Umuhimu wa ushirikiano wa wazazi na walimu katika elimu Tanzania

Haba na Haba inazungumzia umuhimu wa ushirikiano baina ya wazazi na walimu katika maendeleo ya elimu kwa mtoto.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Mwananchi

Ushirikiano wa walimu, wazazi utapandisha kiwango cha elimu-Mkurugenzi

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha, Velerian Juwal amesema pamoja na kuwa wazazi wanajitolea kuchangia elimu bado wana jukumu la kushirikiana na walimu ili kuhakikisha kiwango cha elimu kinapanda wilayani humo.

 

2 years ago

Mtanzania

Ushirikiano wa Tanzania, China katika elimu

img-20160831-wa0073Na FARAJA MASINDE, DAR ES SALAAM

HAKUNA urithi bora duniani kwa mtoto kama elimu kwani huwa ni jambo jema na busara pindi unapomtafutia shule nzuri itakayomjengea msingi bora wa maisha.

Imekuwa ikifahamika mara nyingi kuwa mazingira mengi ya shule hasa zile za msingi yamekuwa si rafiki kwa wanafunzi na changamoto hii imekuwa ikizikumba zaidi shule zilizoko chini ya serikali.

Kadiri miaka inavyozidi kusonga mbele ndivyo pia uwekezaji kwenye sekta hii ya elimu unavyozidi kuchukua nafasi kwani...

 

4 months ago

Zanzibar 24

Jumuiya ya wazazi nchini imejipanga kutoa elimu kwa wazazi wa Tanzania

Jumuiya ya wazazi Tanzania  imesema imejipanga  kutoa elimu  ya maadili kwa wananchi wa Tanzania  juu ya umuhimu wa malenzi bora ili kulinda  mila na desturi za mtanzania zinazoonekana kupotea.

Akizungumza na Zanzibar24 Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Dr Edmuni Benadi Mdolwa amesema kazi ya kulea  ni ya wazazi  na jamii  lakini wapo baadhi ya wazazi wamejisahau  katika malenzi na kupelekea maadili kuporomoka  kwa kasi kubwa nchini.

Aidha amesema  jamii imekuwa ikijisahau katika malenzi  na...

 

2 years ago

Dewji Blog

Hakuna shaka kuhusu umuhimu wa elimu! Unaweza kutoa ushauri gani kuboresha elimu Tanzania?

12487124_828836993912588_5104767663647585_o

Taasisi ya MO DEWJI FOUNDATION, inayojishughulisha na masuala mbalimbali nchini ikiwemo kuwezesha jamii ya watanzania katika nyanja za Elimu, Afya, Michezo, Miundombinu na mambo mbalimbali imeweza kuuliza swali namna ya maboresho ya Elimu ya Tanzania. : “Unaweza kutoa  ushauri gani kuboresha elimu Tanzania?”.

Soma hapa maoni ya wananchi waliojibu kuhusiana na ushauri wa kuboresha Elimuu ya Tanzania kama ilivyoulizwa na taasisi ya MO Dewji Foundation.

Vicent Kiondo Serikali ianze...

 

4 years ago

Mwananchi

Umuhimu wa elimu maalumu katika jamii

Elimu maalumu hutolewa kwa watoto wenye ulemavu wa aina mbalimbali hadi kufikia umri wa miaka 21.

 

4 years ago

Mwananchi

Umuhimu wa elimu ya ujasiriamali katika shule na vyuo -1

Elimu ya ujasiriamali katika nchi yetu haina ‘umri’ mkubwa kama zilivyo taaluma nyingine zikiwamo lugha, historia, siasa na sayansi. Hii ni kutokana na historia ya nchi yetu hasa baada ya kupata uhuru, kwamba tuliamua kufuata siasa ya ujamaa na kujitegemea kupitia Azimio la Arusha.

 

2 months ago

Michuzi

CSI WAHIMIZA USHIRIKIANO ILI KUPUNGUZA VIFO VITOKANAVYO NA UZAZI, WAELEZEA UMUHIMU WA WAKUNGA KATIKA KUTOA HUDUMA ZENYE HESHIMA

Na Said Mwishehe, Globu ya jamiiSHIRIKA la Childbirth Survival International (CSI) limesema ipo haja kwa wakunga wote nchini kutoa huduma yenye heshima kwa mama mjazito ili ajifungue salama huku likitoa ombi kwa Serikali kuendelea kutoa fedha katika sekta ya afya kwa lengo la kupunguza vifo kwa mama wajawazito na watoto.Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Shirika la CSI Stella Mpanda wakati anazungumza kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wakunga Duniani ambapo kwa Tanzania maadhimisho hayo...

 

5 years ago

Mwananchi

Umuhimu wa walimu wazoefu kuwasimamia walimu wapya shuleni

Mwalimu mahiri ni mwalimu mwenye uwezo wa kumudu kufundisha somo lake kikamilifu na kisha kutoa maarifa sahihi kwa mujibu wa maelekezo ya silabasi.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani