UN: Burundi inawatesa wapinzani wake

UN inasema kuwa idadi ya watu wanaoteswa na serikali nchini Burundi imeongezeka maradufu katika kipindi cha miezi mitatu ya kwanza mwaka huu

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Ripoti: Burundi inawatesa Wapinzani

Amnesty International imesema chama kinachotawala nchini Burundi kimekuwa kikiendesha vitisho dhidi ya wapinzani wa serikali.

 

3 months ago

RFI

Museveni amtaka rais wa Burundi kuzungumza na wapinzani wake

Rais wa Uganda Yoweri Museveni ametoa wito kwa mwenzake wa Burundi Pierre Nkurunziza kuheshimu Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), mpatanishi katika mgogoro unaondelea kuikabili nchi yake, na kuzungumza na upinzani ulio nje ya nchi.

 

5 years ago

BBCSwahili

Wapinzani wahukumiwa maisha jela Burundi

Wanachama kadhaa kati ya 60 wa chama cha upinzani nchini Burundi MSD waliofikishwa mahakamani leo, wamehhumukiwa maisha jela

 

3 years ago

BBCSwahili

Nkurunziza atoa onyo kwa wapinzani Burundi

Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza ametoa ilani ya siku tano kwa wale aliowataja kuwa watenda mabaya kujisalimisha

 

2 years ago

VOASwahili

Wapinzani wa Burundi wagawika kuhusu mazungumzo ya Arusha

Upinzani wa Burundi umegawika kuhusu kuhudhuria mkutano uloitishwa Jumatatu mjini Arusha na rais wa zamani wa Tanzania Benjamin Mkapa. Baadhi ya viongozi wa upinzani wanasema hawana tena imani na mpatanishi huyo.

 

11 months ago

VOASwahili

Wapinzani wapinga mchakato wa kubadili katiba Burundi

Kampeni za kuwahamasisha wananchi wa Burundi kushiriki kaitka kura ya maoni zimeanza rasmi Jumatano nchini humo wakiwemo wale ambao wanapinga rasimu mpya ya katiba ya nchi hiyo inayojadiliwa.

 

1 year ago

RFI

Serikali ya Burundi na washirika wake wataka mazungumzo kuhamishwa Burundi

Mazungumzo ya kisiasa kuhusu nchi ya Burundi yameanza mjini Arusha nchini Tanzania. Lakini mpaka muungano wa upinzani Cnared umesusia mazungumzo hayo.

 

11 months ago

RFI

Human Right Watch yaituhumu serikali ya Burundi kukandamiza wapinzani

Shirika la Kimataifa la Kutetea haki za Binadamu la Human Rights Watch limewashtumu maafisa wa usalama nchini Burundi kwa kuendelea kuwauawa, kuwapiga, kuwakamata na kuwazuia wapinzani wanaopinga mchakato wa kuibadilisha Katiba mwezi ujao.

 

5 years ago

Habarileo

'CDA inawatesa wananchi, ivunjwe'

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi juzi alipata wakati mgumu kwenye mkutano baada ya wananchi na baadhi ya madiwani kukataa hoja zake mbele ya Rais Jakaya Kikwete. Hatua hiyo ya wananchi, ilikuja baada wa Mbunge wa Dodoma Mjini, David Malole (CCM) kusema Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu (CDA) imekuwa ikifanya maonevu mengi kwa wananchi, ikiwemo kubomoa nyumba, makanisa kutaka ardhi irudi Manispaa.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani