Umoja wa mataifa umetoa wito wa kuachiwa mara moja kwa watu 30, wa chama kikuu cha upinzani Kongo

_98450668_e982e9ce-210e-46a3-aabd-edbdb7f3c989

Umoja wa mataifa umetoa wito wa kuachiwa mara moja kwa watu 30, wa chama kikuu cha upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, kutoka korokoroni.

Wanachama wa vyama vikuu viwili vya Union for Democracy na wenzao wa Social Progress, walikamatwa siku ya Jumapili katika mji wa Lubumbashi, ulioko Kusini mashariki mwa nchi hiyo, baada ya polisi kuvunja mkutano waliokuwa nao.

Utawala wa Rais, Joseph Kabila, umepiga marufuku mkutano wa aina yoyote wa kisiasa, pamoja na maandamano ya...

Channelten

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Channelten

Umoja wa Ulaya umetoa wito kwa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo

supporters-drc-president-joseph-kabila

Umoja wa Ulaya umetoa wito kwa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kuanzisha upya haraka iwezekanavyo mchakato wa uchaguzi mkuu huku ukielezea wasiwasi wake dhidi ya kunyanyaswa na kutishiwa kwa wapinzani nchini humo.

Mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje wa nchi za umoja huo pia umeitaka serikali ya Congo kupiga hatua madhubuti kuelekea uchaguzi kutokana na mvutano wa kisiasa uliopo, na kusisitizia umuhimu wa kuwepo kwa mazungumzo ya kisiasa kati ya serikali na wadau wote ili...

 

3 years ago

Channelten

Umoja wa Vijana CCM umetoa wito kwa wananchi wapenda amani kutoshiriki maandamano ya UKUTA

Screen Shot 2016-08-30 at 5.22.58 PM

Umoja wa Vijana wa Chama cha mapinduzi CCM wilayani Kinondoni umetoa wito kwa wananchi wapenda amani kutoshiriki maandamano yaliyoitishwa na Chama cha demokrasia na maendeleo Chadema yaliyopewa jina la UKUTA  kwa kuwa hayana tija na yanaweza kusababisha uvunjifu wa amani.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini dsm M/kiti Uvccm Wilayani Kinondoni Said Msanga amesema maandamano hayo ambayo tayari yamepigwa marufuku na Vyombo vya dola sio halali na kuwataka vijana kuelekeza nguvu zao katika...

 

3 years ago

Channelten

Shirika la umoja wa mataifa la maendeleo UNDP kwa kushrikiana na chuo kikuu cha Dar es salaam limeendesha kongamano kwa wanafunzi

xUNDP_50_En.png.pagespeed.ic.dYH4mqgrLz

Shirika la umoja wa mataifa la maendeleo UNDP kwa kushrikiana na chuo kikuu cha Dar es salaam limeendesha kongamano kwa wanafunzi kutoka maeneo mbalimbali ya jiji la dsm lengo likiwa ni kuwawezesha vijana hao kitambua fursa zilizopo na kushiriki kwenye maendeleo ya taifa.

Mwakilishi mkazi UNDP Awa Dabo amesema kongamano hilo linaenda sambasamba na maadhimsiho ua miaka 50 tangu kuanzishwa kwake ambapo amesema vijana wa kitanzania wanazo fursa nyingi ambazo endepo watazitumia wataweka mchango...

 

4 years ago

Michuzi

BALOZI DORA MSECHU AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO KWA RAIS ICELAND ATEMBELEA CHUO KIKUU CHA UMOJA WA MATAIFA, TAWI LA ICELAND

Balozi wa Tanzania kwenye nchi za Nordic na Baltiki, Mhe. Dora Msechu amewasilisha Hati zake za Utambulisho kwa Rais wa Iceland, Mhe. Ólaf Ragnar Grimsson  Mhe. Balozi Dora Msechu sasa amekamilisha kazi ya kuwasilisha Hati za Utambulisho kwenye nchi zote nane za Eneo lake la Uwakilishi; Sweden, Denmark, Estonia, Finland, Iceland, Latvia, Lithuania na Norway.  Mhe. Balozi Dora Msechu amepata pia fursa ya kutembelea Chuo Kikuu cha Umoja wa Mataifa, tawi la Iceland na kukutana na Mkuu wa Chuo...

 

1 year ago

BBCSwahili

Umoja wa Mataifa wataka wapinzani 30 kuachiwa huru DRC

Wanachama hao wa vyama vikuu viwili vya Union for Democracy na wenzao wa Social Progress, walikamatwa siku ya Jumapili katika mji wa Lubumbash

 

4 years ago

Michuzi

WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA LA VERNE WAPEWA SOMO KUHUSU USHIRIKI WA TANZANIA KATIKA UMOJA WA MATAIFA

Bw. Noel Kaganda, Afisa katika Uwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, New York; na Bw. Suleiman Saleh, Afisa katika Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani, Washington D.C wakiwa na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha La Verne cha California waliotembelea Ubalozi wa Tanzania Washington D.C. kujifunza namna Tanzania inavyoshiriki katika Umoja wa Mataifa. Wanafunzi hao walipeperusha bendera ya Tanzania katika National Model United Nations...

 

2 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU MPYA WA UMOJA WA MATAIFA ATOA WITO KWA DUNIA KULIPA KIPAUMBELE SUALA YA AMANI

Katibu mkuu mpya wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres ametoa wito kwa dunia kulipa kipaumbele suala la amani, ikiwa ni kauli yake ya kwanza baada ya kuchukua madaraka kutoka kwa mtangulizi wake Ban Ki-moon.
Guterres ambaye amewahi kuwa waziri mkuu wa Ureno na pia amewahi kufanya kazi kama mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, ameapa kufanya mabadiliko muhimu yanayohitajika ili kurejesha hadhi ya taasisi hiyo kwa kufanya marekebisho ya jinsi Umoja wa Mataifa unavyofanya...

 

4 years ago

Michuzi

TASWIRA ZA JK AKIWA UMOJA WA MATAIFA, NEW YORK, KWA MARA YA MWISHO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete jana jumanne amelihutubia kwa mara ya mwisho Baraza Kuu la 70 la Umoja wa Mtaifa akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.  Hotuba ya Mhe. Rais na ambayo iligusia mambo mengi ya kisiasa, kiuchumi, na maendeleo akitumia pia fursa hiyo kuwaanga viongozi wenzie na kuwashukuru kwa ushirikiano waliompatia katika kipindi cha miaka kumi ya uongozi wake, iliwasisimua wajumbe wa mkutano huo kiasi cha kukatishwa mara...

 

2 years ago

Channelten

Wito kwa wahitimu wa Chuo Kikuu Cha kiislam cha Al-Azhar cha Misri

Rais Mstaafu Alhaji Ali Hassan Mwinyi pamoja na makamu wa Rais Mstaafu Dr.mohamed Gharib Bilal wametoa wito kw wahitimu wa Chuo Kikuu Cha kiislam cha Al-Azhar cha Misri waliopo nchini kuwa chachu ya mabadiliko ya vijana katika nyanja ya Elimu ya dini, Uchumi pamoja na kubuni mbinu zitakazowawezesha vijana kutumia elimu wanayopata kujikwamua kiuchumi.

Aidha wamewataka wasomi hao wenye Shahada za Elimu ya Dini ya kiislam, kubuni mikakati katika kutoa elimu sahihi katika kupambana na...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani