“Unaweza kuzaliwa Masikini lakini kufa Masikini ni kujitakia” – Mavunde

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu: Sera, Bunge, Kazi Vijana, Ajira na Walemavu Anthony Mavunde ametoa wito kwa vijana wa kitanzania kuwa wabunifu bila kujali ni wakati gani na changamoto zipi wanazipitia na wasikubali kukatishwa tamaa ili kujiwekea mikakati ya kufikia malengo yao. Akizungumza na Vijana wa Chuo cha DIT Mwanza amesema kuwa zipo juhudi […]

The post “Unaweza kuzaliwa Masikini lakini kufa Masikini ni kujitakia” – Mavunde appeared first on millardayo.com.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Channelten

Mkoa wa Dsm umebaini kaya masikini hewa 609 katika Mpango wa kunusuru kaya masikini -TASAF

screen-shot-2016-09-15-at-4-26-58-pm

Mkoa wa Dsm umebaini kaya masikini hewa 609 katika Mpango wa kunusuru kaya masikini -TASAF ambapo baadhi ya watumishi kwa kushirikiana na watendaji katika vijiji au mitaa wamekuwa wakifanya Udanganyifu ili kujipatia fedha kwa Udanganyifu kupitia kaya masikini.

Akizungumza na waandishi wa habari Katibu Tawala Mkoa wa DSM Teresia Mbando amesema baada ya kubaini Udanganyifu huo tayari kaya hizo hewa zimeondolewa katika mpango wa malipo huku taratibu nyingine za kidhamu zikifuata kwa watumishi...

 

2 years ago

Habarileo

Masikini Simba

WACHOVU wa Ligi Kuu Tanzania Bara Coastal Union ya Tanga jana walifanya kile ambacho hakikutarajiwa na wengi baada ya kuiondoa Simba katika michuano ya Kombe la FA na kutinga nusu fainali kwa kuichapa mabao 2-1 katika mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

 

2 years ago

MwanaHALISI

Masikini Lema

KUZOROTA kwa afya ya Godbless Lema, Mbunge wa Arusha Mjini kumeingiza kiwewe kwa wakazi wa Jiji la Arusha na wapenzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), anaandika Wolfram Mwalongo. Mbunge huyo ameshindwa kufika mahakamani jana kufuatia taarifa za kuugua ghafla akiwa mahabusu. Sababu ya kudhoofu kwa afya ya Lema inadaiwa kwamba, tarehe 16 mwezi ...

 

4 years ago

Michuzi

MASIKINI TWIGA WETU.!

Pichani ni Maofisa wa TANAPA ndani ya Hifadhi ya Wanyama ya Katavi,Wakiwa wamenaswa na Camera ya Globu ya Jamii,ilipokuwa imetoka kwenye kazi maalum Wilayani Mlele mkoani humo na kukumbana na tukio hilo la Maofisa hao wakimtazama Twiga aliyegongwa na gari na kufa papo hapo,katika tukio hilo la huzuni kubwa,gari iliyohusika na ajali hiyo halikujulikana mara moja. Maofisa wa TANAPA waliokuwa doria hifadhini,wakitafakari jambo mara baada ya kumkuta Twiga akiwa amegongwa na kufa papo hapo...

 

4 years ago

Tanzania Daima

Masikini akifananishwa na uchafu

KILIO na maneno yao ya kuomboleza yalifanana mithiri ya watu walioambizana kuimba wimbo mmoja hata kama hawakujuana. Wa kwanza alikuwa mwanaume, huyu alikuwa akilia kwa uchungu huku akiwauliza askari wale...

 

1 year ago

Global Publishers

Masikini Ndugu wa Masogange…

Ndugu wa Agnes Masogange walipojianda kuondoka kisutu jana

Na: MUSA MATEJA|RISASI JUMAMOSI|HABARI

Dar es Salaam: Video Queen mwenye umbo ‘matata’ Bongo, Agnes Gerald ‘Masogange’, amesoteshwa rumande na Jeshi la Polisi kufuatia kuendelea kumshikilia katika Kituo Kikuu cha Polisi Dar es Salaam ‘Central’ kwa msala wa madawa ya kulevya huku ndugu zake nao wakisota kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakisubiri apandishwe kizimbani bila mafanikio.

Februari 16, mwaka huu, Jeshi la Polisi...

 

3 years ago

Raia Tanzania

Uwekezaji haujali tajiri, masikini

MWANDISHI WETU, Dar

 

UTT-AMIS ni taasisi ya serikali chini ya Wizara ya Fedha iliyoanzishwa miaka 12 iliyopita kwa lengo la kuanzisha na kuendesha mifuko ya uwekezaji wa pamoja nchini ili kuwawezesha wananchi kujiwekea akiba na kuwekeza katika masoko ya fedha na mitaji.

 

Tangu kuanzishwa kwake taasisi hiyo imejidhihiriisha ni taasisi itakayokuwa mkombozi wa watu wa pato la chini na kati.

 

Ofisa Masoko Mkuu Mwandamizi wa UTT-AMIS, Mfaume Kimario anasema tangu kuanzishwa...

 

4 years ago

Michuzi

MASIKINI HAPPINESS MILLEN MAGESE!!!

JINA lake kamili anajulikana kama Happiness Millen Magese. Ni mshindi wa Shindano la Miss Tanzania Mwaka 2001.Happiness Magese (35), alikuwa akifanya kazi zake za uanamitindo nchini Afrika Kusini chini ya Kampuni ya Ice Model Management na alikaa huko kwa miaka nane kabla hajahamia katika Jiji la New York, nchini Marekani ambapo amesaini mkataba na Kampuni ya Ford Models mpaka sasa hivi. Ana miaka minne na tayari ameshaongezewa miaka miwili zaidi ya fani hiyo ya uanamitindo duniani.Happiness...

 

4 years ago

Habarileo

JK Rais wa mwisho Tanzania masikini

MAPATO yatokanayo na uwekezaji katika miradi ya gesi asilia, baada ya wawekezaji kutoa gharama zao za utafiti na uwekezaji, yataanza kupokewa nchini 2020.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani