Umoja wa Ulaya wataka serikali ya Tanzania iwajibike

Umoja wa Ulaya (EU) umelaani kuongezeka kwa vitendo vya uvunjifu wa amani ukiwalenga wanasiasa na vitisho nchini Tanzania, na kutaka hatua kuchukuliwa mara moja kukomesha hali hiyo.

VOASwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Dewji Blog

12 months ago

Michuzi

UMOJA WA ULAYA WAIPATIA SERIKALI YA TANZANIA MSAADA WA BILIONI 490

Na Daudi Manongi - MAELEZO
Serikali kupitia Wizara ya Fedha na Mipango imesaini msaada wa shilingi Bilioni 490 usiokuwa na masharti yeyote kutoka Umoja wa Ulaya ikiwa ni msaada wa kibajeti kwa kipindi cha miaka minne kuanzia mwaka wa bajeti wa 2017/18.

Mkataba huo umesainiwa na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Dotto James kwa niaba ya Serikali na Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) nchini Bw.Roeland van de Geer kwa niaba ya Umoja wa Ulaya.

Akizungumza na waandishi wa habari mara baada...

 

4 years ago

BBCSwahili

Wabunge India wataka Marekani iwajibike

Wabunge nchini India wameitaka Marekani iwajibike kwa kumdhalilisha balozi wao Devyani Khobragade kwa kumfunga pingu na kumpekua

 

1 year ago

Michuzi

Serikali ya wataka wanawake wachimba madini kuwa na umoja

Serikali  imewataka wanawake wachimbaji wadogo wa madini kuwa na umoja ili  kuboresha kazi zao na changamoto zinazojitokeza.Akifungua mkutano wa kazi wa wadau unojadili namna ya bora ya kuratibu na kuimarisha vyama vya wanawake wachimbaji wadogo wa madini nchini Jijini Dar es Salaam jana, Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, amesema kuwa  serikali inatambua  changamoto zinazowakabilia wachimbaji hao na kuzitaja kuwa ni pamoja na ukosefu wa mitaji, vifaa vya kisasa,...

 

4 years ago

Michuzi

TANZANIA YAONGOZA MKUTANO WA PAMOJA KATI YA BARAZA LA AMANI NA USALAMA LA UMOJA WA AFRIKA (AU) NA KAMATI YA SIASA NA USALAMA YA UMOJA WA ULAYA (EU) MJINI BRUSSELS, UBELGIJI

Mhe. Naimi Aziz, Balozi wa Tanzania na Mwenyekiti wa Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika (AU), pamoja na Balozi Walter Stevens (Kulia), Mwenyekiti wa Kamati ya Siasa na Usalama ya Umoja wa Ulaya (EU) wakiwa katika mkutano huo. Kushoto ni Balozi Smail Chergui, Kamishna wa Amani na Usalama wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika. Katika Mkutano huo, pamoja na mambo mengine, vyombo hivyo viwili vilikubaliana kuendeleza ushirikiana zaidi katika kutafuta ufumbuzi wa kudumu wa migogoro...

 

12 months ago

Global Publishers

Serikali Yapokea Msaada wa 490bn/= Kutoka Umoja wa Ulaya

Mkutano na wanahabari ukiendelea.

SERIKALI ya Tanzania leo imepokea msaada wa fedha kutoka Umoja wa Ulaya (European Union) wenye thamani ya Sh. bilioni 490 kwa ajili ya kuboresha huduma za kijami.

Msaada huo umekabidhiwa leo na mwenyekiti wa umoja huo anayeshughulikia huduma za maendeleo ya kijamii na uchumi, Roeland Van de Geer , ambaye alisema kuwa sababu ya utoaji msaada huo ni kutokana na kuvutiwa na uongozi wa Rais John Magufuli kuhusiana na uendeshaji wa sera za kiuchumi na umakini.

2 years ago

Channelten

Umoja wa Ulaya umetoa wito kwa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo

supporters-drc-president-joseph-kabila

Umoja wa Ulaya umetoa wito kwa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kuanzisha upya haraka iwezekanavyo mchakato wa uchaguzi mkuu huku ukielezea wasiwasi wake dhidi ya kunyanyaswa na kutishiwa kwa wapinzani nchini humo.

Mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje wa nchi za umoja huo pia umeitaka serikali ya Congo kupiga hatua madhubuti kuelekea uchaguzi kutokana na mvutano wa kisiasa uliopo, na kusisitizia umuhimu wa kuwepo kwa mazungumzo ya kisiasa kati ya serikali na wadau wote ili...

 

4 years ago

Tanzania Daima

MASHINE ZA EFD: Tulipe kodi, serikali iwajibike

SERIKALI zote duniani huendeshwa kwa mapato. Kama hazina mapato zinakuwa zimefilisika na kuingia kwenye orodha ya mataifa yaliyofilisika. Kufilisika kwa taifa huja kwa viashiria vingi sana, kwanza serikali kuwa na...

 

4 years ago

Tanzania Daima

MASHINE ZA EFD: Lazima tulipe kodi, serikali iwajibike ipasavyo

SERIKALI zote duniani huendeshwa kwa mapato. Kama hazina mapato maana yake zimefilisika, na kwa maana hiyo zimeingia kwenye orodha ya mataifa yaliyofilisika (bankrupt states). Kufilisika kwa taifa huja kwa viashilia...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani