UN yasema Sudan Kusini sasa haikabiliani na njaa kali

Umoja wa Mataifa unasema taifa la Sudan Kusini sasa halikabiliani tena na baa kubwa la njaa.

RFI

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

BBCSwahili

Sudan Kusini Hali si shwari, njaa kali

Ukubwa wa janga la njaa katika Jimbo la Unity nchini Sudan Kusini hali hii imebainishwa na kitenga cha umoja wa mataifa cha usambazaji misaada pamoja na familia ambao wameweza kufikiwa

 

4 years ago

BBCSwahili

Sudan kusini na tishio la njaa

Kufuatia zaidi ya miezi 8 ya mapigano Sudan Kusini, sasa inakabiliwa na tishio la baa la njaa.

 

4 years ago

BBCSwahili

Sudan kusini yakabiliwa na baa la njaa

Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa limeelezea uhaba wa chakula nchini Sudan Kusini kama mbaya zaidi kuwahi kuonekana duniani.

 

4 years ago

BBCSwahili

Sudan kusini yaepuka baa la njaa

Ripoti ya hivi punde inaonesha kuwa Sudan kusini imeepuka makali ya njaa licha ya kukumbwa na vita

 

4 years ago

BBCSwahili

Hofu ya baa la njaa Sudan Kusini

Mashirika ya kimataifa ya misaada yameonya kuwa huenda Sudan Kusini ikakabiliwa na baa la njaa iwapo, mapigano hayatasitishwa.

 

5 years ago

BBCSwahili

Sudan Kusini inakumbwa na tisho la njaa

Rais wa Sudan kusini Salva Kirr ameonya kuwa taifa lake linakabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula kufuatia vita vikali vinavyoendelea nchini humo.

 

5 years ago

BBCSwahili

Njaa Sudan Kusini inaweza kuzuilika

Mratibu wa masuala ya kibinadamu wa UN, Valerie Amos ameonya, kuna uwezekano mdogo wa kuzuia baa la njaa Sudan Kusini.

 

3 years ago

BBCSwahili

Watu wafa njaa Sudan Kusini

Watu wanaripotiwa kutaabika kutokana na njaa katika eneo la Western Equatoria nchini Sudan Kusini

 

2 years ago

Zanzibar 24

Sudan Kusini yakumbwa na baa la njaa

Janga baya la njaa limetangazwa katika maeneo kadhaa nchini Sudan Kusini, likiwa ndio kali zaidi kutokea katika kipindi cha miaka sita na kuwahi kutangazwa eneo lolote duniani.

Serikali na Umoja wa Mataifa wanasema kuwa karibu watu 100,000 wanakumbwa na njaa huku wengine zaidi ya milioni moja wakiwa kwenye hatari ya kukumbwa na njaa.

Vita vya wenyewe kwa wenyewe na kuporomoka kwa uchumi vyote vimechangia kuwepo hali hiyo.

Jimbo la Unity, Sudan Kusini

Kumetolewa onyo la kutokea njaa nchini Yemen, Somalia na Kaskazini...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani