli ya mechi ya FA ya Yanga vs Azam FC May 25 2016, Full Time 3-1 appeared first on MillardAyo.Com.

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Magoli ya mechi ya Mbeya City vs Yanga May 10 2016, Full Time 0-2

130711153926-football-goalnet-story-top

Jumanne ya May 10 2016 klabu ya Mbeya City ilikuwa mwenyeji wa Mabingwa wa Ligi Kuu soka Tanzania bara klabu ya Dar es Salaam Young Africans katika uwanja wa Sokoine Mbeya, mchezo huo ulimalizika kwa Yanga ambao ndio Mabingwa wa Ligi Kuu kuibuka na ushindi wa goli 2-0, magoli ambayo yalifungwa na Vincent Bossou dakika ya […]

The post VIDEO: Magoli ya mechi ya Mbeya City vs Yanga May 10 2016, Full Time 0-2 appeared first on TZA_MillardAyo.

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Magoli ya mechi ya Yanga vs TP Mazembe June 28 2016, Full Time 0-1

qtre

June 28 2016 klabu ya Dar es Salaam Young Africans ilicheza mchezo wake wa pili wa Kundi A wa Kombe la shirikisho barani Afrika dhidi ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, katika mchezo huo Yanga ilifungwa goli 1-0, goli amble lilifungwa na Merveille Bope dakika ya 74. GOAL AND HIGHLIGHTS: MO BEJAIA […]

The post VIDEO: Magoli ya mechi ya Yanga vs TP Mazembe June 28 2016, Full Time 0-1 appeared first on MillardAyo.Com.

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Magoli ya mechi ya Yanga vs Medeama SC July 16 2016, Full Time 1-1

IMG_0034

July 16 2016 Yanga  ilicheza mchezo wake wa tatu wa Kundi A wa Kombe la shirikisho barani Afrika dhidi ya Medeama SC ya Ghana, katika mchezo huo Yanga walilazimishwa sare ya goli 1-1, goli la Yanga lilifungwa na Donald Ngoma dakika ya 2 na kwa upande wa Medeama goli lao lilifungwa na Benard Danso dakika […]

The post VIDEO: Magoli ya mechi ya Yanga vs Medeama SC July 16 2016, Full Time 1-1 appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Magoli ya mechi ya Yanga vs Majimaji FC Septemba 10 2016, Full Time 3-0

img_0122

Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea kwa upande wa Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu klabu ya Dar es Salaam Young Africans walicheza dhidi ya Majimaji FC katika uwanja wa Uhuru Dar es Salaam na kufanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 3-0, magoli ambayo yalifungwa na Deus Kaseke dakika ya 35 na Amissi Tambwe dakika ya 75 […]

The post VIDEO: Magoli ya mechi ya Yanga vs Majimaji FC Septemba 10 2016, Full Time 3-0 appeared first on millardayo.com.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani