Umeipata ya Serengeti Boy kuchunguzwa kama katumia dawa za kuongeza nguvu Gabon?
Vichwa vya habari jana na leo ni kuhusu Tanzania kuishinda Angola kwenye michuano ya soka la wenye umri chini ya miaka 17 huko Gabon na nyingine ni kuhusu Mchezaji wa Serengeti Boys baada ya hiyo mechi kudaiwa kupimwa na CAF kama alitumia dawa za kuongeza nguvu. Abdul Hamis Selemani aliyeifungia Serengeti Boys goli la pili ambae pia alitajwa kuwa Mchezaji bora […]
The post Umeipata ya Serengeti Boy kuchunguzwa kama katumia dawa za kuongeza nguvu Gabon? appeared first on millardayo.com.
MillardAyo
Habari Zinazoendana
3 years ago
BBCSwahili30 Dec
Kashfa ya dawa za kuongeza nguvu 2014
1 year ago
Mwanaspoti24 Feb
Madhara ya dawa za kuongeza nguvu kwa wanamichezo
3 months ago
BBCSwahili
Dawa za kuongeza nguvu za kiume zawaponza:Zambia
5 months ago
BBCSwahili
Mpelelezi wa Urusi atuhumiwa kusambaza dawa za kuongeza nguvu
1 year ago
Mwananchi14 Feb
Makamanda wa polisi watakiwa kuongeza nguvu mapambano dawa za kulevya
12 months ago
BBCSwahili
Wanariadha wa Kenya wapatwa na hatia ya kutumia dawa za kuongeza nguvu
3 months ago
Zanzibar 2426 Jan
Wakutwa na balaa baada ya kunywa dawa za kuongeza nguvu za kiume
Wanaume watatu waliokunywa dawa za kuongeza nguvu za kiume huko nchini Zambia wamejikuta wakilazwa kimakosa katika hospitali ya wagonjwa wa kipindu pindu baada ya kuanza kutapika nakuharisha mfululizo.
Vyombo vya habari nchini Zambia vimeeleza kuwa wanaume hao walilazwa kwa makosa kwenye vituo vya zahanati za kuhudumia wagonjwa wa kipindu pindu wakidhaniwa kuwa wanaugua kipindu pindu hadi baadaye walipokuja kukiri kuwa walikunywa dawa za kuongeza nguvu za kiume na ndio zimepelekea waharishe...
1 year ago
Michuzi
POLISI YAAGIZA MAKAMANDA WAKE KUONGEZA NGUVU MAPAMBANO YA DAWA ZA KULEVYA

Aidha, Jeshi la Polisi nchini limewaagiza Makamanda wote pindi wanapoendesha...
1 year ago
BBCSwahili
Huenda kocha wa Mo Farah alikiuka sheria za dawa za kuongeza nguvu za mwili